Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

Mkuu zipo taratibu za kujiunga kitu cha kufanya nenda pale Wizara ya mambo ya ndani muone muhusika pale mapokezi mueleze shida yako atakupa utaratibu kamili.

Akifika Amuulizie Mzee MARWERWE Wa TASK FORCE Atamsaidia ILA Asinitaje Tu Mimi GENTAMYCINE:smile-big::smile-big::smile-big:.
 
Kutotangazwa kwa nafasi za TISS ni u pu u z i! Hizi nafasi za kazi zinazotakiwa ziwe wazi kwa kila MTZ na sifa ziwe zinajulikana!

FBI na CIA wanatangaza wazi nafasi zao kwa wa Marekani why not Tanzania?

Umeshasema FBI na CIA.....Unafananisha Tembo Na Mjusi?
 
HICHO CHUO PIA HUWA KUNA SAPU??HIVI PIA HUWA WANAFELI??JE AMWANAFUNZI AKIFELI HUWA ANARUDISHWA NYUMBANI? ada yao ni kiasi gani? hiyo coz huwa ni miaka mingapi?MSHAHARA NI KIASI GANI KWA FIRST APPOINTMENT?MAJIBU TAFADHARI KWA MWENYE KUJUA
 
Ili wakuchukue inabd ufanye kazi ya ziada kuwa mfano mzuri mtaani kuwa na tabia njema ussiwe mtu wa mikasa uwe saaafii uishi ukitumqini kiwa ipo siku moja utaitwa we subiri tuu

Kama Ni Hivi Basi GENTAMYCINE Sina Sifa Ya Kuwa Huko Kwani Mimi Kitaani Ni Full UBALOTELI na USUAREZ a.k.a MTUKUTU Sana Na Mno.
 
HICHO CHUO PIA HUWA KUNA SAPU??HIVI PIA HUWA WANAFELI??JE AMWANAFUNZI AKIFELI HUWA ANARUDISHWA NYUMBANI? ada yao ni kiasi gani? hiyo coz huwa ni miaka mingapi?MSHAHARA NI KIASI GANI KWA FIRST APPOINTMENT?MAJIBU TAFADHARI KWA MWENYE KUJUA

Supp Yake Ni Kuchimba Handaki Kutoka Mbweni Hadi Magogoni Peke Yako!
 
hata mimi binafsi nilikuwa n ndoto kuwa na kazi mbili 1..MLINZI WA VIONGOZI WAKUBWA 2...USALAMA WA TAIFA, LKN UMRI UMESHAENDA LATE 30S.....nafikiri huwa hawachukui mtu ambaye tayari ameonyesha matamanio ya kuwa mle kwa kuwa hawafahamu kiu yako ya kuwa mle ni mapenzi ya nchi yako au umetumwa kama mamluki wa mataifa mengine! wanaochukuliwa ni wale ambao wameshachunguzwa sana background yao kama, asili yako, iq yako,tabia zako na za ukoo wako, hulka zako, uzalendo wako nk...it is long process

Kwani wamekwambia kuna age limit? Au udadisi wako tu; kama unatabia kama hizo usitegemee kupata nafasi hii.
 
HICHO CHUO PIA HUWA KUNA SAPU??HIVI PIA HUWA WANAFELI??JE AMWANAFUNZI AKIFELI HUWA ANARUDISHWA NYUMBANI? ada yao ni kiasi gani? hiyo coz huwa ni miaka mingapi?MSHAHARA NI KIASI GANI KWA FIRST APPOINTMENT?MAJIBU TAFADHARI KWA MWENYE KUJUA

Uzelendo zero hapa; disqualified kabisaaaaaaaaaaaaa
 
Hapana sio ngumu,

Kama umemaliza masomo na hukwenda mafunzo ya jeshi mwezi wakwanza, basi jiandae kwenda mwezi wa kwanza mwaka ujao!

Ila nikujuzi kidogo jinsi yakuchukuchua watu kutoka JWTZ,JKT

Wanaweza kuwaandaa watu zaidi ya 30 lakini wakawachukua wawili tu, na siku ya kuwachukua
Anaweza kuja afisa wajeshi katika camp yenu akasema,


"Naomba watu wawili wakazibu choo cha maafisa kule kimeziba sana, Sawa!"

Hapo watakao inuka na kuwahi kwenda basi hao ndio wanaondoka jumla kuelekea kwenye ujasusi na sio kuzibua choo!

Kwahiyo nidhamu na uwezo wa kufikiri/akili tena zile za kipaji ndio msingi wa wewe kupata kazi hiyo

Teh teh teh teh!

We kijana hizi Movie za RAMBO zinakuathiri day after Day!

Hio ajira ya namna hio Utaiona kwenye Movie tu za akina Cinderela. Na Vitabu vya willy Gamba!
 
Kwa uchunguzi wangu watu wengi mnaojifanya mnataka hii kazi si kwa ajili ya uzalendo ila mnataka sifa tu mtaani; sasa hamtopata hii kazi kwa primitive attitudes!!
 
kila taasisi ya usalama ina taratibu na sheria katika kujenga watumishi wake kwa msaada zaidi someni Tanzania inteligence security service Act ndipo mtaelewa hizi kazi sio za kutafuta kwa kupenda au la bali kukidhi vigezo fulani
 
Na Hao Ma Informers Wao Ndiyo Pasua Kichwa Huku Mitaani Kwa Kututisha Na Kutupiga Mkwara ILA Mimi Huwa Nawatoa Nishai Mno Kwani Wao Wamepajua Huko Baada Ya Kupata Ajira ILA GENTAMYCINE Humo Ni Kama Chama Langu La Liverpool Likiwa Uwanja Wake Wa Nyumbani Wa ANFIELD.





watu wengi wanapend hii kazi ilikusudi watishie watu kwa mtaaa kuwa yeye ni TISS
 
Habari za usiku wakuu? Ni matumaini yangu sote tu wazima wa afya tele na ambao wana matatizo ya hapa na pale basi Mungu awawekee mkono wa uponyaji.

Wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojipambanua, tangu nikiwa mdogo nimekua nikivutiwa sana na utendaji wa kazi wa idara hii nyeti hapa nchini hivyo ndoto zangu ilikua ni siku moja kuwatumikia watanzania wenzangu kupitia idara hii nyeti.

Tafadhali sana wanajamvi kama kuna mtu anajua hatua na taratibu za kufuata ili kujiunga na idara hii naomba kujuzwa tafadhali. Ni muhimu sana kwangu na ni sehemu ya ndoto yangu ya siku nyingi msaada tafadhali wakuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom