Kujiunga na Chuo cha Usalama wa Taifa kilichopo Mbweni, Bunju

Ili wakuchukue inabd ufanye kazi ya ziada kuwa mfano mzuri mtaani kuwa na tabia njema ussiwe mtu wa mikasa uwe saaafii uishi ukitumqini kiwa ipo siku moja utaitwa we subiri tuu
 
Hawana muda maalum wa kuajiri inategemea na mahitaji yao, mafunzo ni kuanzia miezi 6 na kuendelea, mchakato wa kujiunga ni mrefu sana..
 
Usalama wa taifa haiusishi kushika bunduki tu, ni idara ambayo ni pana sana kuliko watu wengi wanavyofikiria, so hoja ya kuwa wanachukua JK tu ni dhaifu, kama nilivyoeleza hapo juu inategemea na mahitaji yao, wana recruit kutokana na their specific needs during that time..
 
Nimekuelewa mkuu,shukran!

ukisikia kazi za usalama wa taifa zinatangazwa sehemu ujue hiyo ni feki. hakuna system yoyote inayoweza kutafuta watu wa security system kwa kutangaza kwenye media

Mkuu fungua kurasa za mitandao ya NSA, CIA, MOSSAD, ISI....
 
Usalama wa taifa haiusishi kushika bunduki tu, ni idara ambayo ni pana sana kuliko watu wengi wanavyofikiria, so hoja ya kuwa wanachukua JK tu ni dhaifu, kama nilivyoeleza hapo juu inategemea na mahitaji yao, wana recruit kutokana na their specific needs during that time..

Nakuunga mkono. Nilikuwa nawaza tu kwamba....kama kuna ishu inatakiwa ifanyiwe kazi miongoni mwa maprofesa, mfano, UDSM, kijana wa JKT kidato cha sita atapata wapi wasaa wa kukaa meza moja na maprofesa wa UDSM?
 
Ile ni idara ya intelligence, Google that word "intelligence" mtapata maana halisi, it has to do with Economy, Country Security, Diplomacy etc...
 
hata mimi binafsi nilikuwa n ndoto kuwa na kazi mbili 1..MLINZI WA VIONGOZI WAKUBWA 2...USALAMA WA TAIFA, LKN UMRI UMESHAENDA LATE 30S.....nafikiri huwa hawachukui mtu ambaye tayari ameonyesha matamanio ya kuwa mle kwa kuwa hawafahamu kiu yako ya kuwa mle ni mapenzi ya nchi yako au umetumwa kama mamluki wa mataifa mengine! wanaochukuliwa ni wale ambao wameshachunguzwa sana background yao kama, asili yako, iq yako,tabia zako na za ukoo wako, hulka zako, uzalendo wako nk...it is long process
 
Unaweza kuwa recruited hata ukiwa na miaka 50,inategemea na wanahitaji nani na nafasi ipi,kwa mfano kuna wanaochukuliwa jkt,hawa majukumu yao wakat mwingne ni kulinda viongoz,kuna maprof wanakuwa recruited pia,kuna wengne wanakuwa recruited wakat wako tayar jeshini,si lazima sana kupenetrate watu weng kwenye taasis moja kuwa ma_agents wakat mwingne agent m1 aliyemo anaweza kusaidia kufanya recruitment,popote ulipo fanya kazi kwa bidii,bila woga na usiish kwa maigizo
 
Sasa kwa mujibu wa chahali kwa umri huo mafunzo yao utayaweza kweli?
Unaweza kuwa recruited hata ukiwa na miaka 50,inategemea na wanahitaji nani na nafasi ipi,kwa mfano kuna wanaochukuliwa jkt,hawa majukumu yao wakat mwingne ni kulinda viongoz,kuna maprof wanakuwa recruited pia,kuna wengne wanakuwa recruited wakat wako tayar jeshini,si lazima sana kupenetrate watu weng kwenye taasis moja kuwa ma_agents wakat mwingne agent m1 aliyemo anaweza kusaidia kufanya recruitment,popote ulipo fanya kazi kwa bidii,bila woga na usiish kwa maigizo
 
habali ndugu zangu wa jf,kwa watu wanaokaa maeneo ya mbweni kuna chuo pale kinaitwa usalama ambacho
kuna mafunzo na masomo ya usalama yanafundishwa na kuna wanafunzi nawaonaga wanasoma ila hawanaga stori na watu.

kwa mtu anaefahamu atuambiee tuuu...wanangaliaaa sifa zipi....na una apply gani.....tusaidieni wenzenu...ambaoo tupo mtaani

Mpaka Hapa Tu Umeshadhihirisha Kuwa Wewe Ni Mtu Wa USALAMA Wa Taifa ( TISS ) Na Mada Hii Umeianzisha Kwa Makusudi Kupima Upepo Na Una Agenda Yako Ya Siri. Ngoja Principle Wenu Wa Hapo Chuoni Mbweni Commando Na Mkwe Wa Hayati Baba Wa Taifa Mr. George Wandiba Akubaini Na Utamkoma!
 
tafuta kazh nyingine bhana mbona zinalipa!!!kama vle ualimu nk.hhiyo kazi ya usalama haina ishu yeyote!!!unageuzwa m2mwa,cmu yako itackilizwa na mabosi wako!!!TUPA KULE USALAMA WA TAIFA!!

Mbona Wewe Hujatoka Na Upo Bado Huko TISS Hadi Sasa Na Leo? Acha Unafiki.
 
Huwa wanachukua jeshini. Nakumbuka wakati tupo jeshini walikuja na walitangaza wazi anayetaka ajiandikishe na ataingia huko baada ya kumaliza jeshi. Tena walionya kuwa mafunzo yao ni magumu zaidi ya yale yw jkt. Tofautisha wana usalama na informer. Informer ni mtu anayewapa clue au kuwapatia habari hawa ndio wapo wengi sana na ni wa aina mbali mbali. Fuatilia kesi ya uhaini ya mwisho akina lugangira walikamatwa kwa taarifa za dreva taksi alikuwa informer wao

Na Hao Ma Informers Wao Ndiyo Pasua Kichwa Huku Mitaani Kwa Kututisha Na Kutupiga Mkwara ILA Mimi Huwa Nawatoa Nishai Mno Kwani Wao Wamepajua Huko Baada Ya Kupata Ajira ILA GENTAMYCINE Humo Ni Kama Chama Langu La Liverpool Likiwa Uwanja Wake Wa Nyumbani Wa ANFIELD.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom