Wanawake wanaodai kuhudumiwa kipindi cha uchumba ni chuma ulete waliolaaniwa

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu ..

Watasema kama unataka utelezi hudumia ili kuhalalisha utapeli wao ila itabaki kuwa kweli wanamke walio laaniwa na kusukumiwa mikosi yote ya chuma ulete ndiye mwanamke pekee anayeweza kumdai mwanaume hela ya matumizi na kuhudumiwa kipindi cha uchumba kabla ya ndoa huku akimbebesha mwanaume majukumu ya wazazi wake

Tunaona Katika maisha ya sasa kumeibuka wimbi kubwa la wanawake kudai na kuona ni haki yao kuhudumiwa na wachumba zao jambo ambalo ni laana na ubatili mtupu na haliwezi kumuingia akilini mwanaume mwenye nia ya dhati kuoa. Haiwezekani kipindi cha kupimana, kujuana na kupanga mipango ya pamoja ewe mwanamke ugeuze ndiyo sehemu ya kumwaga matatizo yako yote na kulia njaa za hovyo kama kikaragosi kilicho laaniwa.

Mwanamke unatega utongozwe , wanaachwa wanawake wenzako unafatwa wewe badala ukae utulie na unyooke uolewe ukahudumiwe ndani ya ndoa tena kwa kumsaidia mumeo wewe unajitegesha kwenye mahusiano ya kimapenzi kama chuma ulete wa hela za mwanaume huku ukiweka nyapu yako kama mdhamini wako

Utakuta binti mzima kabisa, siyo mlemavu, siyo mgonjwa, siyo yatima wa wazazi wote tena ana nguvu na elimu yake nzuri ila utasikia ""ni hudumie mara nitunze ni haki kunitunza" , mwingine pasi na kufikiria anaomba hela hovyo kama kibaka aliye sahaulika, sasa jiulizeni kama siyo laana wanayo hawa viumbe ni kitu gani, wewe mwanamke badala utumie kipindi cha uchumba kumshawishi mwanaume akuoe ukawe mke wake akakuhudumie huko ndoani unatumia kipindi cha uchumba kujionyesha kuwa ni malayer, omba omba, mwanamke asiyefaa kuolewa na tapeli wa hali ya juu.

Ni mwanaume gani atakaye weza kuishi na mwanamke mwenye *red flag ya laana ya omba omba , unaomba huduma kama nani kwa mwanaume wewe kipindi cha mpito cha uchumba. Mwingine kana kaa kwao ila utasikia eti baby ni hudumie gesi imeisha, sijala , unga hamna, nataka nikasuke, mara nataka kufua sabauni hamna, hujakaa sawa kamejaa laana kana kuambia ni nunulie spray ya nguo, mara ile ya nywele mbaya zaidi utasikia baby leo ni zamu yetu ya kulipia umeme naomba hela ni nunue luku. laana tupu hizi kwa kweli

Zaidi sana na laana zake utasikia baby ni hudumie kwa kunitoa out tukaenjoy viwanja huko, nakuna yule mwingine anakuambia kabisa eti baby kodi imeisha sasa hapa mwanaume unajiuliza wazazi wake ndiyo wamepanga yeye inamuhusu nini.

hawa wanawake ni balaa waliojaa laana na nuksi kali wengine wanajiita wasomi, wanadai haki sawa , mafeminist hana hata hulka za kike , kengine katomboy ila utasikia mara na daiwa ada. Kengine kenye laana kali katakuambia naomba hela ya matumizi

Hizi siyo laana ni nini, hivi sisi wanaume na akiki zetu mnazani nyie wanawake mliojaa laana tutawaoa ili mkatuzalie watoto waliojaa nuksi maana hata maandiko yanasema mtoto wa nyoka ni nyoka, je mnategemea tutaoa laana zenu ili tukateseke ndani ya ndoa au tutawakimbia na wakati mwingine kuwageuza single maza.

Ewe mwanamke kama unataka kuolewa na upo serious hebu omba toba , vunja hizi laana na uamue kuwa mwenye heri uone kama utamaliza miezi mitatu bila kuolewa., sasa kama mnabisha nyie endeleeni kubeba hizi laana za omba omba nakutudai huduma kwenye uchumba kama hamjaishia kwa wajanja kuuziwa maji na mafuta ya upako huku mkidanganywa na miujiza bandia mapaka mzeeke mmechoka nakuchakaa.

sisi wanaume tutazidi kuwaepuka nyie kizazi cha nyoka, hatuoi wala kuishi uchumba sugu na mwanamke ambaye enzi za uchumba na urafiki wetu tumegundua ana laana za chuma ulete, omba omba na zakudai kuhudumiwa, tutakuchezea alafu tutaoa mwingine
 
Wacha ubahili Mkuu
 
Sawa tumekuelewa
 
mmemuona mwingine huyu hapa
Ni kweli ukiwa na hela utawatumia sana wanawake wazuri tena utawabadilisha kama boxer. Ila watambue mwenye hela mara nyingi sio mwenye malengo nao. Hawawezi kuwaendesha kibwege kamwe.

Ukitaka ujinga wa kuoa mwanamke mzuri subiri kwanza atumiwe kwanza na wenzako wenye pesa baada ya akili kumkaa sawa na umri kusonga. Au bwege mmoja mwenye pesa amsitiri kwa kuoa chuma chakavu.

Huo ndio ukweli wa maisha. Mwanamke mzuri sharti atumike kwanza tena haswa na wenye pesa.

Tutafute pesa. Tuwatumie
 
Kataa ndoa, ndoa ni utapeli uliohalalishwa.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hahahaha vijana tuna kazi.
siku moja nikiongea na rafiki yangu tuliyemaliza nae chuo ananiambia mwanangu mimi kuoa hapana Hawa watu walivyonitenda staki kabisa.
Nikamuambia pole kaka, kwahyo wewe hautafanya mapenzi?

akajibu kwani kufanya lazima uoe, nikamwambia vyema alikuwa na dogo la kike, alishawahi wahi kumpiga jamaa baada ya kugundua anatoka na mdogo wake, nikamuuliza sasa kama wewe unachezea watoto wa wenzako na hutaki kuoa na hata kwenda kwao kujitambulisha mbona ulimpiga yule jamaa aliyetoka na dogo lako la kike?

Ndio wewe sasa unatongoza mtoto wa mtu hutaki kwenda kwao unataka kuishi na mtoto wa mtu kama nguruwe tu, tukuulize wewe mtoto wako wakike akaondoka kwa staili hiyo ni sawa?

Kuna ugumu gani wa kwenda kujitambulisha kwao wazazi wakufahamu au walezi wake?
Hiyo nayo inakuwa ni ndoa.
 
Back
Top Bottom