Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

mwambie dilli hilo aende akawauzie gesi tanesco shida ya umeme itaisha
 
Maana leo nilikua somewhere,binadamu mmoja akajamba,hyo harufu nahc kama bado iko puani mwangu!sababu ni nin wakuu?

Sababu Ya Mtu Kujamba Ushuzi Wenye Harufu Mbaya Ni Muhusika Kuwa Na Stress Hivyo Hata Tumbo Nalo Huchafuka Vibaya Sana.
 
uo ushauri wa msikitini maana mnapenda kuputuka putuka ovyo kwaiyo watu kujijambia ni kawaida ndomana mmekuja na vidongeee
team msikitimashuziiii oyeeeee

Nani alikudanya? hayo mabo unajuwa ni wapi yanaruhusiwa, msikitini twaingia sharti kwa tohara na ukikutoka hata wa bahati mbaya basi sala huna, cheza na sii wewe? unadhifu uko kwenye imani yetu.

Kazi kwenu, kuchamba hamjui, kujitoharisha hamjui, mkikojowa hamnawi, mashuzi makanisani ni kitu cha kawaida, nini cha kukuzuwia?

Punguani wahed.
 
Nani alikudanya? hayo mabo unajuwa ni wapi yanaruhusiwa, msikitini twaingia sharti kwa tohara na ukikutoka hata wa bahati mbaya basi sala huna, cheza na sii wewe? unadhifu uko kwenye imani yetu.

Kazi kwenu, kuchamba hamjui, kujitoharisha hamjui, mkikojowa hamnawi, mashuzi makanisani ni kitu cha kawaida, nini cha kukuzuwia?

Punguani wahed.

Mimi nakujua huko nyuma haujatulia maana ugonjwa wako nikuliwa jicho mbona tunafamiana vizuri au sio weye
hahahaaaa dada faiza nime kumiss kesho nitarudi tena
 
Na Kwa Kuongezea tu Kuna au Zipo Aina Tatu za MIJAMBO au MISHUZI na Matokeo Yake
1. PRUUUUUUUUUU au Mlio Wa TREKTA LIKIWA LINAWASHWA.....Ni Ushuzi Wa Kistaarabu Ambao Unatoa Mlio wa Kushtua Lakini Hauna Madhara Kwa Jirani Aliyekaribu Nawe

2. YUSUUUUUUUUUUUUUUPH au Pyooooooo.............Ni Ushuzi Ambao Unatoka Kwa Sauti Ya Gitaa La Rythm na Huwa Una Harufu Kali Kidogo ila Inaisha Haraka na Una Madhara Kidogo tu Jirani.

3. HUUUUUUUUUUUUU au SOUNDLESS au USHUZI SAILENSA..........Ni Ushuzi Ambao Kwanza Unatoka Bila Ya Hata Kusikia AU Kutoa Sauti na Kwa Kawaida Anayeutoa Huu Ushuzi Huwa Anajifanya Ameuchuna au Yupo Busy ( Bize ) Sana na Mara Zingine Kama Upo Nae Karibu Atajifanya Anaanzisha Mada AU Anaongea Sana na Unapatikana Sana ktk Mabasi Yetu Haya Ya Daladala na Haswa Hivi VIPANYA na Mabasi Yale MKANGAFU ( MAKUBWA na MABOVU ) aina Ya Isuzu Ya Mwenge - Mbagala au Kawe - Mbagala AU Tegeta - Kariakoo ambayo Huwa Yanajaza Mno Kupita Kiasi ( NYOMI ), na Ubaya Wa Ushuzi Huu Ni Kwamba Harufu Yake Huwa Haiishi Kwa Muda Mfupi na Ukifanya MASIHARA Unaweza Ukakaa na Harufu Hiyo au Kuisikia Harufu Hiyo Kwa Muda Mrefu Sana ktk Mwili Wako na Ni USHUZI AMBAO UNAKUJIA PALE UNAPOKUWA na Watu Wengi Kama Kanisani, Msikitini, Msibani, Harusini, Darasani, Bungeni, ktk Makongamano na Kwa Mama AU Baba Mkwe na Ukisema tu UUBANE Lazima UPASUE MNYERO Wako ( KITOA KINYESI au HAJA KUBWA YAKO ) Kizungu ANUS!!!!! Na Ukizidi tu Kuubana Basi Utajikuta UMEKUNYA Hivi Hivi na Dalili Kubwa Ya Kumjua Aliyejamba Ushuzi Huu Ni Very Simple Nzi Huwa Hawabanduki Kwake Mithili Ya Helikopta Ya Chadema Kalenga. Siku Njema Wadau na Wana JF.................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Dah,nilijua tu ni wewe
 
Hiyo ya wastani wa mtu kujamba mara 14 kwa siku nadhani research zaidi zinatakiwa; maana kuna jamaa tulisoma nae primary, alikuwa na jimwili kubwa, mgomvi balaa akikatiza mtaani anaacha watoto wote wanalia, sasa ishu ni kuwa alikuwa anajamba muda wowote anaotaka, yani muda wowote ukimwambia jamba, jamaa anaachia bonge la shuzi, na zake ilikuwa akikutana tu na mtoto yeyote haijalishi anamfahamu au la anamkamata anasukumizia kichwa kwenye makalio yake anamjambia!

What is that?
 
Kuwa na gasi tumboni ndio inayo fanya ujambe kwa presha, hii inatokana na mambo mengi tu, sio kula tu hata kama ukichelewa kula kwa kukaa muda mrefu, ukila tu utajisikia kujamba, Jengine wakati makapi kapi yanaposhuka kama choo cha haja kubwa huwa kinashuka na gasi, Hivyo wakati mwingine unaweza kujisikia kila muda kujamba, Hivyo unahitajika kwenda ku clear haja kubwa soon as possible kukwepa kuja kuadhirika kwa mashuzi 😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom