Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Heaven on Earthkwani mi ni nani hadi nisijambe
Last edited by a moderator:
Heaven on Earthkwani mi ni nani hadi nisijambe
napenda mdada akijamba sauti ya ushuzi iwe nyembamba,inatamanisha sana aisee.
Nilijamba kwenye costar mosh to arusha ilibidi nipigwe ...
Huko Somalia au Sudan Kusini mtu akijamba lazima wamwandame...
Kwa ule uhaba wa chakula wanajua tu kuwa lazima huyo mtu kala msosi ndio maana kashusha shuzi...
Mambo Kumi ya Kushangaza Kuhusu Kujamba
Kwanini tunajamba? Kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu, lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda. Kila mtu anajamba, hata Halle Berry nae hujamba.
1. Kujamba ni nini hasa?
![]()
Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi. Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa. Hewa nyingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu,na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria.
Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen,asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9 ni carbon dioxide,asilimia 7 methane na asilimia Asante kutujuza lakini Mchwa si mnyama.
bora kilitoa harufu tu kila mtu akawa anajiuliza atakuwa nani, maana ingetoa sauti ni nouma
Ingia youtube { fart noises} utacheka saana. sauti za kujamba za kila aina utazipata
Hakuna lingine kweli…?
tuliipokuwa o level tukitoka prepo tulikuwa na mashindano ya kujamba ilikuwa balaaa maana ikifika saa nne bweni liko kimya atakae anzisha likijambo atajibiwa kwa kijambo..utasikia sauti za chura trekta,filimbi,mbwa, honda, makofi tulikuwa tunacheka sana hapo jioni lazima ule maharage mengi