Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kwa kweli mim siwez kujamba mbele ya mtu yeyote hasa mpenzi wangu sitak anisikiee kabisaa bora nikajambiee njee,ni raha lakin tena ni aibu!!!!!!

Kama kujamba unamficha tu, je mambo mengne si utakuwa unamficha zaidi
 
Kwa kweli mim siwez kujamba mbele ya mtu yeyote hasa mpenzi wangu sitak anisikiee kabisaa bora nikajambiee njee,ni raha lakin tena ni aibu!!!!!!

Hahah,,kwaiyo mpenzio hajui ka unajambaga? Huhu
 
Kwa kweli mim siwez kujamba mbele ya mtu yeyote hasa mpenzi wangu sitak anisikiee kabisaa bora nikajambiee njee,ni raha lakin tena ni aibu!!!!!!

Mumie una kazi ya ziada hadi unatoka nje kisa nini?mie huwa najiachia tu
 
Hii ni hatari sasa kwani ------- wameshapata mbinu ya kujilipua kwenye madaladala.
 
Hiyo ya wastani wa mtu kujamba mara 14 kwa siku nadhani research zaidi zinatakiwa; maana kuna jamaa tulisoma nae primary, alikuwa na jimwili kubwa, mgomvi balaa akikatiza mtaani anaacha watoto wote wanalia, sasa ishu ni kuwa alikuwa anajamba muda wowote anaotaka, yani muda wowote ukimwambia jamba, jamaa anaachia bonge la shuzi, na zake ilikuwa akikutana tu na mtoto yeyote haijalishi anamfahamu au la anamkamata anasukumizia kichwa kwenye makalio yake anamjambia!
 
Hiyo ya wastani wa mtu kujamba
mara 14 kwa siku nadhani research zaidi zinatakiwa; maana kuna jamaa
tulisoma nae primary, alikuwa na jimwili kubwa, mgomvi balaa akikatiza
mtaani anaacha watoto wote wanalia, sasa ishu ni kuwa alikuwa anajamba
muda wowote anaotaka, yani muda wowote ukimwambia jamba, jamaa anaachia
bonge la shuzi, na zake ilikuwa akikutana tu na mtoto yeyote haijalishi
anamfahamu au la anamkamata anasukumizia kichwa kwenye makalio yake
anamjambia!
???????
 
Huu Uzi kuchangia kwangu kulinisababishia ban karibu ya mwezi dah!
 
Ukizoea kijamba jamba watu waweza dhania ww co rizki au ukajichafua na mbolea bure co inshu kabisa kujiachia hovyo hovyo!!
 
mimi huwa najiachia lakini najikuta namkela mama watoto.
 
140716082408_farting_351x351_bbc_nocredit.jpg

Wanasayansi wanasema kutoa ushuzi ni afya

Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni.

Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo tumboni

Sasa Wanayansi katika chuo kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, wanasema kuwa wamegundua harufu mbaya kama vile ya kujamba japo inachukiza kwa pua, ina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu.

Wanasayansi hao wanasema kuwa harufu hiyo mbaya inaweza kuwa kinga dhidi ya magonjwa ya moyo na akili na hata Saratani.

Gesi au harufu mbaya ambayo hutokana na chakula kinachosagwa tumboni mwako inaweza kulinda baadhi ya viungo vya mwili wako.

Ndio! athari ni kile ambacho unakidhania: Eti watu wanauchukulia utafiti huu kumaanisha kuwa harufu mbaya inayotokana na mtu kujamba inaweza kuzuia magonjwa fulani mwilini kama vile Saratani.

Utafiti huo uliochapishwa katika mtandao wa chuo kikuu cha Exter uligundua kuwa gesi hiyo inayojulikana kama Hydrogen Sulfide ambayo pia hupatikana katika Mayai yaliyooza, inaweza kuwa muhimu katika kutibu baadhi ya magonjwa.

"ingawa gesi ya hydrogen sulfide inajulikana kuwa na harufu mbaya na hupatikana katika Mayai yaliyooza pamoja na harufu ya mtu kujamba, hutengezwa mwilini na inawezekana kuwa tiba kwa magonjwa fulani, ''asema Daktari Mark Wood,Profesa wa chuo hicho cha Exeter.

Gesi hiyo ina athari mbaya ikiwa katika viwango vikubwa , kwa mujibu wa utafiti huo.

Watafiti wanasema licha ya harufu hiyo mbaya ya kujamba kuchukiza, ina uwezo mkubwa wa kupunguza uwezekenano wa mtu kupatwa na magonjwa kama vile, Saratani,Kiharusi, mshtuko wa Moyo na kuumwa na mifupa

Chanzo: bbc
 
Umeikopy hii habari BBC SWAHILI neno kwa neno,taja chanzo kua umekopy maana utaulizwa maswali ushindwe kuyajibu bure hapa.
 
Wanasayansi wanasema kunyamba ni afya
Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni.
Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo tumboni
Taarifa zinazohusiana
afya
Sasa Wanayansi katika chuo kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, wanasema kuwa wamegundua harufu mbaya kama vile ya kujamba japo inachukiza kwa pua, ina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu.
Wanasayansi hao wanasema kuwa harufu hiyo mbaya inaweza kuwa kinga dhidi ya magonjwa ya moyo na akili na hata Saratani.
Gesi au harufu mbaya ambayo hutokana na chakula kinachosagwa tumboni mwako inaweza kulinda baadhi ya viungo vya mwili wako.
Ndio! athari ni kile ambacho unakidhania: Eti watu wanauchukulia utafiti huu kumaanisha kuwa harufu mbaya inayotokana na mtu kujamba inaweza kuzuia magonjwa fulani mwilini kama vile Saratani.
Utafiti huo uliochapishwa katika mtandao wa chuo kikuu cha Exter uligundua kuwa gesi hiyo inayojulikana kama Hydrogen Sulfide ambayo pia hupatikana katika Mayai yaliyooza, inaweza kuwa muhimu katika kutibu baadhi ya magonjwa.
"ingawa gesi ya hydrogen sulfide inajulikana kuwa na harufu mbaya na hupatikana katika Mayai yaliyooza pamoja na harufu ya mtu kujamba, hutengezwa mwilini na inawezekana kuwa tiba kwa magonjwa fulani, ''asema Daktari Mark Wood,Profesa wa chuo hicho cha Exeter.
Gesi hiyo ina athari mbaya ikiwa katika viwango vikubwa , kwa mujibu wa utafiti huo.
Watafiti wanasema licha ya harufu hiyo mbaya ya kujamba kuchukiza, ina uwezo mkubwa wa kupunguza uwezekenano wa mtu kupatwa na magonjwa kama vile, Saratani,Kiharusi, mshtuko wa Moyo na kuumwa na mifupa

Source with evidence pleassse ??????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom