Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Pia usijilazimishe kujamba kama una tumbo la kuhara..unaweza ukajenga undugu na nzi kwa muda mfupi...........
 
Pamenimaliza hapo kwenye salaam....mtaani si shughuli sasa?
 
hatari sana kuna watu wakijamba basi eneo zima linakuwa si mahali pazuri pa kuishi.
 
...............Shairi la ushuzi...........
...............a fart poem


A good loud fart is honorable
A medium fart is torelable
Softer windbreaks are terrible
And the silent ones unbearable


Source: 3 ------ movie
 
umeongelea hao wayonami wa amerika kusini kusalimiana kwa kujamba...ina maana wao vijambio vyao mda wote viko tayari?chukulia mfano unasalimiana na watu kama kumi kwa mda mfupi...!
 
Haaaaa umenichekesha sana nakumbuka kina siku nilibanwa na kijambo tumekaa watu wengi nikajua hakitatoa harufu lol kijambo kilichafua hali ya hewa kile vibaya saana
bora kilitoa harufu tu kila mtu akawa anajiuliza atakuwa nani, maana ingetoa sauti ni nouma
 
Mimi Huwa Najamba Zaidi Ya Mara 5 Kwa Siku,wakati Mke Wangu Hujamba Mara Moja Au Mbili,hilo La Wanaume Kujamba Kuliko Wanawake Naliunga Mkono,au Masaidada Unasemaje???

Wanawake wanaonekana wanajamba kidogo coz wao wanaona aibu na huwa wanajamba kwa kujificha.
 
Huko nchi za wenzetu kuna dawa ya kutoa harufu ya kijambo au kuiweka iwe ya flavour mbali mbali , unakuta vijambo vinanukia kama machungwa , apple , na kadhalika. Nadhani hiyo dawa ninesahau jina lake tafadhali kama kuna mtu anaijua atujuze.
 
Hadi umri huu sijawahi kumsikia mama akijamba! Wewe jee? Baba huwa akiachia bila tahadhari.
 
napenda mdada akijamba sauti ya ushuzi iwe nyembamba,inatamanisha sana aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom