Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

...nasikia kwa ndugu zetu wahindi kujamba ni kitu cha kawaida kabisa na unaweza hata kupongezwa na uliokaa nao karibu ukitoa shuzi la sauti kubwa lililokwenda shule...!
hahahahhaa hii kali but nasikia pilipili zinachangia hii hali kwa wahindi
 
Aisee!kujamba kunaweza kuzalisha bomu la atomik?hatari sana,tunahangaika na globo womingi kumbe kujamba kunachangia?

Kama unaumwa,au una maumivu tumboni au kichomi mbavuni,jf sio sehem nzuri kwako,utachelewa kupona kwa kujitonesha na kicheko.
 
Laha ya kujamba wakati unamnanihiii demu kwenye 0713 akijamba ndio unajickia laha kweli,mimi nimebahatika kupata hali iyo.jalibu uoneee
 
Hata kama huna bandama utacheka tu,huyu mleta mada inaonekana kafanya utafiti wa kutosha
 
Hilo kabila wanalosalimiana kwa kujamba, sipati picha mtoto anaamka asubuhi anaenda kumtegeshea makalio karibu na kichwa cha mzazi halafu anaachia ushuzi, then mzazi naye anajibu kwa ushuzi, halafu mtoto akiondoka mzazi anajisemesha, katoto kana adabu sana haka!
 
Mh!!
Hao wanaosalimiana kwa kujamba sasa!
Vipi ukitaka kusalimia na tumboni hamna gesi?
Kama nawaona wanavyojikamua ili salamu itoke!!!!
 
Unauliza bia Bar?ndio ukweli tigo ikijamba na shafti ipo ndani nilisikia umoto moto mzuli sana ,nikazidi kushindilia ili ajambe tena.weeee jalibu uone laha 0713
 
Mambo Kumi ya Kushangaza Kuhusu Kujamba

11:35 PM | No comment


Kwanini tunajamba?kwanini "ushuzi" unanuka?Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.Kila mtu anajamba,hata Halle Berry nae hujamba.



1.Kujamba ni nini hasa?



a98612_rsz_farts.jpg

Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa,ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi.Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa.Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu,na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria.Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen,asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9 ni carbon dioxide,asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen. Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans,ambayo ndio ina sulfur ndani yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya Kujamba huambatana na sauti,hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa.Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.

2.Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?



a98612_rsz_a98612_fart-smelling.jpg

Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu,vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio husababisha hili.Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama maharage,kabichi,soda na mayai.


3.Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku



a98612_a98612_rsz_everybody-farts.jpg

Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku.Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6,anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.



4.Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde.



a98612_a98612_fart-photoshop2.jpg

Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada ya mtu kujamba,hiyo ni kwa sababu inachukua muda mrefu kwa harufu kufikia pua.



5.Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako



a98612_rsz_doctors.jpg

Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia kujamba ni hatari kiafya.Baadhi ya wataalam wanafikiri kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,hivyo kujizuia kujamba haitakuletea madhara.Wengine wanadhani kwamba kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa gesi,na pia inaweza sababisha kikundu(hemorrhoids).



6.Kwa Baadhi ya Tamaduni,Kujamba Sio Ishu



a98612_rsz_yanomami-kinder.jpg

Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu,kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani,na pia hufurahia tendo hilo.Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini,kwao husalimiana kwa kujamba,na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani,Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya,alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".



7.Ushuzi Unawasha Moto



a98612_rsz_farts-flammable.jpg

Kama ilivyoandikwa hapo juu,methane na hydrogen inayozalishwa na ushuzi inaweza sababisha moto.



8.Mchwa Hujamba Kuliko Wanyama Aina Zote



a98612_drs-termite-farts-f.png

Ni ngumu kuamini kuwa mchwa ndo anawajibika na matatizo yetu ya "Global Warming".Mchwa huongoza kwa kujamba kwa wanyama,na hiyo huzalisha gesi ya methane.



9.Ukiubana Ushuzi,Utakutoka Usingizini



a98612_rsz_good-sleep-smile.jpg

Hata ujitahidi kuubana vipi,ushuzi utatoka mara utapokua umepumzika,hasa ukiwa umelala.



10. Watu Hujamba Hata Baada ya Mauti Kuwafika



a98612_rsz_dead-toe-tag.jpg

Maiti huendelea kutoa gesi hadi masaa matatu baada ya mtu kufariki dunia,hii huambatana na milio ya kujamba.Hali hii husababishwa na misuli kusinyaa.

walimwengu

Na Kwa Kuongezea tu Kuna au Zipo Aina Tatu za MIJAMBO au MISHUZI na Matokeo Yake
1. PRUUUUUUUUUU au Mlio Wa TREKTA LIKIWA LINAWASHWA.....Ni Ushuzi Wa Kistaarabu Ambao Unatoa Mlio wa Kushtua Lakini Hauna Madhara Kwa Jirani Aliyekaribu Nawe

2. YUSUUUUUUUUUUUUUUPH au Pyooooooo.............Ni Ushuzi Ambao Unatoka Kwa Sauti Ya Gitaa La Rythm na Huwa Una Harufu Kali Kidogo ila Inaisha Haraka na Una Madhara Kidogo tu Jirani.

3. HUUUUUUUUUUUUU au SOUNDLESS au USHUZI SAILENSA..........Ni Ushuzi Ambao Kwanza Unatoka Bila Ya Hata Kusikia AU Kutoa Sauti na Kwa Kawaida Anayeutoa Huu Ushuzi Huwa Anajifanya Ameuchuna au Yupo Busy ( Bize ) Sana na Mara Zingine Kama Upo Nae Karibu Atajifanya Anaanzisha Mada AU Anaongea Sana na Unapatikana Sana ktk Mabasi Yetu Haya Ya Daladala na Haswa Hivi VIPANYA na Mabasi Yale MKANGAFU ( MAKUBWA na MABOVU ) aina Ya Isuzu Ya Mwenge - Mbagala au Kawe - Mbagala AU Tegeta - Kariakoo ambayo Huwa Yanajaza Mno Kupita Kiasi ( NYOMI ), na Ubaya Wa Ushuzi Huu Ni Kwamba Harufu Yake Huwa Haiishi Kwa Muda Mfupi na Ukifanya MASIHARA Unaweza Ukakaa na Harufu Hiyo au Kuisikia Harufu Hiyo Kwa Muda Mrefu Sana ktk Mwili Wako na Ni USHUZI AMBAO UNAKUJIA PALE UNAPOKUWA na Watu Wengi Kama Kanisani, Msikitini, Msibani, Harusini, Darasani, Bungeni, ktk Makongamano na Kwa Mama AU Baba Mkwe na Ukisema tu UUBANE Lazima UPASUE MNYERO Wako ( KITOA KINYESI au HAJA KUBWA YAKO ) Kizungu ANUS!!!!! Na Ukizidi tu Kuubana Basi Utajikuta UMEKUNYA Hivi Hivi na Dalili Kubwa Ya Kumjua Aliyejamba Ushuzi Huu Ni Very Simple Nzi Huwa Hawabanduki Kwake Mithili Ya Helikopta Ya Chadema Kalenga. Siku Njema Wadau na Wana JF.................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mleta mada umenifanya nicheke big up,,, nalitafuta shuzi hapa.
 
Siku moja nikiwa mtoto...tulikusanyika as family bila kusahau marafiki tukawa tuna watch movie...mara nikapitiwa na usingiz(kusinzia) nliposhtuka ush.uzi umetoka kwa sauti alafu watu hawana mbavu!!! Nlikua mdogo vipi....aibu uso mzima!!! Nlijifanya kama sijui vile....


hahahahhahahaahhhaahhahhahhaha......................!
 
Nimesikia eti katika jimbo Fulani huko ujerumani wanafanyaga mashindano ya kujamba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom