Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

tuliipokuwa o level
tukitoka prepo tulikuwa na mashindano ya kujamba ilikuwa balaaa maana
ikifika saa nne bweni liko kimya atakae anzisha likijambo atajibiwa kwa
kijambo..utasikia sauti za chura trekta,filimbi,mbwa, honda, makofi
tulikuwa tunacheka sana hapo jioni lazima ule maharage mengi

Mbavu zangu mwee hoi! Umenikumbusha mbali saana!
 
Habar wana jf....watu wengi wamekua wakikumbana na matatizo ya kuumwa tumbo au kujaa gasi. Sasa kuanzia leo unapobwana na hali ya kujamba nakusihi usijibane kujamba kwan hewa hiyo hiyo ikirudi ndani kuna hasara kubwa kiafya kuliko kuitoa nje. Hizi ni baadhi ya faida za kujamba. 1. Kuzuia ugonjwa wa kiungulia na tumbo kujaa gasi.2. Kuumwa na kichwa hususani wakati wa asubuhi..3.Kupata hamu ya kula. 4 Kuzuia kunuka kwa kinywa.5 Kupata choo safi.Asanteni..
Kwa nyongeza zaidi pia ni kwamba unapojamba automatically unaongeza life span yako kwa sababu hewa chafu (carbon dioxide) inapobakia ndani kwa sababu ya kutojamba Mara kwa mara,hugeuka sumu na kuleta madhara mbalimbali mwilini. Lakini napenda nitoe angalizo hili kwa Mara nyingine tena kwamba sikuzote linalojamba ni tumbo na kwa hiyo mku****ndu hutumika kama kipaza sauti tu.
 
Huu si mzaha!! Na waswahili tuna msemo Ashakhum si matusi. Naomba mniwie radhi kwa maneno makali yasiyo na tafsida nitakayotumia katika uzi wangu huu.

Nimekuwa nikajiuliza sana tena saana. Hivi ni kwa nini kujamba ni aibu zaidi kuliko kujisaidia kunya na kukojoa?

Ni rahisi sana kumsikia mtu akisema "naenda kujisaidia haja kubwa au haja ndogo... Ila ni vigumu sana kumsikia mtu akisema natoka kidogo ili nikajambe".

Ni kwa nini ilhali zote ni njia za utoaji wa taka mwili? Yaani taka mwili kwa njia ya kimiminika, yabisi na gesi.
 
Mweee tatizo ni harufu mbaya inayoambatana na kitendo hicho ndo maana watu wanajishtukia na hawataki kuonekana au kugundulika! kibiolojia ni utoaji wa uchafu/ hewa chafu mwilini ni sawa na kojoa, au kujisaidia sasa waweza fanya haya kweupe si unakwenda chobisi kisha unajiachia!

Hii mada inahitaji ujasiri kuichangia!
 
Halafu ndo upo kwenye daladala ya uda ya kwenda tegeta halafu umebanana upo full halafu mtu anaachia ushuzi tena wa swaum kali hapo lazima mtufatune tu! Kweli kujamba ni noma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom