Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
mwambie aje haraka
Atakua na mtalaka wanapanga jinsi ya kulea watoto,subiri atakuja tu!
mwambie aje haraka
wanamtaliki kwa sababu ya ukorofi wake ila akiingia anga zangu hato juta kamwe.
Nimefika Passion Lady... Slave anasemaje...
Anamtafuta Mamndenyi mi nimemwambia labda utakua upo nae,kwa hiyo mwambie anaitwa huku!
Nimeelewa unachomaanisha.....nakuja chimboni kwetu
Nimeelewa unachomaanisha.....nakuja chimboni kwetu
Vin Diesel shikamoo kaka mkubwa tafadhari sana usimsikilize huyo anataka tukosanisha tu.Nimefika Passion Lady... Slave anasemaje...
Akhaaa!nipo na loya wangu tumepumzika staki usumbufu!
Nyie BARCA NENI tu, mie stendi ya kwanza kwa Baba V akirudi
Vin Diesel shikamoo kaka mkubwa tafadhari sana usimsikilize huyo anataka tukosanisha tu.
Passion Lady[/B] anazingua tu hapa.....ngoja nikamalizane nae nitarudi.
Kama upo nae kwanini uende chimbo letu....
Chimbo umeniona saa ngapi,nimekwambia siji,njoo nyumbani nimepika biriani tunakusubiri uje tule,loya amekukumbuka sana fanya haraka!
Nyie BARCA NENI tu, mie stendi ya kwanza kwa Baba V akirudi
Huyu Passion Lady anazingua tu hapa.....ngoja nikamalizane nae nitarudi.
Hatubakani,nimemkaribisha dinner tu kiroho safi,mi nipo na swr wangu hatugombwi na mtu!so usijali!