Pole Dada. Ukiwa na nafasi ni vyema ukaenda kumjulia hali hapo ndio utapata kila kitu dada.Bado nashangaa.
Kamwone basi physically uje utupe mrejesho kama inawezekanaNdio tunajuana kabisa kabisa, hata ulabu tunapiga naye
Sawa. ila sms zingine hata hazisomeki ameandika niniEndelea kutupa updates mkuu
mkuu kama unapajua anapoishi si ungeshaenda muda mrefu...angalieni msijekuwa mnatufanyia drama kwa mambo serious!!Napajua mkuu
Niko kibaruani mkuu wangu.mkuu kama unapajua anapoishi si ungeshaenda muda mrefu...angalieni msijekuwa mnatufanyia drama kwa mambo serious!!
Sawa mkuuKamwone basi physically uje utupe mrejesho kama inawezekana
Dah! Hiyo inaweza kua serious case thenSawa. ila sms zingine hata hazisomeki ameandika nini
Ahsante mkuu. wala sijibu. Ndio maana nimeona niweke tu uzi hapa kwa kuwa amesisitiza.Halafu unakuta anakubeba ufala.
Usimjibu...wala hakuna lolote linalompata, trust me!
IshallahUsijali Dada. Tupo pamoja.
weka hapa codes za kwake watu tuende tukashuhudie!Niko kibaruani mkuu wangu.
AminaHakuna cha kuogopa, kikubwa kinacgoweza kumpata ni kifo, kwakuwa kifo kipo ni vema sisi sote tujiandae kukipokea wakati wowote