Kwa hiyo mkuu ikipita siku sijakuona huku niweke msiba? [emoji23][emoji23] tusije sumbuana nikaweka msiba kumbe haukuwa na bando!![emoji13] [emoji13] [emoji13] aisee hata unyayo sijaacha humu kama ushaidi .Siwezi kaa bila Jf siku ukiona nimepotea ndio hivyo itakuwa safari tena nitakie tu kila la kheri nilale salama .
Walau sumbai mpo naye bega kwa bega
[emoji13] [emoji13] [emoji13] sio siku mkuu walau jipe miezi kadhaaKwa hiyo mkuu ikipita siku sijakuona huku niweke msiba? [emoji23][emoji23] tusije sumbuana nikaweka msiba kumbe haukuwa na bando!!
Baba P nikifa sijui kama ataleta hata taarifa .
Miezii? Msiba hautanoga bhana. Angalao kwa wiki tuu.[emoji13] [emoji13] [emoji13] sio siku mkuu walau jipe miezi kadhaa
Teh kama Baba P hatoleta Raimundo ataibuka tu uko alipo hata kama kala life ban
Kuna ndugu yangu alikuwa anasumbua sumbua ohoo nataka kunywa sumu.nikaenda kumletea.eti akaondoka kunishtaki kwa wazee nataka kumuua..Israel habipiwi bna.maisha yenyewe magumu
Inategemea na location...kujulia wagonjwa ni jambo jemaAsante kwa taarifa mkuu. Itakuwa aligonga kichwa bila shaka.
Haruhusu kutembelewa? Natamani nikamjulie hali.
Ukaribu wenu upo karibu kiasi gani, huenda anawasilisha hisia zake kwako kwa njia anayojua yeye.Huyu ni rafiki yangu wa karibu sana mkuu
Usiogope, ila kuwa makini tu. Urafiki ukianzia jf unanoga sana...!!Wanakuja pm wengi ila naogopaga kuwapa mawasiliano[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Simu atakuwa anaenda nayoMwambie aache stress mkuu, aende kwa baba huku anatumia na simu?
Aoge matusi kwa nini? Kwani wewe huwa hutongozwi?Yesu wangu!! Hivi hawa viumbe wanatabia gani hizo? Ila huyu kama nikijua kuwa ulikuwa ni upuuzi wake, aisee ATAOGA MATUSI haki ya nani
Ticha acha basi. Kwani kuna ubaya ndugu tyuta bii akitunukiwa kiota cha asali?Ndo hivo anataka mzigo kwa huruma, kisingizio cha kufa
Hamna ubaya, nlikua najaribu kuguess atakua na tatizo ganiTicha acha basi. Kwani kuna ubaya ndugu tyuta bii akitunukiwa kiota cha asali?