Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Kuna kazi ipo kwa staili hii
Mtoa hoja hakuna haja ya kutotaja majina ya wahusika.
Mbona majina ya walengwa umeyataja kiufasaha?

soma vizuri pale juu kabisa ya habari yenyewe!!! juu kabisa we soma then utaelewa marekebisho yaliyofanyika .....isitoshe kwako hayo unaona sio majina .....lakin itoshe kusema tu kwamba ni majina yanajitosheleza....
 
Fiksi tupu hapo hamna kitu anatuyeyusha, 1. Hakuna mpuuzi wa kuongelea jambo nyeti na la hatari kama hilo Hotelini tena ya kimataifa 2. Ameshindwa nini kuwataja hao majasusi kama wengine wamewezekani, anaficha kitu au hana uhakika? 3. KGB hawa deals na individual au private group so anatueleza kuwa Usalama wa Taifa ndo wameshiliki katika mpango huo na hii maanake ni kuwa Serikali inautambua mpango mzima sasa vipi tena aombe Serikali hiyo hiyo kuchukua hatua? 4. Haingii akilini Usalama wa Taifa kwa resource zote walizo nazo wakafanyie kikao kama hicho upenuni huo ni uongo tena ni uchonganishi, hao watu anaowataja wanatakiwa kuuwa wako kwenye ngazi za juu Serikali na huyo mwakyembe na wenzie wanauwezo gani wa kuzuia mafisadi kama wenyewe tu wamejaa vimeo vya kashfa....kama ningekuwa nawahitaji wala nisingetumia nguvu kubwa hivyo au kuhitaji damu kumwagika maana wote hao wamejaa uchafu wa kuwamaliza wenyewe. 5. Binafsi nimefika hadi nyumbani kwa Dr mwakyembe yaani anamalizika kiubua kweli sasa hadithi za kwenda kununua sumu urusi mbona ya kufikirika sana.

NASEMA HIVI we ni mzushi na Mwanga.

kwa kifupi ni kwamba hujui unachokiongea...hujui LTK ni nini...hujui LTK wana mafungamanao gani na IKULU+ TISS, huwajui KGB...na pia hujui uwezo wa TISS...
 
ile ilipangwa tena kwa ustadi mkubwa sana...hata namna alivyopigwa risasi..nikuulize swali: si walisema wanaunda tume ya kuchunguza mauaji? ulishaiona riport ya tume hiyo achilia mbali kuisikia??

sasa yule baba wa watu alikuwa ameona nini mpaka wakammaliza? hii nchi hii,
 
Fiksi tupu hapo hamna kitu anatuyeyusha,

1. Hakuna mpuuzi wa kuongelea jambo nyeti na la hatari kama hilo Hotelini tena ya kimataifa

2. Ameshindwa nini kuwataja hao majasusi kama wengine wamewezekani, anaficha kitu au hana uhakika?

3. KGB hawa deals na individual au private group so anatueleza kuwa Usalama wa Taifa ndo wameshiliki katika mpango huo na hii maanake ni kuwa Serikali inautambua mpango mzima sasa vipi tena aombe Serikali hiyo hiyo kuchukua hatua?

4. Haingii akilini Usalama wa Taifa kwa resource zote walizo nazo wakafanyie kikao kama hicho upenuni huo ni uongo tena ni uchonganishi, hao watu anaowataja wanatakiwa kuuwa wako kwenye ngazi za juu Serikali na huyo Mwakyembe na wenzie wanauwezo gani wa kuzuia mafisadi kama wenyewe tu wamejaa vimeo vya kashfa....

Kama ningekuwa nawahitaji wala nisingetumia nguvu kubwa hivyo au kuhitaji damu kumwagika maana wote hao wamejaa uchafu wa kuwamaliza wenyewe.

5. Binafsi nimefika hadi nyumbani kwa Dr Mwakyembe yaani anamalizika kiubua kweli sasa hadithi za kwenda kununua sumu urusi mbona ya kufikirika sana.

NASEMA HIVI we ni mzushi na Mwanga.

hapo kwenye red inahitajika tafakuri ya kina kuhusu unachozungumza. au wewe ndo mkuu wa LTK/D00/B1 ?????????????
 
kwa kifupi ni kwamba hujui unachokiongea...hujui LTK ni nini...hujui LTK wana mafungamanao gani na IKULU+ TISS, huwajui KGB...na pia hujui uwezo wa TISS...

Hamna lolote uzushi tu, License To Kill gani wanafanya kikao Movenpick bullshit kabisa, jina lake lenyewe anaonyesha kaangalia sana movie za kijasusi, eti KGB kakodi ndege kuja Bongo kufundisha namna ya kuua lwa sumu....yaani kama kuna mtu anaelekea kuamini UPUPU nampa pole sana, kwa nguvu za Bwana KGB sidhani kama hata Muhimbili angefika. Watanzania sijui wakoje wamekaa kichawi kweli.
 
Fiksi tupu hapo hamna kitu anatuyeyusha,

1. Hakuna mpuuzi wa kuongelea jambo nyeti na la hatari kama hilo Hotelini tena ya kimataifa

2. Ameshindwa nini kuwataja hao majasusi kama wengine wamewezekani, anaficha kitu au hana uhakika?

3. KGB hawa deals na individual au private group so anatueleza kuwa Usalama wa Taifa ndo wameshiliki katika mpango huo na hii maanake ni kuwa Serikali inautambua mpango mzima sasa vipi tena aombe Serikali hiyo hiyo kuchukua hatua?

4. Haingii akilini Usalama wa Taifa kwa resource zote walizo nazo wakafanyie kikao kama hicho upenuni huo ni uongo tena ni uchonganishi, hao watu anaowataja wanatakiwa kuuwa wako kwenye ngazi za juu Serikali na huyo Mwakyembe na wenzie wanauwezo gani wa kuzuia mafisadi kama wenyewe tu wamejaa vimeo vya kashfa....

Kama ningekuwa nawahitaji wala nisingetumia nguvu kubwa hivyo au kuhitaji damu kumwagika maana wote hao wamejaa uchafu wa kuwamaliza wenyewe.

5. Binafsi nimefika hadi nyumbani kwa Dr Mwakyembe yaani anamalizika kiubua kweli sasa hadithi za kwenda kununua sumu urusi mbona ya kufikirika sana.

NASEMA HIVI we ni mzushi na Mwanga.

huu ni mpango wa serikali ndugu tangu awali hii movie ilihusisha watendaji waandamizi wa serikali pamoja na magali ya serikali na usalama wa taifa ukihusishwa na Mwema na Wasira wakihusika sasa unataka ushahidi gani, ndugu inatia hasira ndo maana watu hawataki hata kutaja majina yao.
 
Nilitaka kupita tu bila kusema chochote...............kwa hili nikupongeze kwa mtazamo ulio pevu.....

hamna lolote uzushi tu, license to kill gani wanafanya kikao movenpick bullshit kabisa, jina lake lenyewe anaonyesha kaangalia sana movie za kijasusi, eti kgb kakodi ndege kuja bongo kufundisha namna ya kuua lwa sumu....yaani kama kuna mtu anaelekea kuamini upupu nampa pole sana, kwa nguvu za bwana kgb sidhani kama hata muhimbili angefika. Watanzania sijui wakoje wamekaa kichawi kweli.
 
Licence to kill ina maana mbili:
1. kinga anayopewa Jasusi au Askari kanzu na Serikali katika misheni maalum au amri ya kutumia nguvu za kufika kuua, hasa kwa kutekeleza amri ya serikali ama kutekeleza misheni maalum ya kijasusi isiyokuwa ya kijeshi kama kuua mtu

2. Oda inayotolewa ya kuua mtu (mfano ile ya Osama na wanachama wa Alqaida) lakini pia Amri au kinga hii inamipaka. hivyo LTK ni kinga ya kisheria kwa kikundi cha watu au Mtu ambayo inamzuia kushtakiwa kwa kosa la mauji. ... yaani kuua ni sehemu ya kazi ya mtu na hivyo hawezi kutiwa hatiani

Tanzania haijawahi kutoa amri ya LTK kwa mtu yoyote na hata mahakama haina uwezo wa kumuua mtu bila idhini ya Rais. Sasa hao wa movenpick wametoka wapi kama sio kutiana CHANGA? Hizo ni movie za James Bond wasiojua nawapa pole. Na Uingereza na Marekani wanayosheria hii ambayo humpa Rais (kwa Marekani) na Waziri wa mambo ya ndani kuwalinda wanajeshi au majasusi wao wanapotekeleza LTK nje ya nchi zao ambapo kwa sheria z nchi hizo ni kosa (First degree murder)

Sasa turudi na hii ripoti ya kizushi, LTK na TISS wanawajibika kwa nani maana kama ametumia tu jina kufurashi baraza hewala ila kama ni legal entity basi aseme kuwa hili ni kundi la watu linalojitegemea afu aseme iweje kundi hilo liwe na uwezo kuzidi usalama wa taifa maana kuwashirikishi KGB sio kitu cha kuropoka, ile ni taasisi ya ujajusi ya Urusi kama ilivyo CIA ya Marekani. Hawawezi kuja kutoa mafunzo eti kisa sababu za kisiasa za kina Mwandosya hahaha na kubenea eti yumo. Naipinga ripoti hii kwa uhuru wangu kama yeye alivyopewa uhuru kuiweka hapa. Hii ndo mana ya daring. Nasema huo ni UPUPU kama sio CINEMA
 
Sounds like truth. Ngoja tuone movie yenyewe halafu magamba wataingia humu kwa fujo kukanusha
 
Mkuu Fiksman signature yako ni kali mkuu: Become like your enemy to deceive your enemy. Kwa signature hii napata shida kuamini hata haya unayoongea. Is this not deception?
 
Mkuu Fiksman signature yako ni kali mkuu: Become like your enemy to deceive your enemy. Kwa signature hii napata shida kuamini hata haya unayoongea. Is this not deception?

We unahitaji msaada, sasa ukianza kuamini kwa kuangalia signature hata hiyo ripoti hutaisoma maana muandishi ni Jason Bourne si ni picha hiyo? Ni hivi mi najaribu kusema kulingana na kilichowasilishwa kwenye ripoti. "Mtunzi" ameonesha kama LTK ni kundi na lina kiongozi wake, wakati sio kweli hao labda ni majambazi tu...LTK kwa level ya nchi yetu inatoka kwa Rais pekee kisheria ndo maana hata adhabu ya kifo lazima ipate GO AHEAD yake. Na sio kama alivyoweka yeye maana hao wahusika hawapo katika list ya watu hatari katika nchi hii sasa iweje wawekewe notisi ya kifo? Mbona yule Jasusi Kombe aliuwawa kiubua tu, klichofanyika ni kuiomba radhi familia yake mchezo ukaisha, huyo Mwakyembe kawa Jasusi lini hadi akwepe mitego ya akili 16? So unreal kwa kweli.
 
Mhh! God forbid!

Baada ya kushauriwa na afisa mwandamizi wa JF bwana PAW kuwa niifanyie marekebisho kidogo hii ripoti na mimi bila hiyana nimefanya hivyo. Ni matumaini yangu kuwa japo uhalisia kamili wa ripoti utakuwa umepungua lakini nitawaomba kuweni wavumilivu.

Vilevile nitawaomba radhi wale mtakao kerwa na mpangilio mbovu wa hii ripoti, hii ni kwa kuwa mimi si mtaalamu sana wa uandaaji wa ripoti.

RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011

JASON BOURNE
TEL:*********
ID************

Hatua ya kwanza:
Niliamua kujua kama ni kweli kalishwa sumu au laa. Na watu nilio wahusisha katika kujua huko ni TISS.

Katika uchunguzi niliweza kuzungumza na LTK wapatao kumi na tano.
  1. Maboharia wawili
  2. Wapanga mikakati wawili
  3. Mkuu wa LTK
  4. Vijana wa kazi kumi
Wote maelezo yao yalifanana kwa maana ya (walishiriki kupanga na kutekeleza kumlisha sumu Dr Harison Mwakyembe)

Hatua walizopitia:

Kwa mujibu wa maelezo ya LTK/D00/B1 mkuu wa kitengo hicho ambae kwa kweli niliongea nae kama rafiki yangu wa karibu ndie aliyenipa mwangaza wakufanikisha kazi yangu.

Katika misheni hii watu wengi wanatakiwa KUFA, nitawataja wale muhimu tu:
1. Wilblod Slaa
2. Samweli Sitta
3. Harison Mwakyembe
4. Said Kubenea
5. Mark Mwandosya

Mnamo ijumaa ya tarehe 01/10/2010 saa 4:25, kikao kikuu cha mikakati kilikalika Moven Pick kikihudhuriwa na watu sita,

  1. TISS/A001 XXX
  2. TISS/B1
  3. TISSB32
  4. TISS/B5
  5. TISS/A6
  6. TISS/F5

Baada ya mjadala wa saa moja uliogusa magumu inayokumbana serikali na watu walio waona wao ni vikwazo na waliosababisha magumu hayo, ndipo wakaibuka na listi ya wanaotakiwa kusalimisha uhai wao:

Bada ya hapo kesho yake TISS/B1 alikutana na LTK/D00/B1 na kumpa amri ya misheni hiyo na orodha kamili ya watuhumiwa bila kumwambia sababu za mauaji hayo, zaidi alisema “nahitaji ripoti ya utekelezaji”.

Baada ya amri kuwa chini ya LTK, mikakati ya aina ya kifo kwa kila mtuhumiwa ilipangwa ambapo walipamgwa katika makundi matatu,

1 Samweli Sitta
2 Harison Mwakyembe
3 Mark Mwandosya
Hawa wamepangiwa vifo vya aina mbili kwanza ajali na ikishindikana watalishwa sumu.

1 Said Kubenea

Kumwagiwa tindikali, baada ya kufeli ile ya kwanza imeagizwa nyingine toka Bulgaria yenye kuua baada ya masaa kumi na mbili tu!

1.Wilblod Slaa

Huyu anatakiwa kufa kwa shabaha ya risasi (snipers) ndio wanao andaliwa tu kwa sasa.

Waliopewa kipaumbele kufa ni Samweli Sita, Mark Mwandosya na Harison Mwakyembe ambapo LTK/D00/B10, LTK/D00/B14, LTK/D00/B17 na LTK/D00/B21 walipewa kazi hiyo.

Kikwazo kikuu walichokumbana nacho vijana wa kazi, ni kuwa, Sita, Mwandosya na Mwakyembe wote ni majasusi na kwapamoja walifanikiwa kufumbua njama hizo chafu za mauaji kwa siri.

Mitego ya ajari 16 kwa Mwakyembe yote imemkosa, 12 kwa Sita nayo ikamkosa,7 kwa Mwandosya nae kakoswa.

Walipoona mbinu zote za vifo vya ajali zimefeli wakahamia kwenye aina ya pili ya vifo vya kulishwa sumu:

Katika aina hii ya mauaji kwa muujibu wa vijana wa kazi wanashangaa uimara wa Samweli Sita na Mwakyembe kwani wameshalishwa aina nyingi za sumu lakini bado wanadunda tu, kwanza sumu ya kwanza kuwalisha ni katika kikao cha kwanza cha bunge mwa 2011, hawakupata madhara yoyote.

Wakabadilishiwa aina ya sumu, hakika hii ilimpata zaidi Mwandosya kwani ilipandikizwa katka simu yake ya mkononi bila yeye kujua saa 4:40 asubuhi ofisini kwake tarehe 7/3/2011.

Aina hii ya sumu (jina sikupata kujua lakini hapa huitwa LTK/XXX) nayo ilishindwa kuzaa matunda kwa Mwakyembe na Sita licha ya kupewa katika mazingira tofauti,hii ilitokana na kuwa kidogo.

Zoezi hili zito na la hatari baada ya kuwa gumu kupita kiwango kwakuwa hata Mwandosya hakudhurika sana, ilibidi uhitajike msaada toka nje ya nchi na ndipo jasusi mashuhuri wa kitanzania Exaveri H.Limo akaenda Urusi kutafuta aina nyingine ya sumu kali.

Tarehe 11/7/2011 akafanikiwa kukutana na Zudrav Ghev mmoja wa wakemia wa KGB katka kituo cha Moscow akapata Polonium 236, kutokana na unyeti na hatari ya sumu hiyo ilimlazimu bwana Zudrav Ghev kuchukua ndege ya watu wa tano na kuruka mpaka tz .

Baada ya kufika tz bwana Zudrav alitoa mafunzo ya wiki moja jinzi ya kuhifadhi na kutumia kisha akatokomea kurudi kwao na vijana wake wanne.

Baada ya Mrusi kuondoka misheni zikaendelea na mnamo tarehe 24 /7/ 2011 wakati afya ya Mwandosya ikiendelea kuzorota mmoja wa LTK/D00/B10 wa kike alifanikiwa kumuwekea Polonium 236 katika chai nyumbani kwake akiwa ni miongoni mwa watu waliokwenda kumjulia hali,

Na Mwakyembe alikuja kuwekewa ktk maji ya kunywa na kwenye kitambaa cha kufutia uso LTK/D00/B17 siku ya uzinduzi wa kikao cha Makandarasi,Wahandisi na Wakadiriaji majenzi pale Mlimani City kilichohudhuriwa na rais.

Kuonyesha kuwa Mwakyembe ni jasusi aliye kubuhu siku hiyo maji hakuyanywa wala kugusa kabisa lakini mungu si athumani kitambaa akakitumia, jambo la kushangaza nikuwa baada ya kama dakika 20 kukitumia kile kitambaa alikitupa wakati anatoka eneo la Mlimani City.

Hivi sasa LTK wameshamaliza kazi yao kwa watu wawili na anayefuata ni Samweli Sita
Na uwezekano wa kupona kwa India ni mdogo ila wanaweza kupunguza makali na kusogeza mbeli mauti yao hiyo ni kwa mujibu wa mkuu wa LTK.

Slaa maandalizi yake yanaangalia zaidi uchaguzi ujao ingawa kumeingia aina ya mabishano makali juu ya kumuua hasa wakihofia kutokea kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kwakuwa jamii ya kitanzania na kimatafa inamtambua.

Said Kubenea amekabidhiwa LTK/D00/B21 ambae anasubiri kitendea kazi toka Bulgaria ambapo jasusi Yugrov Dittzov ndie atakae ileta.

Huu ndio uchunguzi wangu binafsi baada ya kupata taarifa juu ya hali ya Dr Harison Mwakyembe kuwa ni tete.

Nasema kuwa serikali ya Tanzania inafanya mauaji ya rai wake hasa viongozi wenye mtazamo tofauti na serikali.

Naiomba serikali ya Mh rais isikilize kilio cha watanzania isisikilize kilio cha wa kwasi na mafisadi.

Nina waomba watanzania tuungane pamoja bila kujali dini zetu,makabila yetu wala rangi zetu kulikataa kundi hili la wahalifu lisilozidi watu 30.

Huu ni uchunguzi wangu, unahaki ya kusubiri uchungu wa madaktari wa India

ASANTENI SANA:
JASON BOURNE
 
Licence to kill ina maana mbili:
1. kinga anayopewa Jasusi au Askari kanzu na Serikali katika misheni maalum au amri ya kutumia nguvu za kufika kuua, hasa kwa kutekeleza amri ya serikali ama kutekeleza misheni maalum ya kijasusi isiyokuwa ya kijeshi kama kuua mtu

2. Oda inayotolewa ya kuua mtu (mfano ile ya Osama na wanachama wa Alqaida) lakini pia Amri au kinga hii inamipaka. hivyo LTK ni kinga ya kisheria kwa kikundi cha watu au Mtu ambayo inamzuia kushtakiwa kwa kosa la mauji. ... yaani kuua ni sehemu ya kazi ya mtu na hivyo hawezi kutiwa hatiani

Tanzania haijawahi kutoa amri ya LTK kwa mtu yoyote na hata mahakama haina uwezo wa kumuua mtu bila idhini ya Rais. Sasa hao wa movenpick wametoka wapi kama sio kutiana CHANGA? Hizo ni movie za James Bond wasiojua nawapa pole. Na Uingereza na Marekani wanayosheria hii ambayo humpa Rais (kwa Marekani) na Waziri wa mambo ya ndani kuwalinda wanajeshi au majasusi wao wanapotekeleza LTK nje ya nchi zao ambapo kwa sheria z nchi hizo ni kosa (First degree murder)

Sasa turudi na hii ripoti ya kizushi, LTK na TISS wanawajibika kwa nani maana kama ametumia tu jina kufurashi baraza hewala ila kama ni legal entity basi aseme kuwa hili ni kundi la watu linalojitegemea afu aseme iweje kundi hilo liwe na uwezo kuzidi usalama wa taifa maana kuwashirikishi KGB sio kitu cha kuropoka, ile ni taasisi ya ujajusi ya Urusi kama ilivyo CIA ya Marekani. Hawawezi kuja kutoa mafunzo eti kisa sababu za kisiasa za kina Mwandosya hahaha na kubenea eti yumo. Naipinga ripoti hii kwa uhuru wangu kama yeye alivyopewa uhuru kuiweka hapa. Hii ndo mana ya daring. Nasema huo ni UPUPU kama sio CINEMA

Wanawajibika kwa RA (the king maker) and the likes!
 
Kama huu mpango wote una ukweli ndani yake. Nayaona machafuko makubwa yatakayo kuja kutibua historia ya u-kisiwa cha amani.
Ee Mungu tuepushe na janga hili na wafelishe watu hawa na mipango yao miovu.

Mkuu hivi vituu vipo sema sasa tunaviona nivigeni kufatana na upana wa utandawazi hayo kusingekuwa na hii mitandao tungeyajulia wapi umimi unatumaliza inasikitisha
 
Back
Top Bottom