Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Kama taifa sasa msaada wetu ni Mungu wa Mbinguni.atupambanie juu ya hii vita .naona sasa kwa kiwango cha vita hii Hii vita si yetu Bali ni ya Bwana.
 
namkumbuka Joram Kiango kwenye Orodha ya Watakao uawa. Ben R. Mtobwa alitumia akili nyingi sana kuandika kitabu kile.

nasikia matolea mapya ya vitabu hivyo yalipunguzwa makali.....tuobahatika kusoma yale matoleo original ndio ilikuwa balaa.....
 
utafiti wako umeupanga vizuri, lakini ingekuwa vyema kama ungetujuza kabla hayajatokea kwani kama haupo mbali na mamlaka inayo issue LTK, basi u jirani na vyanzo au ni LTk uliye asi
 
utafiti wako umeupanga vizuri, lakini ingekuwa vyema kama ungetujuza kabla hayajatokea kwani kama haupo mbali na mamlaka inayo issue LTK, basi u jirani na vyanzo au ni LTk uliye asi


uzuri wa kazi hii ni kutokujuana na kufahamiana achili mbali kuaminiana basi
 
Haya ni Makubwa,eeee Mungu yote sasa rasmi nakuachia wewe,kumbe binadamu ulio niumba nao kwa sura yako ndipo walipofikia!!!!!ainatosha kusema kwa msaada wa Mungu Tutaishi na tutashinda.
 
Wakichomoa mi naiweka tena make nishaisave kabla ya hata kuisoma!wataumbuka sana!
 
Helllo fellows!

A point to note :

Polonium is so poisonus that victims have less than 30 days before life escapes out of them.

Do you remember that famous Russian writer (former KGB agent) who died in Britain?

He didnt last 3 weeks. Plus the chemical i.e Polonium doesnt cause serious harm from exposure

or contact, so transporting it wouldnt require any extreme care or special devices.

"But polonium emits “wimpy” alpha particles, easily blocked by skin or even a few inches of air.

(For this reason, a sealed container's walls would screen the stuff from radiation detectors.)

And that means it must be swallowed or inhaled to kill someone, its alpha emissions destroying tissues as it travels through the bloodstream.

Health physicists view eating polonium as the most deadly route. Slowly traveling through the intestine, its radioactivity would kill sensitive cells, spurring food poisoning symptoms. Polonium would then accumulate in the kidney and spleen over the next few days, causing weakness.

Finally, its arrival in the bone marrow would kill white blood cells. "

Thank you for the explanation. So in case somebody swallows this poison does it have a cure??? I mean if the treatment is applied before the estimated 30 days??
 
1. Ulizungumza nao wewe kama nani?
2. Je uliwajuaje kuwa ni TISS
3. Wote 15 walikupa majibu yanayofanana na walikubali kuwa wamefanya hiyo kazi, kwa insurance gani uliyowapa walikuaminije? are you boss at TISS and your subordinate have done this? who are you???



[

1. what was your mission on this? is this the whole TISS plan or just few people? wote ulowataja hapo juu wana maswali mengi sana, does TISS can excute mission against JK or withour JK consent?

1. Samweli sita is not a threat anyway! Sita ni rafiki wa karibu wa JK hata kabla ya JK kuwa rais, Sita andiye aliyefanikisha kutekeleza unafiki wa JK wa kumuondoa Lowassa baada ya Site kusalitiwa kupewa uwaziri mkuu na JK. Sita ni fisadi mwingine mzuri ambaye hamtishi fisadi mwngine yeyte ndani ya CCM, yeye kama Mwakyembe ndio traitors wakubwa nchi hii wa wananchi, they belong to CCM and CCM alone

2. Slaa? Yes I could agree with you partly, lakini mpaka sasa hawajaweza kukamlisha huo mpango? hatujasikia mzee huyu akisukwa sukwa! what are they waiting, it takes less than a second for sniper to finish a job



3. Kubenea? Kubenea ni CCM mzuri, na 2015 atagombea ubunge mafia, Kubenea ni mtoto wa JK na usitegemee mwanahalisi likaenda kinyume na JK, unachodhani ni negative kwa JK is actually kumsifia JK ni other way round, hii inafanywa kwa akilin sana, KUBENEA ALIMWAGIWA TINDIKALI kwa kutembea na mke wa mtu, si kinyume na hapo! kesi iko wapi? imeishia wapi? watuhumiwa wako wapi? walitumwa na nani? kubenea angewaanika vizuri sana, he is speechless katika hili.

4. Mwakyembe ..unasema anaisumbua serikali? na yumo humo humo? ye isn politics is possible but there is no sufficient justification to kill Mwakyembe, ukizingatia yeye na sita ni chama moja, na ndugy yao Kikwete. is another fisadi tu, mwenye maneno mengi na urubunifu mwingi! Alikitupa kitambaa alichojifutia jasho pale mlimani city? hakunywa manji? are you sure, maji ya kampuni gani yaliyotumikan pale?

5. Mwandosya? mwandosya amemalizwa na Membe. period labda tutashindana kati hili,........leukemia yake ni planted kama ilivyokuwa kwa Nyerere lakini sio usalama wa taifa waliohusika, is just another gangs, kwa Nyerere ni marafiki wa mkapa,kwa mwandosya ni Membe. TISS haimo.



ok!

Tindikali ya kuua masaa 12 inatoka Bulgaria, kwa nini wasimue kwa sumu tu? lazima tindikali?

TISS sio UVCCM au ikulu mkuu! sio bakwata wale au majaji wa miss Tanzania..it is secret service.

UNAWEZA KULISAIDIA TAIFA LA TANZANIA NA KU-PROVE KUWA ULICHOANDIKA NI KWELI KWA KTAJA MAJINA YA WATU HAO 30 NA KUONDOA CODE NAME ZA HAO USLAMA WA TAIFA NA KUWEKA MAJINA YAO!!1

WEKA KINASA SAUTI CHA MAZUNGUMZO YEYOTE YALE KUHUSIANA NA TAARIFA HII, AU UCHUNGUZI WAKO ULIKUWA WA KINAMNA GANI NA EVIDENCE UNAIPATAJE, NASEMA HIVI LENGO LAKO HASA LILIKUWA NI NINI / KAMA SIO KUSAIDIA WATANZANIA WENGINE NA HUNA UTHIBITISHO, PELEKA HABARI HII KWA SHIGONGO AT LEAST YOU WILL EARN SOMETHING



wapate hao hao
Huyu akijibiwa nitaiamni hii ripoti, vinginevyo ni story tu!
 
Polonium 210 is one of the most poisonous substances on earth. A powerful alpha emitter, with a half-life of 138 days and an emission energy of 5 MeV, Polonium is not a substance anyone should mess with.
As with all alpha emitters, this substance is not dangerous by itself if kept outside of one's body: alpha projectiles only travel few millimeters in air, and fail to create a danger. It is only through inhalation or ingestion that the horrible effects of this substance become evident. The energy released by this fast-decaying isotope is quite high (a unbelievable 140 watts per gram according to wikipedia), and the amount of damage manifests very quickly in the hosting body, as was demonstrated a few days ago with the death of the russian spy Alexsandr Livitnenko in London.
Livitnenko was allegedly poisoned while eating at a sushi bar near Piccadilly Circus, in the center of the city: most probably his killer sprayed a small amount of the substance over his meal. In any case, the substance is volatile -probably the radioactive decay spontaneously sublimates atoms of the material by spallation- and its nasty effects are so powerful that even less than a nanogram can be deadly. Quoting wikipedia again, the maximum allowable amount of ingested substance is 7 picograms – a sphere 1 micron in diameter is already harmful!
Nimekuwa naifuatilia hiyo sumu inaitwa POLONIUM, kumbe pia kuna uwezekano wasiigundue kuwa iko mwilini, mpaka leo inaumiza vichwa vya wanasayansi jinsi ya kupambana nao, na inaitajika kiasi kidogo sana, na itakuchukua muda unakufa.
 
Kwamba k'nyama ni vichwa nazi kiasi hiki?
Kwamba wanakaa na kupeleka taarifa kwa Jason???
 
Thats why I hate politics.
Prof and philosophy Dr. huhitaji politics ili uweze kumeki maisha kabisa!!! Yafaa kukaa pembeni kama wakosoaji wa politics.
Politics tuwaachie wale wanaopenda degree za heshima zisizokuwa na practical application.

Poleni sana bwana mwandosya na mwakyembe........watanzania tunawaombea mungu awarudishe salama.
 
There are no chances of survival!

This is a radioactive substance, the damages inflicted by any radioactive substance

isnt reversible. You got only one route to take i.e DEATH
 
Back
Top Bottom