Kumbakumba
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 222
- 21
ni nani sasa anafanya hii kitu?nafikiri hilo ndio swali la msingi..polisi pamoja na kupewa taarifa zote hizi bado hawajaweeza ku trace hiyo network?leteni habari hapa wenye nazo
Sawa. Nini kirefu cha LTK?Ninaomba ieleweke kuwa Huu ni uchunguzi wangu binafsi ambao hauwezi na hautaweza kuvuruga uchunguzi wa kisayansi pale INDIA.
Ninaomba ieleweke kuwa Huu ni uchunguzi wangu binafsi ambao hauwezi na hautaweza kuvuruga uchunguzi wa kisayansi pale INDIA.
License to Kill au Leseni ya KuuaMkuu naomba unifute tongotongo, LTK ndio kitu gani?