Fiksi tupu hapo hamna kitu anatuyeyusha,
1. Hakuna mpuuzi wa kuongelea jambo nyeti na la hatari kama hilo Hotelini tena ya kimataifa
2. Ameshindwa nini kuwataja hao majasusi kama wengine wamewezekani, anaficha kitu au hana uhakika?
3. KGB hawa deals na individual au private group so anatueleza kuwa Usalama wa Taifa ndo wameshiliki katika mpango huo na hii maanake ni kuwa Serikali inautambua mpango mzima sasa vipi tena aombe Serikali hiyo hiyo kuchukua hatua?
4. Haingii akilini Usalama wa Taifa kwa resource zote walizo nazo wakafanyie kikao kama hicho upenuni huo ni uongo tena ni uchonganishi, hao watu anaowataja wanatakiwa kuuwa wako kwenye ngazi za juu Serikali na huyo Mwakyembe na wenzie wanauwezo gani wa kuzuia mafisadi kama wenyewe tu wamejaa vimeo vya kashfa....
Kama ningekuwa nawahitaji wala nisingetumia nguvu kubwa hivyo au kuhitaji damu kumwagika maana wote hao wamejaa uchafu wa kuwamaliza wenyewe.
5. Binafsi nimefika hadi nyumbani kwa Dr Mwakyembe yaani anamalizika kiubua kweli sasa hadithi za kwenda kununua sumu urusi mbona ya kufikirika sana.
NASEMA HIVI we ni mzushi na Mwanga.