Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Jason unaifahamu Polonium?. Unakauka taratibu kitandani mpaka unakuwa kama samaki mkavu huku ukiwa unatoa sauti na kuongea. KGB walimpa mmoja wa majasusi wao ambaye ali waasi na kuwapa siri za KGB Uingereza. Walienda kumlisha kwenye chai akiwa huko huko England. Usije ukawa umetoa kutoka tukio hilo kwani kama Mwakyembe amelishwa hiyo asingekuwa hai mgaka sasa!
 
Wasijaribu kusogeza pua zao kwa Dr. Slaa, tahadhari mapemaaaaa!! kwasababu itakuwa ni vita ya kistoria, tutakatana humu nchini.

Yani wasijejaribu hili kwa Dr Slaa maana hapa hapatatosha twafadhali hiyo nafasi wampe huyu gamba wao mkubwa JK ama wamweke EL wachinjane mpaka wakitosheka nasi muda huo tutawatafutia suluhu. Mapapa wakubwa sana hawa!
 
hapa sasa umenifungua macho, kuna yule profesa wachuo kikuu alivamiwa na majambazi, hii inawezekana kukawa na chochote hapa?

ile ilipangwa tena kwa ustadi mkubwa sana...hata namna alivyopigwa risasi..nikuulize swali: si walisema wanaunda tume ya kuchunguza mauaji? ulishaiona riport ya tume hiyo achilia mbali kuisikia??

sasa yule baba wa watu alikuwa ameona nini mpaka wakammaliza? hii nchi hii,

Kama ulikuwa hujui, Yule Profesa ameondolewa na Paul Kagame baada ya kuonywa kuachana na kesi za kimbali kule ICC. Ubishi wake ndo uliomuondoa.
 
We unahitaji msaada, sasa ukianza kuamini kwa kuangalia signature hata hiyo ripoti hutaisoma maana muandishi ni Jason Bourne si ni picha hiyo? Ni hivi mi najaribu kusema kulingana na kilichowasilishwa kwenye ripoti. "Mtunzi" ameonesha kama LTK ni kundi na lina kiongozi wake, wakati sio kweli hao labda ni majambazi tu...LTK kwa level ya nchi yetu inatoka kwa Rais pekee kisheria ndo maana hata adhabu ya kifo lazima ipate GO AHEAD yake. Na sio kama alivyoweka yeye maana hao wahusika hawapo katika list ya watu hatari katika nchi hii sasa iweje wawekewe notisi ya kifo? Mbona yule Jasusi Kombe aliuwawa kiubua tu, klichofanyika ni kuiomba radhi familia yake mchezo ukaisha, huyo Mwakyembe kawa Jasusi lini hadi akwepe mitego ya akili 16? So unreal kwa kweli.

Hivi ulishasoma maelezo ya Mwakyembe ya maandishi kwenda Polisi kuhusu njama za kuuawa kwake?
 
sihitaji elimu ya darasa la saba kutambua kwamba huu ni uzushi mtupu. yaani mauaji ya viongozi wote hao yazungumziwe kwenye hotel????? siamini.
huu ni mtazamo wangu tu

Baada ya kushauriwa na afisa mwandamizi wa JF bwana PAW kuwa niifanyie marekebisho kidogo hii ripoti na mimi bila hiyana nimefanya hivyo. Ni matumaini yangu kuwa japo uhalisia kamili wa ripoti utakuwa umepungua lakini nitawaomba kuweni wavumilivu.

Vilevile nitawaomba radhi wale mtakao kerwa na mpangilio mbovu wa hii ripoti, hii ni kwa kuwa mimi si mtaalamu sana wa uandaaji wa ripoti.





RIPOTI YA UCHUNGUZI BINAFSI JUU YA UGONJWA WA DR HARISON MWAKYEMBE 12/10/ 2011

JASON BOURNE
TEL:*********
ID************

Hatua ya kwanza:
Niliamua kujua kama ni kweli kalishwa sumu au laa. Na watu nilio wahusisha katika kujua huko ni TISS.

Katika uchunguzi niliweza kuzungumza na LTK wapatao kumi na tano.
  1. Maboharia wawili
  2. Wapanga mikakati wawili
  3. Mkuu wa LTK
  4. Vijana wa kazi kumi
Wote maelezo yao yalifanana kwa maana ya (walishiriki kupanga na kutekeleza kumlisha sumu Dr Harison Mwakyembe)

Hatua walizopitia:

Kwa mujibu wa maelezo ya LTK/D00/B1 mkuu wa kitengo hicho ambae kwa kweli niliongea nae kama rafiki yangu wa karibu ndie aliyenipa mwangaza wakufanikisha kazi yangu.

Katika misheni hii watu wengi wanatakiwa KUFA, nitawataja wale muhimu tu:
1. Wilblod Slaa
2. Samweli Sitta
3. Harison Mwakyembe
4. Said Kubenea
5. Mark Mwandosya

Mnamo ijumaa ya tarehe 01/10/2010 saa 4:25, kikao kikuu cha mikakati kilikalika Moven Pick kikihudhuriwa na watu sita,
  1. TISS/A001 XXX
  2. TISS/B1
  3. TISSB32
  4. TISS/B5
  5. TISS/A6
  6. TISS/F5
Baada ya mjadala wa saa moja uliogusa magumu inayokumbana serikali na watu walio waona wao ni vikwazo na waliosababisha magumu hayo, ndipo wakaibuka na listi ya wanaotakiwa kusalimisha uhai wao:

Bada ya hapo kesho yake TISS/B1 alikutana na LTK/D00/B1 na kumpa amri ya misheni hiyo na orodha kamili ya watuhumiwa bila kumwambia sababu za mauaji hayo, zaidi alisema “nahitaji ripoti ya utekelezaji”.



Baada ya amri kuwa chini ya LTK, mikakati ya aina ya kifo kwa kila mtuhumiwa ilipangwa ambapo walipamgwa katika makundi matatu,

1 Samweli Sitta
2 Harison Mwakyembe
3 Mark Mwandosya
Hawa wamepangiwa vifo vya aina mbili kwanza ajali na ikishindikana watalishwa sumu.

1 Said Kubenea

Kumwagiwa tindikali, baada ya kufeli ile ya kwanza imeagizwa nyingine toka Bulgaria yenye kuua baada ya masaa kumi na mbili tu!

1.Wilblod Slaa

Huyu anatakiwa kufa kwa shabaha ya risasi (snipers) ndio wanao andaliwa tu kwa sasa.

Waliopewa kipaumbele kufa ni Samweli Sita, Mark Mwandosya na Harison Mwakyembe ambapo LTK/D00/B10, LTK/D00/B14, LTK/D00/B17 na LTK/D00/B21 walipewa kazi hiyo.

Kikwazo kikuu walichokumbana nacho vijana wa kazi, ni kuwa, Sita, Mwandosya na Mwakyembe wote ni majasusi na kwapamoja walifanikiwa kufumbua njama hizo chafu za mauaji kwa siri.

Mitego ya ajari 16 kwa Mwakyembe yote imemkosa, 12 kwa Sita nayo ikamkosa,7 kwa Mwandosya nae kakoswa.

Walipoona mbinu zote za vifo vya ajali zimefeli wakahamia kwenye aina ya pili ya vifo vya kulishwa sumu:


Katika aina hii ya mauaji kwa muujibu wa vijana wa kazi wanashangaa uimara wa Samweli Sita na Mwakyembe kwani wameshalishwa aina nyingi za sumu lakini bado wanadunda tu, kwanza sumu ya kwanza kuwalisha ni katika kikao cha kwanza cha bunge mwa 2011, hawakupata madhara yoyote.


Wakabadilishiwa aina ya sumu, hakika hii ilimpata zaidi Mwandosya kwani ilipandikizwa katka simu yake ya mkononi bila yeye kujua saa 4:40 asubuhi ofisini kwake tarehe 7/3/2011.

Aina hii ya sumu (jina sikupata kujua lakini hapa huitwa LTK/XXX) nayo ilishindwa kuzaa matunda kwa Mwakyembe na Sita licha ya kupewa katika mazingira tofauti,hii ilitokana na kuwa kidogo.



Zoezi hili zito na la hatari baada ya kuwa gumu kupita kiwango kwakuwa hata Mwandosya hakudhurika sana, ilibidi uhitajike msaada toka nje ya nchi na ndipo jasusi mashuhuri wa kitanzania Exaveri H.Limo akaenda Urusi kutafuta aina nyingine ya sumu kali.

Tarehe 11/7/2011 akafanikiwa kukutana na Zudrav Ghev mmoja wa wakemia wa KGB katka kituo cha Moscow akapata Polonium 236, kutokana na unyeti na hatari ya sumu hiyo ilimlazimu bwana Zudrav Ghev kuchukua ndege ya watu wa tano na kuruka mpaka tz .

Baada ya kufika tz bwana Zudrav alitoa mafunzo ya wiki moja jinzi ya kuhifadhi na kutumia kisha akatokomea kurudi kwao na vijana wake wanne.


Baada ya Mrusi kuondoka misheni zikaendelea na mnamo tarehe 24 /7/ 2011 wakati afya ya Mwandosya ikiendelea kuzorota mmoja wa LTK/D00/B10 wa kike alifanikiwa kumuwekea Polonium 236 katika chai nyumbani kwake akiwa ni miongoni mwa watu waliokwenda kumjulia hali,

Na Mwakyembe alikuja kuwekewa ktk maji ya kunywa na kwenye kitambaa cha kufutia uso LTK/D00/B17 siku ya uzinduzi wa kikao cha Makandarasi,Wahandisi na Wakadiriaji majenzi pale Mlimani City kilichohudhuriwa na rais.

Kuonyesha kuwa Mwakyembe ni jasusi aliye kubuhu siku hiyo maji hakuyanywa wala kugusa kabisa lakini mungu si athumani kitambaa akakitumia, jambo la kushangaza nikuwa baada ya kama dakika 20 kukitumia kile kitambaa alikitupa wakati anatoka eneo la Mlimani City.

Hivi sasa LTK wameshamaliza kazi yao kwa watu wawili na anayefuata ni Samweli Sita
Na uwezekano wa kupona kwa India ni mdogo ila wanaweza kupunguza makali na kusogeza mbeli mauti yao hiyo ni kwa mujibu wa mkuu wa LTK.

Slaa maandalizi yake yanaangalia zaidi uchaguzi ujao ingawa kumeingia aina ya mabishano makali juu ya kumuua hasa wakihofia kutokea kwa vita ya wenyewe kwa wenyewe kwakuwa jamii ya kitanzania na kimatafa inamtambua.


Said Kubenea amekabidhiwa LTK/D00/B21 ambae anasubiri kitendea kazi toka Bulgaria ambapo jasusi Yugrov Dittzov ndie atakae ileta.





Huu ndio uchunguzi wangu binafsi baada ya kupata taarifa juu ya hali ya Dr Harison Mwakyembe kuwa ni tete.

Nasema kuwa serikali ya Tanzania inafanya mauaji ya rai wake hasa viongozi wenye mtazamo tofauti na serikali.

Naiomba serikali ya Mh rais isikilize kilio cha watanzania isisikilize kilio cha wa kwasi na mafisadi.

Nina waomba watanzania tuungane pamoja bila kujali dini zetu,makabila yetu wala rangi zetu kulikataa kundi hili la wahalifu lisilozidi watu 30.




Huu ni uchunguzi wangu, unahaki ya kusubiri uchungu wa madaktari wa India

ASANTENI SANA:
JASON BOURNE
 
sihitaji elimu ya darasa la saba kutambua kwamba huu ni uzushi mtupu. yaani mauaji ya viongozi wote hao yazungumziwe kwenye hotel????? siamini.
huu ni mtazamo wangu tu

Hata kwa ID yako tu inadhihirisha education ya darasa la 7 kwako ni hamna ila umesoma mkondo wa MEMKWA. Kazi tunayo humu Jf ya kuwaelimisha watu kama hawa wenye elimu tajwa.
 
Hii kali inatisha, jamani binadamu akiwa na roho ya kinyama bora simba au chui.Je watu walio hatarini kuuawa wana taarifa ya hili dudu.Asante sana mtoa ujumbe.
 
Kama ulikuwa hujui, Yule Profesa ameondolewa na Paul Kagame baada ya kuonywa kuachana na kesi za kimbali kule ICC. Ubishi wake ndo uliomuondoa.

very interesting, sasa how come bado kesi zinaendelea na wengine ndio kama hao wanauliwa, ina maana alikuwa anawatetea wahalifu au ilikuwaje?
 
ngoja niisevu ili nikipata wasaha mzuri niiriwaindi. Kitu tamu sana hii, duuuuuuuuuh!
 
Nimesoma hii post nimechoka sana, kuna watu wa usalama kweli wamo himu na ni member wa jf, wengine wamo kufuatilia hapa jf kunaendelea nini, ni taarifa gani zinawasilishwa na member wa jf ambazo zinahatarisha mustakhabali wa serikali na nchi, but on the other side kuna wengine wapo kwa ajili ya kutoa ripoti kwa wananchi wajue ni nini kinaendelea katika hii nchi hasa yale maovu, kwa kuwa hawana sehemu ya kusemea. Wengine( kundi lililochoka na upuuzi wa serikali) wanajitahidi hata kuvujisha nyaraka nyeti za serikali na kuwakabithi wale wanaoweza kujilipua bila woga kwa wanachi. Haya ya mwakyembe ngoja tusubiri, we shall see the end of tha game. Saga continues..........
 
Hata kwa ID yako tu inadhihirisha education ya darasa la 7 kwako ni hamna ila umesoma mkondo wa MEMKWA. Kazi tunayo humu Jf ya kuwaelimisha watu kama hawa wenye elimu tajwa.

wewe ni mshabiki tu, sasa hapo elimu unahusianaje kwani hii post imewekwa iungwe mkono au ichambuliwe kihoja? Mbona na mie nimeanza kuhisi unahusika kutengeneza hii POROJO? acha hizo bana
 
Kama ulikuwa hujui, Yule Profesa ameondolewa na Paul Kagame baada ya kuonywa kuachana na kesi za kimbali kule ICC. Ubishi wake ndo uliomuondoa.

kuna jambo kubwa hulijui juu ya kifo cha mwakyusa.......
 
i am very surprised that in JF there are people like you, who would believe everything that is posted here!!!. use your brain men. pole sana
Hata kwa ID yako tu inadhihirisha education ya darasa la 7 kwako ni hamna ila umesoma mkondo wa MEMKWA. Kazi tunayo humu Jf ya kuwaelimisha watu kama hawa wenye elimu tajwa.
 
Hii thread imejaa mambo ya ndani sana, kama ni ya kweli, inawezekana huyu aliyeanzisha hii mada anahusika. Vinginevyo kuna walakini ndani yake.
 
Hii thread imejaa mambo ya ndani sana, kama ni ya kweli, inawezekana huyu aliyeanzisha hii mada anahusika. Vinginevyo kuna walakini ndani yake.
Ukiisoma tu hii post wala huna haja ya kujiuliza kama jb ni muhusika au laa!
 
Back
Top Bottom