Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Hivi hii watanzania wanafahamu? kwanini watu wanaendelea kutetea ujinga wa CCM na viongozi wake? Hii ni hatari,tunashukuru mkuu kwa taarifa hii nzuri japo yenye huzuni.....
 
Masikini wapambanaji wetu ndio wanaisha,maombi yanahitajika,pia watabue,auae kwa upanga hufa kwa upanga
 
Hivi hii watanzania wanafahamu? kwanini watu wanaendelea kutetea ujinga wa CCM na viongozi wake? Hii ni hatari,tunashukuru mkuu kwa taarifa hii nzuri japo yenye huzuni.....
Mkuu watu wamekunywa maji ya bendera ya ccm! Hawaambiliki wala kusikia la mkuu!
 
Hii thread imejaa mambo ya ndani sana, kama ni ya kweli, inawezekana huyu aliyeanzisha hii mada anahusika. Vinginevyo kuna walakini ndani yake.

nafikiri akati jb anasema kuwa atafatilia ili kujua kama kweli mwakyembe kapew sumu hukusoma ile post..........
 
kuna jambo kubwa hulijui juu ya kifo cha mwakyusa.......

Mbona wengine wanadai eti sababu ya kifo chake ni kua alimuona Balali wakati alipokua Marekani??
 
Nawashukuru sana wapiganaji wenzangu muhimu wa jf kwa kuukubali uchunguzi wangu japo kutofautia kifkra ndilo jambo jema ktk dunia hii!
 
Mbona wengine wanadai eti sababu ya kifo chake ni kua alimuona Balali wakati alipokua Marekani??
Wakuu mlioko huko mbele kaeni mkiomba msikutane uso kwa uso na Balali,na ukimuona usiseme na pia usigundulike kama ulimuona,katika ile most wanted list,jina la JB limeongezwa.
 
Duniani kunamambo! Mungu wabariki wahanga na waepushe na njama chafu hizo!
 
Wakuu mlioko huko mbele kaeni mkiomba msikutane uso kwa uso na Balali,na ukimuona usiseme na pia usigundulike kama ulimuona,katika ile most wanted list,jina la JB limeongezwa.
Ukipambana na adui unaemuona na yeye hakuoni na ukaujua uwezo wake wote ni nusu ya ushindi kwako!!
 
Pole mkuu kwa kudhani kuwa watu wa JF wameukubali uchunguzi wako, hongera kwa uchambuzi mzuri. Elewa kuwa sasa JF inatafakari kwa undani hii hali ya kisiasa inayoondelea hapa TZ na kwa kiasi kikubwa mwanga wa uelewa haujapatikana so ukija na tamthilia kama hii unanawachota wengi. Sidhani kama kuna serikali dhalim inayoweza kutumia nguvu nyingi kiasi hicho ku - eliminate single citizen.
Nawashukuru sana wapiganaji wenzangu muhimu wa jf kwa kuukubali uchunguzi wangu japo kutofautia kifkra ndilo jambo jema ktk dunia hii!
 
Ukipambana na adui unaemuona na yeye hakuoni na ukaujua uwezo wake wote ni nusu ya ushindi kwako!!
"THE INQUISITIVE MONKEY GETS A BULLET IN THE FACE",by CHINUA ACHEBE.Take it easy buddy i'm just joking!
 
Back
Top Bottom