Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,941
- 6,859
Umeishi Zanziba? Kuna baadhi wana chuki sana kwa wale wanaowaita machogo. Na wengine dhidi ya wapemba. Kisiwa kimejaa sana chuki kile.Mkuu Resurrection , chuki ya Zanzibar itoke wapi and for what?. Tena ujue kiukweli baadhi yetu huku bara, tunawapenda sana Wanzanzibari waki Zanzibari kuliko Wabara wakibara!. Kama unasubiria muungano uvunjike, then utasubiri sana, kama fisi anavyomfuata binadamu kwa nyuma, akiangalia jinsi anavyotingisha mikono, fisi anamfuata huku ana,ezea mate akiamini hiyo mikono imeregea karibu itaanguka. Utasuburi sana!.
P
Amandla...