Kuhamisha Wamachinga kwa kuvunja miundombinu yao na kupora mali zao ni uhalifu kwa DSM na Mwanza

Kwa kuwa una uwezo wa kumiliki gari na kutambia wengine kwa kazi na biashara za haramu ndio unawataka wenzio waondoke kama fisi? Haya hebu tuone..
Kwa hiyo reserve ya barabara ni kwa ajili ya kufanyia biashara wewe mjinga kweli...Hivi kweli unazo akili za kufikiri wewe? Pia hata nikimiliki gari ni langu mwenyewe, nikutambie ili inisaidie nini wewe pimbi. Hivi JF mnaruhusu vipi watu wenye IQ za 15? angalau waruhusiwe wenye IQ zinazoanza 70. Wewe kweli umeonyesha degree yako ya ujinga kuwa ni mkubwa.
 
Baada ya kupangwa machinga jiji letu la Dar es Salaam sura yake inayoambatana na miundombuni aliyoanzisha Jakaya Kikwete yazidi kunonga

MUONEKANO MPYA BAADA YA KUPANGWA
Maeneo ya Morocco, Victoria, Kijitonyama, Mwenge ya jijini Dar es Salaam tarehe 29 October 2021



Source : Director ProX
 
Jiji Letu la Dar es Salaam, Tanzania

Dar es Salaam yazidi kurudisha muonekano wake uliopangika na rafiki kwa wakaazi wake huku wakiendelea shughuli zao mbalimbali kwa mpangilio



Source : Traveller
 
29 October 2021
Dar es Salaam , Tanzania

MACHINGA COMPLEX NAFASI KIBAO ZINASUBIRI CHINGAS JIJINI DSM

Nafasi za wamachinga Eneo la Karume Ilala Kariakoo vizimba 2,400 zipo wazi Machinga Complex jijini Dar es Salaam



Source : Dar es Salaam RS DIGITAL
 
29 October 2021
Dar es Salaam , Tanzania

Nafasi za wamachinga Eneo la Karume Ilala Kariakoo vizimba 2,400 zipo wazi Machinga Complex jijini Dar es Salaam



Source : Dar es Salaam RS DIGITAL
mimi nashangaa sana.mitaani fremu hazina wateja lakini watu wanajenga njiani kwani wateja si wanatoka mitaani?.kwa nini wasichukue fremu mitaani halafu sisi wateja tuwafiate?kwani wateja wa kariakoo si wanatoka huku mitaani?
hawa wasidekezwe waondolewe kwa gharama yeyote hatuwezi kuwa na taifa lisilozingatia utawala wa sheria.tembea dunia nzima hakuna nchi watu wanafanya biashara mbele ya maduka.mashule.juu ya mitaro nk
.wachukue fremu mitaani.walipe kodi sisi wateja tutawatuata walipo
 
29 October 2021
Dar es Salaam, Tanzania

BODABODA WAJIPANGA NA KUTEKELEZA MAELEKEZO YA RC MAKALA



Vijiwe vya Bodaboda na Bajaj Waanza kuacha njia za wapita miguu waanza na barabara kuu za Nyerere kutoka uwanja wa ndege JNIA DSM , Gongo la Mboto, Scania Vingunguti, TAZARA Buguruni mpaka KAMATA pia wanaelekea kujipanga ktk barabara nyingine kuu ya Morogoro RD jijini DSM na wataendelea ktk barabara kuu na mitaa mikuu ya jiji lote la DSM, viongozi wa Shirikisho la Bodaboda waazimia kwa pamoja kujipanga vizuri.
Source : BENEFIT TV
 
RC Makalla na Ma DC wake wote wakishindwa kufanikisha zoezi hili ni bora wote wajiuzulu.
Haiwezekani wamachinga wakaidi kutii sheria kwa ujeuri kiasi hiki wakati mamlaka zipo!!!
 
15 October 2021
Dar es salaam Mwonekano Mpya Baada ya Wamachinga kupangwa Jijini, video eneo la chuo cha IFM DSM

 
Sijasikia malalamiko ya aina hii popote, ila kama yapo, hao waliovunjiwa nao wanastahili kubeba lawama kwani waliambiwa mapema waondoe biashara zao.
Malalamiko haya hapa
===
 
Ni takribani wiki mbili sasa wafanyabiashara ndogo-ndogo (wajasiriamali au wamachinga) waliagizwa na serikali za mikoa mbalimbali kuhama kutoka katikati ya miji mikubwa na ama kuelekezwa wapi waende au bila kupewa eneo mbadala na rafiki kwa biashara.

Wamachinga walitoa mawazo yao ili kufanikisha utekelezaji na mipango hiyo ya serikali kuwa na mafanikio ni pamoja na haja ya wao kushirikishwa ipasavyo kwa mjibu wa sheria.

Hata hivyo mawazo na mapendekezo yao yalipuuzwa na kuhesabika sio ya msingi na hayana nafasi kukubaliwa kinyume na jinsi serikali ilivyopanga kufanya.

Ikumbukwe kuwa kupanga miji kuwa safi kuweka taratibu za kufanikisha hilo haziwezi kuwa na tija kama tabia za uchafuzi wa mazingira hazijadhibitiwa.

Mji wa Mzizima (Dar es Salaam) ulianzishwa mwaka 1866 na sultani wa Zanzibar

Viongozi wa mikoa ya Dar Es Salaam na Mwanza mmekosea njia ya isiyo ya kistaarabu kuwahamisha wamachinga kwa kuvunja sehemu zao za kazi kisha mali kuporwa na watu mliowatuma kutekeleza uharibifu huo.

Vijana wapoteza mali zao kwa hatua zinazovunja haki za binadamu na hazikubaliki popote. Machozi yao yatawatesa maisha yenu yote
 
Sinza Dar es Salaam,
Tanzania 2021

Sinza kwa Wajanja wamejipanga 2021



Source : Malango Travels
 
Mkuu unaamisha magoli ujue. Umeomba malalamiko umepewa. Sasa unataka kama Mama angepanda nao ndege! Sawa, subiri majibu.
Hamna habari ya kuhamisha goli hapa, hayo malalamiko yao hayana msingi wowote kwani walipewa muda wa kuondoka wakazembea wenyewe, msiturudishe nyuma kwa malalamiko yasiyokuwa na maana.
 
Baada ya kupangwa machinga jiji letu la Dar es Salaam sura yake inayoambatana na miundombuni aliyoanzisha Jakaya Kikwete yazidi kunonga

MUONEKANO MPYA BAADA YA KUPANGWA
Maeneo ya Morocco, Victoria, Kijitonyama, Mwenge ya jijini Dar es Salaam tarehe 29 October 2021



Source : Director ProX

Safi sana, nafuu wamachinga wameondolewa. Angalau jiji lipo safi kwa sababu wameondolewa. Nimefurahi sana kuwa wamefukuzwa hao wamachinga ni wezi wakubwa.
 
Sasa jiji la Dar es Salaam tunakwenda kuwa ligi moja na jiji la Maputo Mozambique ktk kupangana


Jiji la Maputo Mozambique 2021 muonekano wake kutokana na kupangwa



Source: Wode Maya
 
Back
Top Bottom