kuhamisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgaa gaa upwa

    Je, naweza kuhamisha mkopo kutoka Benki ya ABC kwenda benki zingine kubwa?

    Wasalaam Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank. Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
  2. peno hasegawa

    Maoni Binafsi: Sina imani na Saa100 kwenye zoezi la kuhamisha wamasai Ngorongoro nikisoma ilani ya CCM 2020-2025.

    Turukie kwenye mada. Nimeisoma ilani ya CCM. 2020-2025 hakuna mahali nilipoona CCM imelekeleza kuhamisha wamasai kutoka mkoa wa Arusha ( Ngorongoro) kuwapeleka mkoa wa Tanga. 2. Hakuna mahali CCM imeelekeza akae kimya asiongee na wananchi kutolea maelekezo au ufafanuzi wa jambo ambalo limeleta...
  3. Mzalendo Uchwara

    Baada ya kushindwa hoja sasa wanajaribu kuhamisha mjadala kwa kuwabambikia kesi za ajabu ajabu wakosoaji

    Inawezekana ndivyo mabingwa wa siasa ndani ya chama wamemshauri hivyo. Kuwa ili watu waache kujadili ule mkataba wa ajabu kabisa uliosainiwa na serikali basi watu fulani fulani wakamatwe na kupewa kesi za nzito nzito. Kwamba mjadala utahamia kwenye kesi hizo za jinai badala ya mkataba. Mambo...
  4. BARD AI

    Dkt. Mpango akerwa na Utaratibu wa Kuhamisha Watumishi Wabovu badala ya kuwaondoa kabisa

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameonesha kukerwa na utaratibu wa Kuhamisha Watumishi wanaonekana kushindwa kumudu Majukumu yao au kutuhumiwa kufanya vitendo vinavyoenda kinyume na sheria na kisa kupelekwa kwenye maeneo mengine ya utumishi. Mpango ametoa kauli hiyo akiwa Kigoma ambapo ametaka...
  5. jahanbaksh

    Utaratibu wa kuhamisha TIN number kutoka mkoa mmoja hadi mwingine

    Habarini wakuu, kama uzi unavyojieleza naomba kujua utaratibu wa kuhamisha Tin number ya biashara kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, natanguliza shukrani
  6. britanicca

    Pale Katibu Mkuu wa Guam anaposoma mchezo na kuhamisha Pesa zaidi ya 12Bilion bila kufuata utaratibu, zikitoa Roho ya Bendera inayofuata maembe yake

    Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ? Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ? Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
  7. BARD AI

    META yapigwa faini ya Tsh. Trilioni 3 kwa kuhamisha Taarifa Binafsi za Watumiaji Facebook

    Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) inayosimamia Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutoka Nchini Ireland (DPC) imechukua uamuzi huo baada ya META kukiuka agizo la kutohamisha #Data za watumiaji wa #Facebook kwenda Marekani. DPC ilitoa miezi 5 kwa #META kusitisha uhamishaji wa Taarifa Binafsi za Watumiaji...
  8. Jaffary

    Jinsi ya kuhamisha Telegram contacts

    Wakuu amani iwe kwenu! Nime-stack kidogo. Ninataka kuhamisha contacts zangu zilizo kwenye telegram kuja kwenye simu au kwenye Gmail account yangu. Inafanyika vipi? Nimehangaika pasi na mafanikio. Asante.
  9. Ultimate

    Vodacom wamesitisha huduma ya kuhamisha bando kwenda namba nyingine bila taarifa

    hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa. Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA kwamba ma kampuni ya simu yaruhusu luamisha bando naona vodacom wameamia kukaidi na kuondoa hii...
  10. poposindege

    Kuhamisha file la YoWhatsApp kwenda simu nyingine

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B. Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B. Nimepitia maelezo mitandaoni kila nikijaribu sifanikiwi. Naomba mwenye uelewa anisaidie kwa lugha rahisi na ya kueleweka hatua...
  11. Mganguzi

    Luhaga Mpina, wenzio huwa wanachoma nyumba baada kumaliza kuhamisha asset zilizomo ndani!

    Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
  12. MK254

    Hadi huruma, wanajeshi wa Urusi wanavyohangaika kuhamisha majeruhi kutoka Luhansk

    Wanateseka kutoroka huku wakiburuza majeruhi wao, jameni aliyewaponza yuko Kremlin anapiga gongo la Vodka ametulia hana habari. The Russians were seen evacuating around 150 wounded soldiers in Kherson and Luhansk, using the nearest crossings across the Dnipro River. After suffering a string of...
  13. Rashda Zunde

    Serikali ilikua sahihi kuhamisha Wamaasai

    Mahakama ya Afrika Mashariki imesema uamuzi iliyochukuliwa na serikali ya Tanzania wa kuzingira ardhi kwa ajili ya ulinzi wa wanyamapori na kuwaondoa Wamasai ulikua wa kisheria. Dhumuni la serikali ni kulinda eneo la hifadhi lenye kilomita za mraba 1,500 ili kuepuka shughuli za binadamu uamuzi...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa

    Karibuni niwe wakala wenu, Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa. Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka. Ahsanteni
  15. S

    Ubunifu: Njia ya rahisi ya kuhamisha watu kushiriki zoezi la sensa ilikuwa ni kupitia ushabiki wa vilabu vya Simba na Yanga

    Serikali ikitaka isitumie resources nyingi katika kuhamasisha watu washiriki zoezi la sensa, njia rahisi ilikuwa ni kuchomekea swali: mtu anaehssabiwa aseme kama yeye ni Yanga au Simba. Japo hilo swali sio lengo la sensa, lakini kupitia swali hilo, lengo la sensa lingefanikiwa zaidi- the end...
  16. Championship

    Nimekatwa Tsh 5,300 kuhamisha Tsh 50,000 kutoka NMB mobile kwenda M-PESA

    Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio. Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato. Tsh. 5,300 (NMB Tsh. 4,491.53 na VAT Tsh. 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha...
  17. JF Member

    Tetesi: Wamesitisha Kuhamisha Ngoronogoro na Loliondo

    Kwa habari za chini ya kapeti kabisa ni kwamba waliandaa budget ya Miliini 700 Kuhamisha watu Ngongoro na Loliondo. Pesa nyingi imeshatumika tayari na zoezi limesitishwa na human rights. Kama ni kweli haya maamuzi yameleta hasara kubwa sana. Huyo muwekezaji wa kiarabu atakubari kweli? Au nae...
  18. Ghazwat

    Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

    Gereza la kilimo la songwe lililoko mjini Mbeya litahamishwa ili kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium yaliyopo eneo hilo. Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana na mwakilishi wa kampuni ya panda hill, inayotarajia kuchimba madini hayo Bw. Emmanuel Kisasi. Kisasi alisema kwamba watahamisha...
  19. MakinikiA

    Nashangaa hili zoezi la kuhamisha wamasi wa ngorongoro

    Salama wandugu, Sina lengo la kuchafua zoezi Ila nikiangalia kwa macho yangu najitahidi kufikicha macho nimuone vizuri mmasai simuoni anayehamishwa naona Kama jamii ya wameru wa Arusha,isije kuwa watu wameona ni fursa tayari hapo au serikali inatuchezea sarakasi tuamini kweli wamasai wanahama...
  20. Roving Journalist

    CHADEMA: Serikali inaendesha Operation ya kuhamisha watu kwa nguvu Ngorongoro

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU SERIKALI KUENDESHA OPERESHENI YA KUWAHAMISHA KWA NGUVU WANANCHI WILAYA YA NGORONGORO Kwa Muda mrefu sasa pamekuwa na mgogoro baina ya Serikali na wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro wanaoishi katika vijiji 14 ambao Serikali inawataka wahame kwenye ardhi yao ya asili na...
Back
Top Bottom