Najuta kuchelewa kuchangia huu uzi.Yaani vitoto vya kike vya siku hizi vingi vina roho mbaya sana kazi kupenda pesa tu, havina utu kabisa kama humpendi mama yangu hata mimi hunipendi tena nikikugundua nakupa talaka 3 yenye nukta.Pambaf...!
Afu kumbe natalia mkubwa yaani napaswa kumuamkia shkamoo! Hata siamini. snowhite, huyu dadako aliugua degedege akiwa mdogo.
Laiti angejua kuwa mama ana umuhimu gani, basi anagetamani awe anam'beba mgongoni masaa 24.
Tupunguze uzungu jamani kumbukeni maisha mliyolelewa tangu mkiwa wadogo.
Anamuweza lara1 kweli?Sidhani..huyu ndo Nataly bwana 'boss lady'
sio tu ana-run familia yake, ila ana-run jf kitengo cha MMU
Natalia asikukere wangu, utajiumiza mwenyewe, kichwa chake chamtosha mwenyewe. mzima ww?
Ndibalema,ndiyo shida ya watu kusahau kila kilicho kizuri cha mwafrika. Mwafrika halisi anaamini kugawana kile kidogo kilichopo. Ndio maana kikwetu chakula ni vizuri kiliwe sehemu ya wazi ili hata mpita njia apite ale na baadae aendelee na safari yake.Then unawezaje kutoa ushauri wa namna hiyo?
Nimesema tangu mwanzo tuweke uzungu pembeni, tuishi kiafrika zaidi.
Familia zetu ni extended si jambo la kushangaza.
Alafu muwe na imani japo kidogo jamani, unapomsaidia mtu hata Mungu naye hukuangalia na hukuongezea riziki.
selfish kweli hata like given=0Kilio cha uchungu sasa kinahitaji definition mpya! Yaani wahamie watu tu home kwako ulie kwa uchungu? Ukifiwa na mume ama mtoto?
Afu natalia yaani nikisoma title tu huwa najua thread umeanzisha wewe. You have very selfish solutions to everything!
Ninezaliwa muhimbili miaka 35 iliyopita .wazazi wangu wawili wote walikuwa na masters degrees.my parents are wealth na nimeolewa na mwanaume wealth sina shida hata kidogo .
Natalia asikukere wangu, utajiumiza mwenyewe, kichwa chake chamtosha mwenyewe. mzima ww?
Ninezaliwa muhimbili miaka 35 iliyopita .wazazi wangu wawili wote walikuwa na masters degrees.my parents are wealth na nimeolewa na mwanaume wealth sina shida hata kidogo .