Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Huyu mwanadada alizaliwa kimakosa na mwafrika...........Hata huwa ana regret kwa nini wazazi wake ni watu weusi........Kama angekuwa na uwezo wa kuwabadilisha, angewabadilisha na kuwa wazungu.

Kwa wazungu, she is an object.........she's willing to be subjected to anything mzungu anavyopenda.

In her belief and attitude. Blacks are cursed and lazy.

Kweli dunia ina vituko.
 
OK nimekusoma, but usipende mshauri mtu kuvunja ndoa yake. Waachie wao wafanye maamuzi, kwa sababu wewe umehadithiwa story ya upande mmoja ( sidhani kama umepata nafasi ya kusikiliza na ya upande wa pili).
Kusema ukweli mume wake ninaelewana nae na anamatatizo kweli .alivyoweka jela for domestic violence ( tulimwekea bond ) .kaka shughuli ya baby sitter si unajua lakini bei na huyu mama mkwe wake hataki hata kukaa na hao watoto .Huyu bibi anahela yupo hapa long time ni retired RN .yaani Mimi sio kama ninakiburi wala nini ila siwezi kuwa Kwenye ndoa ya mateso .
 
Ni ulumbukeni. Kuzaliwa vijijini, mjini ukaja ukubwani. ukizibuka ndo matokeo yake

Ninezaliwa muhimbili miaka 35 iliyopita .wazazi wangu wawili wote walikuwa na masters degrees.my parents are wealth na nimeolewa na mwanaume wealth sina shida hata kidogo .
 
Hahahahaha Natalia kuwa first born si kuwa na majukumu! Majukumu yanamuangalia yule mwenye uwezo kidogo wa kuyabeba! Kuna watu wengi si first born lakini wana majukumu mengi tuu!

Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?
 
Last edited by a moderator:
Ninezaliwa muhimbili miaka 35 iliyopita .wazazi wangu wawili wote walikuwa na masters degrees.my parents are wealth na nimeolewa na mwanaume wealth sina shida hata kidogo .

kuna siku nitakupa makavu hadi usirudi humu ndani we subiri tu!!!!!so unataka kutuminisha wazazi wako ndo waafrika upendeleo zaidi au?dadii wako 'kama yupo' ni mwafrika tu hata kama awe tajiri kama Bill Gates
 
Ninezaliwa muhimbili miaka 35 iliyopita .wazazi wangu wawili wote walikuwa na masters degrees.my parents are wealth na nimeolewa na mwanaume wealth sina shida hata kidogo .

Ha ha ha umenichekesha sana mwanamama!!!
Are you from kamachum???
 
.....and hard looking too! LOL

Hahahah. Sikuamini, Kumbe hata binadamu anaweza akawa trash katika dunia hii.

Huyu mwanadada ukizifuatilia comment zake kuhusu blacks unaweza ukafikiri ni zaidi ya wazungu wa kawaida.

I'm sure hata hao wazungu anao waabudu huwa wanamshangaa sana kama siyo kumuona kituko
 
Kilio cha uchungu sasa kinahitaji definition mpya! Yaani wahamie watu tu home kwako ulie kwa uchungu? Ukifiwa na mume ama mtoto?
Afu natalia yaani nikisoma title tu huwa najua thread umeanzisha wewe. You have very selfish solutions to everything!
Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?
 
Ninezaliwa muhimbili miaka 35 iliyopita .wazazi wangu wawili wote walikuwa na masters degrees.my parents are wealth na nimeolewa na mwanaume wealth sina shida hata kidogo .

Achana na degree za wazazi wako tunataka zako. Kitu nimegundua hapa elimu hakuna kwa kichwa yako. Shukuru kuwa mwanamke ukapata bwana wa kizungu akakupeleka huko unako babaishia watu.

Sie wacha tujilie raha huku bongo.

Nyie endeleeni kutafuta vibarua vya kufagia barabara. ndo maaana mnatamani kuwafukuza wazazi wenu maana maisha yamewashinda.

Rudini bongoooooo Natalia
 
Nyumba milioni mbili kwa mwezi? Nadhani ni shinikizo la huyo rafiki yako wana maisha ya kuiga na wewe ndio mshauri mbovu. Mshahara wa milioni tatu ni mkubwa sana kwa mtu mwenye malengo.

Hivi bila wazazi nyie watoto mngekuwa na makalio? Acheni ujinga

Nkyalo mkunza mayu, munsi nama.
 
Achana na degree za wazazi wako tunataka zako. Kitu nimegundua hapa elimu hakuna kwa kichwa yako. Shukuru kuwa mwanamke ukapata bwana wa kizungu akakupeleka huko unako babaishia watu.

Sie wacha tujilie raha huku bongo.

Nyie endeleeni kutafuta vibarua vya kufagia barabara. ndo maaana mnatamani kuwafukuza wazazi wenu maana maisha yamewashinda.

Rudini bongoooooo Natalia
Mume wangu nilikutana nae USA .nilirudi bongo wakaanza kusema nimepata kazi kwa sababu mzazi wangu fisadi .Sasa hivi hata mume wangu anisaidie Vipi ninaambiwa vya ufisadi .mzazi akishaanza kuitwa fisadi ata uganikiwe Vipi unaambiwa fisadi .ungejua nimeolewa kwa penzi na mume wangu kafanikiwa wakati tumeshaoana.sina shida mimi I miss pilau ndizi nyama vitumbua that's it .bongo too slow
 
kuna siku nitakupa makavu hadi usirudi humu ndani we subiri tu!!!!!so unataka kutuminisha wazazi wako ndo waafrika upendeleo zaidi au?dadii wako 'kama yupo' ni mwafrika tu hata kama awe tajiri kama Bill Gates
Nilikuwa sikujibu wewe .nimemjibu mtu mwingine .That is true
 
Back
Top Bottom