nakila mtu akileta mama (mke na mume) yake inakuwaje?
Katika maisha jinsi majukumu yanavyoongezeka, ndivyo uanavyopata akili ya kutafuta pesa na kupanga vizuri matumizi yake.
nakila mtu akileta mama (mke na mume) yake inakuwaje?
Ndio maana sijaolewa na mwaafrica hayo maadili siyawezi
Mmezoea ndoa Za mateso .Africa ndoa ni mateso na uvumilivu.Najiona nina bahati sana nina mume ananipenda na ananiweka no moja .Ndio maana nimeolewa na mzungu mateso na mapenzi siwezi .sio Siri uvumilivu wa ndoa Za kiafrika siwezi kabisa ningekufa na stroke au depression.kila mtu ana choice yake ila siwezi ubumilivu kabisaaaaaa.wanangu wanajua ata kelele sipendi .I like clea n neat organized house .sipendi vurugu wala wageni wasio na Faida.Ndio maana sijaolewa na mwafrika maana ningeshaachika kitambo.I like happiness and peace all the time na mume wangu anajua hayo .Ugomvi sipendi kabisa nipo tayari nivunge ndoa.my health is very important kwa wanangu stress Za ndugu wa mume hazinihusu .Kila mtu Ana choice yake na akili yake .Nikiamka asubuhi nawaza wanangu sina Muda na watoto wa watu .100 percent wanangu wanapata wanachotaka hapa duniani .
Hahahaaaa, ndio naiona hii, sijapita humu siku chache hizi nilikuwa busy na 'run my married'kiko kama vitambaa vya zamani vilikuwa tunaviita 'japan' usipopiga pasi gauni unajikuta limekuwa ka-blauzi kadogo, vilikuwa vinaruka na kumkataa mvaaji kabisa