Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Afu kumbe natalia mkubwa yaani napaswa kumuamkia shkamoo! Hata siamini. snowhite, huyu dadako aliugua degedege akiwa mdogo.

ACHANA NAE HUYU!
ALIBEMENDWA !na lazima alianza kutembea kwa kusotea ------!
mi nilishaamua kumpotezea mazima!
 
Ninezaliwa muhimbili miaka 35 iliyopita .wazazi wangu wawili wote walikuwa na masters degrees.my parents are wealth na nimeolewa na mwanaume wealth sina shida hata kidogo .

Una shida Natalia pamoja na mambo yote hayo lakini bado wewe ni mwafrika na hautakaa uwe mzungu.

Kama umefuatilia kwa makini, watu wengi hapa sio kwamba wanapinga uwajibikaji, la hasha. Umeanza kuonyesha tofauti ulipotoa ushauri wa mama mkwe kutupiwa vitu, waafrika hatuna huo utaratibu.

Umeandika heading ya thread (Kuepusha stress za ndoa do not marry a first born responsibility kibao) kumbe tatizo lako liko kwa ndoa za kiafrika na sio first born, ungesema watu wasiolewe na waafrika.

Watoto wako wataoa au kuolewa na wazungu?
 
ACHANA NAE HUYU!
ALIBEMENDWA !na lazima alianza kutembea kwa kusotea ------!
mi nilishaamua kumpotezea mazima!

Utajisikiaje kuletewa mama mkwe huna umeme chakula tabu na mpo USA.akinyang'anywa watoto na serikali je ? Mdada anapigwa kila siku jamani yaani wewe ungekaa tu.ana mchomaga Moto uko chini na wire wa Moto na mama mkwe anafurahia .ungekaa tu
 
Ninezaliwa muhimbili miaka 35 iliyopita .wazazi wangu wawili wote walikuwa na masters degrees.my parents are wealth na nimeolewa na mwanaume wealth sina shida hata kidogo .
Kumbe hili pamoja na ulimbukeni ni li mbulula pia nini maana ya "wazazi wangu wealth" na " mume wangu wealth", eti "Tanzania slow"
 
Kumbe hili pamoja na ulimbukeni ni li mbulula pia nini maana ya "wazazi wangu wealth" na " mume wangu wealth", eti "Tanzania slow"

Ndukidii Snowhite kaisha sema kuwa Natalia atatupasua vichwa.

She doesn't sound like a 35 married. She sounds like a 13 years old s**m girl being adapted by a muzungu

S
 
tatizo la kuona pesa ukia umezeeka labda tumpeleke milembe akili itarudi!
ACHANA NAE HUYU!
ALIBEMENDWA !na lazima alianza kutembea kwa kusotea ------!
mi nilishaamua kumpotezea mazima!
 
Ukiepuka kuolewa/ kuoa a first born bado una chance ya kumpata mwingine ambaye ana responsibilities hizo hizo.

Kuepuka stress za ndoa, kama kweli hutaki hizo stress enough, why not skip ndoa altogether?

If you are really serious about kuepusha stress za ndoa.
 
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma

Duh! Hivi wewe Natalia umekulia katika mazingira gani jamani? Kwani anambeba huyo mama mkwe? Unawezaje kutupa vitu vya mama wa mumeo na ukaendelea kuishi nae? Kutakuwa na amani kweli hapo?
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom