snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,751
- 23,770
konnie nini lakini!?he he he
hujaona 'I run my married?'
mi staki bana!
konnie nini lakini!?he he he
hujaona 'I run my married?'
Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?
I do hope she is from kashoziii,the behaviour and the likes....hahahahaha...upo mdada Natalie kama mumuwe anavyoliita
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
uchungu wa rafiki yako unaweza kuzidi uchungu wa huyu mama mkwe kumzaa kijana wake? ukizingatia kijana ni first born so hata uchungu wake ni mnene zaidi. mwambie rafiki yako aachane kabisa na hawa wanaume wa kwanza kuzaliwa
Umewasahau na wale ambao sio mafirstborn ila kwao ndo ukoo mzima ye ndo amesoma na ana uwezo wa kifedha,na hao mziki wake si mchezo.Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?
Ninezaliwa muhimbili miaka 35 iliyopita .wazazi wangu wawili wote walikuwa na masters degrees.my parents are wealth na nimeolewa na mwanaume wealth sina shida hata kidogo .
Yes 3 children na mwingine njiani .And I run the show in my married ( I'm boss lady )
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
Mmezoea ndoa Za mateso .Africa ndoa ni mateso na uvumilivu.Najiona nina bahati sana nina mume ananipenda na ananiweka no moja .Ndio maana nimeolewa na mzungu mateso na mapenzi siwezi .sio Siri uvumilivu wa ndoa Za kiafrika siwezi kabisa ningekufa na stroke au depression.kila mtu ana choice yake ila siwezi ubumilivu kabisaaaaaa.wanangu wanajua ata kelele sipendi .I like clea n neat organized house .sipendi vurugu wala wageni wasio na Faida.Ndio maana sijaolewa na mwafrika maana ningeshaachika kitambo.I like happiness and peace all the time na mume wangu anajua hayo .Ugomvi sipendi kabisa nipo tayari nivunge ndoa.my health is very important kwa wanangu stress Za ndugu wa mume hazinihusu .Kila mtu Ana choice yake na akili yake .Nikiamka asubuhi nawaza wanangu sina Muda na watoto wa watu .100 percent wanangu wanapata wanachotaka hapa duniani .
Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?
Hapo Kwenye RED hapo...Mbona Kingereza chako ni VERY BROKEN???
Ha ha ha...Unajifanya wa Kishua..Kingereza chenyewe hata kwa sisi tulio Bongo tusio na Wazazi wenye Masters kama wewe tunajua kuliko wewe..ACHA KUJIAIBISHA..ONGEA TU KISWAHILI UTAELEWEKA.