Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

unaufaham hadi mshahara wa mme wake?....kuna walakini hapa, yawezekana ww ndo mhusika... Unaweza kumshauri huyo mmeo amwambie mama mkwe wako warud kwao then misaada itawafuata hukohuko...kuhamia sio ufumbuzi Pole.

Huku USA hufichi Mshahara
 
Acheni masiara kama ni mimi. Hataki kumwona mamangu bora aondoke. Bila mama hamna mume. Jamani watu hutokea mbali mama ameangaika sana wamwache ni wakati wa HAVESTING

Huyo mbibi aliikimbia familia na sasa anajirudisha kwa wanae uzeeni
 
Ningekuwa mode ningekupiga ban. Naona unatudhalilisha waafrika utadhani wewe ni mzungu. Umekuwa na kiburi utadhani hao wazungu ndo Mungu, na mtu anaweza kufikiri kuwa ndoa za wazungu zote zimetulia na za waafrika zote ni mateso. Kwa taarifa yako watu tupo kwenye ndoa na tunaishi kwa amani na upendo na tunayafurahia maisha. Ndoa sio lazima iwe na material things kama unavyodhani wewe! Si ndoa zote za kiafrika ni mateso, zingine ni furaha na amani tupu japo wanashindia matembele na mihogo. Unaonekana either huna wazazi au ulisha laaniwa kwa maandishi yako haya. Sijaupenda hata kidogo ushauri wako. Kwa huyo mzungu wako umekalia material things ndio maana unamtetemekea na ninaamini unaweza ukawa unatumia umbile lako la kiafrika kummotivate huyo mzungu. Ikitokea umeachika sijui inaweza kuwaje!

Umeelewa story au ?
 
What a stupid piece of advise is this??
Shame on you Natalia....kweli hawakukosea walosema Maskini akipata makalio hulia mbwata.......

Huyo mama mkwe Ana apt yake kahamia hapo ugomvi tu na anataka mwanawe awe na mke wa pili humo ndani .please umefanyaje wewe ?
 
uwe wa mwisho au wa kwanza maisha ya ndoa ni mume na mke munachana tengemezi na kuanza maisha mapya na ndiyo maana makabila mengine hurusiwi kuoa kama huna hata kibanda.hayo mengine yanafuata baadaye kuamua wote kutoa mdaada kwa ndugu na jamaa jijenge kwanza achana na habari ya kubeba mizigo isiokuhusu hawo wajukuu wana wazazi wake mama anasehemu yake ambayo walichuma na mumewe
 
Najuta kuchelewa kuchangia huu uzi.Yaani vitoto vya kike vya siku hizi vingi vina roho mbaya sana kazi kupenda pesa tu, havina utu kabisa kama humpendi mama yangu hata mimi hunipendi tena nikikugundua nakupa talaka 3 yenye nukta.Pambaf...!
 
Hapa ndio uwongo wako unajidhihirisha! Hii story ni fabricated, embu nijibu maswali yangu hapa chini:
1) Nafahamu kuingia USA kuna taratibu zake, hivi inakuwaje huyu mama mkwe aende tu na wajukuu bila taarifa kwa mke na mume? Ina maana mke hakufahamishwa ujio wa mama mkwe na wajukuu?
2) Kama walifahamishwa, kwa nini huyo rafiki yako anaanza kulalamika sasa? Hakujua tangu mwanzo kwamba familia inayokuja ni kubwa ?
3) Umesema jamaa analipwa milioni mbili, hizi ni TZS au ni US$? Kama ni TZS niki convert kwa dollar inakuwa ni approx US$ 1,250
. Kwa mshahara huu ndani ya USA mtu anaweza kualika na familia kubwa kama unavyotaka kutuaminisha hapa?

4) Kama vitu vyote hapo juu ni fiction, tukuamini vp kwa mengine unavyo jinasibu nayo?

Mmmmh story yako naona ina element nyingi za uwongo.

NB: wana JF wenzangu tuwe makini sana na watu aina ya Natalia, tusipoteze muda mwingi kuchangia story ambazo ni za kupika.
Kimtazamo nafikiri huyu ni binti aliye na stress kimaisha, na kuna aina ya maisha ana desire kuyaishi kutokana na kuwa brain washed kwamba the Muzungu is every thing in life. Yuko tayari hata kuondoa proud yake ya Uafrika ili mradi kumridhisha Mzungu atakayempata.

Ok huyu mama mkwe ni mzanzibar yupo Huku tangia zamani sana lakini watoto wake walikuwa Zanzibar .sasa aliwasahau Huko ,huyu msichana akapata green card akaja hapa .akapiga mizigo akapata kazi ya kutengeneza nywele .usiku anafanya kazi na mchana nywele .Akapata pesa nzuri akaenda bongo akaolewa na akafanikiwa kumleta Huku .kabla hawajaoana walikuwa na watoto wawili bongo kwa hiyo alikuwa kwa kweli anakiweza anapeleka pesa nyumbani watoto wanasoma .mume wake akahamia hapa that was july .Na wakati huo Fatima ( huyo rafiki yangu ) akiwa anahangaika yote hayo mama mkwe wake alikuwa hapa USA na hakutaka kujua ya Fatima na wala Wajikuu zake .Basi Fatima mume kuja kaka angu akaanza ulevi ugomvi Kwenye apt mpaka wakafukuzwa basi Fatima akahamia Arizona na akamwacha mume Brooklyn .Basi Yule mume akamtafita Fatima wakarudiana basi fatima anaenda greyhound anamkuta mume mama ake na watoto wa tatu ,Fatima hawajui na Ana nyumba viwili,Fatima akawakatibibishawanaume akapata kazi dollar store .mwanaume akatafuta kazi kwa agency .bill zikazidi na Fatima akawa hawezi.mume wake ashawekwa jela for domestic violence na mama ake anauwezo sio Hana .Na hawa watoto wana wazazi ila wanakaaga na bibi Yao .Fatima ninemshauri arudishe wanae Zanzibar arudi Huku aanze maisha upya.mama mkwe hamtaki anataka mtoto wake awe na mke wa pili .its sad mnooo hata usingizi sijalala kujua Kama mzima au ?mume wake yaani uwiiiii akilewa anampiga Mbele ya wanae na wanae wane report shuleni .Asije poteza watoto bure
 
Natalia, hiyo 2million mbana ni nyingi tu. Unataka aachike uende wewe ukatumie hiyo millioni 2?? Sidhani kutupa vitu nje itakuwa ndiyo solution ya wao kuishi kwa amani. Ingalikuwa ni mama yako ameenda kwa kaka yako je ungalimshauri wifi yako atupe vitu vya mama yako nje. jamani tuwe tunatoa ushauri kama watu wenye ubinadamu. excuse me
 
Kaka uniite any names ila kwelikweli unaweza hudumia watoto wa kaka ako na wakwako wamerudishwa shule hawana Ada .kaka ake mume wake anakazi,.wanaishi kwa Mshahara wa million 3 tu .nyumba million mbili,shule secondary watoto wawili bei .Wazazi wake rafiki yangu ndio wanawapa pesa ya kula .na mama mkwe wake ana watoto 6 lakini anataka first born.wazazi wake rafiki yangu wameshamwambia Umeoa au umeolewa.hiyo nyumba wanayokaa wazazi wa mwanamke wanailipia.

Nyumba milioni mbili kwa mwezi? Nadhani ni shinikizo la huyo rafiki yako wana maisha ya kuiga na wewe ndio mshauri mbovu. Mshahara wa milioni tatu ni mkubwa sana kwa mtu mwenye malengo.

Hivi bila wazazi nyie watoto mngekuwa na makalio? Acheni ujinga
 
Natalia, hiyo 2million mbana ni nyingi tu. Unataka aachike uende wewe ukatumie hiyo millioni 2?? Sidhani kutupa vitu nje itakuwa ndiyo solution ya wao kuishi kwa amani. Ingalikuwa ni mama yako ameenda kwa kaka yako je ungalimshauri wifi yako atupe vitu vya mama yako nje. jamani tuwe tunatoa ushauri kama watu wenye ubinadamu. excuse me
In USA mtu mmoja haimtoshi
 
Mmezoea ndoa Za mateso .Africa ndoa ni mateso na uvumilivu.Najiona nina bahati sana nina mume ananipenda na ananiweka no moja .Ndio maana nimeolewa na mzungu mateso na mapenzi siwezi .sio Siri uvumilivu wa ndoa Za kiafrika siwezi kabisa ningekufa na stroke au depression.kila mtu ana choice yake ila siwezi ubumilivu kabisaaaaaa.wanangu wanajua ata kelele sipendi .I like clea n neat organized house .sipendi vurugu wala wageni wasio na Faida.Ndio maana sijaolewa na mwafrika maana ningeshaachika kitambo.I like happiness and peace all the time na mume wangu anajua hayo .Ugomvi sipendi kabisa nipo tayari nivunge ndoa.my health is very important kwa wanangu stress Za ndugu wa mume hazinihusu .Kila mtu Ana choice yake na akili yake .Nikiamka asubuhi nawaza wanangu sina Muda na watoto wa watu .100 percent wanangu wanapata wanachotaka hapa duniani .

Kuolewa na mzungu umeona ni big deal? Akimaliza mkataba wake anakupiga chini. Kama wewe unavyowadharau weusi wenzio ndivyo wanavyokudharau wewe unaejikomba kwao
 
OK nimekusoma, but usipende mshauri mtu kuvunja ndoa yake. Waachie wao wafanye maamuzi, kwa sababu wewe umehadithiwa story ya upande mmoja ( sidhani kama umepata nafasi ya kusikiliza na ya upande wa pili).
Ok huyu mama mkwe ni mzanzibar yupo Huku tangia zamani sana lakini watoto wake walikuwa Zanzibar .sasa aliwasahau Huko ,huyu msichana akapata green card akaja hapa .akapiga mizigo akapata kazi ya kutengeneza nywele .usiku anafanya kazi na mchana nywele .Akapata pesa nzuri akaenda bongo akaolewa na akafanikiwa kumleta Huku .kabla hawajaoana walikuwa na watoto wawili bongo kwa hiyo alikuwa kwa kweli anakiweza anapeleka pesa nyumbani watoto wanasoma .mume wake akahamia hapa that was july .Na wakati huo Fatima ( huyo rafiki yangu ) akiwa anahangaika yote hayo mama mkwe wake alikuwa hapa USA na hakutaka kujua ya Fatima na wala Wajikuu zake .Basi Fatima mume kuja kaka angu akaanza ulevi ugomvi Kwenye apt mpaka wakafukuzwa basi Fatima akahamia Arizona na akamwacha mume Brooklyn .Basi Yule mume akamtafita Fatima wakarudiana basi fatima anaenda greyhound anamkuta mume mama ake na watoto wa tatu ,Fatima hawajui na Ana nyumba viwili,Fatima akawakatibibishawanaume akapata kazi dollar store .mwanaume akatafuta kazi kwa agency .bill zikazidi na Fatima akawa hawezi.mume wake ashawekwa jela for domestic violence na mama ake anauwezo sio Hana .Na hawa watoto wana wazazi ila wanakaaga na bibi Yao .Fatima ninemshauri arudishe wanae Zanzibar arudi Huku aanze maisha upya.mama mkwe hamtaki anataka mtoto wake awe na mke wa pili .its sad mnooo hata usingizi sijalala kujua Kama mzima au ?mume wake yaani uwiiiii akilewa anampiga Mbele ya wanae na wanae wane report shuleni .Asije poteza watoto bure
 
Ok huyu mama mkwe ni mzanzibar yupo Huku tangia zamani sana lakini watoto wake walikuwa Zanzibar .sasa aliwasahau Huko ,huyu msichana akapata green card akaja hapa .akapiga mizigo akapata kazi ya kutengeneza nywele .usiku anafanya kazi na mchana nywele .Akapata pesa nzuri akaenda bongo akaolewa na akafanikiwa kumleta Huku .kabla hawajaoana walikuwa na watoto wawili bongo kwa hiyo alikuwa kwa kweli anakiweza anapeleka pesa nyumbani watoto wanasoma .mume wake akahamia hapa that was july .Na wakati huo Fatima ( huyo rafiki yangu ) akiwa anahangaika yote hayo mama mkwe wake alikuwa hapa USA na hakutaka kujua ya Fatima na wala Wajikuu zake .Basi Fatima mume kuja kaka angu akaanza ulevi ugomvi Kwenye apt mpaka wakafukuzwa basi Fatima akahamia Arizona na akamwacha mume Brooklyn .Basi Yule mume akamtafita Fatima wakarudiana basi fatima anaenda greyhound anamkuta mume mama ake na watoto wa tatu ,Fatima hawajui na Ana nyumba viwili,Fatima akawakatibibishawanaume akapata kazi dollar store .mwanaume akatafuta kazi kwa agency .bill zikazidi na Fatima akawa hawezi.mume wake ashawekwa jela for domestic violence na mama ake anauwezo sio Hana .Na hawa watoto wana wazazi ila wanakaaga na bibi Yao .Fatima ninemshauri arudishe wanae Zanzibar arudi Huku aanze maisha upya.mama mkwe hamtaki anataka mtoto wake awe na mke wa pili .its sad mnooo hata usingizi sijalala kujua Kama mzima au ?mume wake yaani uwiiiii akilewa anampiga Mbele ya wanae na wanae wane report shuleni .Asije poteza watoto bure

Maskini. Eti ametafuta ushauri wa siri kwa rafiki yake.....anachopata ni kuanikwa kwenye mtandao mpaka na jina na familia yake.

Yaani wewe ni kweli halfwit. Huitendei haki familia ya rafiki yako hata kidogo.
 
Back
Top Bottom