Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?
Kabla hawajaoana angemmwambia .sasa inabidi amuache huyo mume maana umaskini ndiouchungu wa rafiki yako unaweza kuzidi uchungu wa huyu mama mkwe kumzaa kijana wake? ukizingatia kijana ni first born so hata uchungu wake ni mnene zaidi. mwambie rafiki yako aachane kabisa na hawa wanaume wa kwanza kuzaliwa
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family NomaLaiti angejua kuwa mama ana umuhimu gani, basi anagetamani awe anam'beba mgongoni masaa 24.
Tupunguze uzungu jamani kumbukeni maisha mliyolelewa tangu mkiwa wadogo.
Are you married?Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
Are you married?
Then unawezaje kutoa ushauri wa namna hiyo?Yes 3 children na mwingine njiani .
No mercy to marriage problems .Kumtafutia shida mtotoThen unawezaje kutoa ushauri wa namna hiyo?
Nimesema tangu mwanzo tuweke uzungu pembeni, tuishi kiafrika zaidi.
Familia zetu ni extended si jambo la kushangaza.
Alafu muwe na imani japo kidogo jamani, unapomsaidia mtu hata Mungu naye hukuangalia na hukuongezea riziki.
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
marriage problems? kuna problems lakini sio kama hizo.No mercy to marriage problems .Kumtafutia shida mtoto
Wa watu .
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
No mercy to marriage problems .Kumtafutia shida mtoto
Wa watu .
Generation yetu wazazi wetu wanepesa.kama umezaliwa 70's Wazazi lazima wanauwezo bwanaaawazazi wanathaman sn kuliko ki2 chochote. Aish nae kwa amani na upendo na roho safi wala hataona mzigo. Angekua ndo mama ake angechukia?
Kahamia permanent.wajukuu washaanza shulemarriage problems? kuna problems lakini sio kama hizo.
Mbali na kiuchumi hao wageni wana effects gani katika hiyo ndoa?
Wamesababisha mume kuwa mzinzi au kutokuwa mwaminifu, kuwa jeuri? kutomsikiliza mkewe? etc?