Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Utajisikiaje kuletewa mama mkwe huna umeme chakula tabu na mpo USA.akinyang'anywa watoto na serikali je ? Mdada anapigwa kila siku jamani yaani wewe ungekaa tu.ana mchomaga Moto uko chini na wire wa Moto na mama mkwe anafurahia .ungekaa tu
acha uongo ndoa haijamaliza mwezi tayari wanalipiwa nyumba?ana watoto?amekatiwa umeme, mke anachomwa moto? hii story ya mwaka gani?unajichanganya hicho kichwa kinamatatizo hata kama ni stiry ya kutunga hujatumia akili.
 
yani mnaniacha hoi mnaotoka povu na Natalia mamaa rutheford..mtoto ya fisadi..mama kijacho.. Mamaa madolare..

Mnapanic wakati ye karelaxxx .. Never cares .. Anajibu short n clear ..unakereka ad unaparua ukuta kwa kucha..lakini waapi ndo kwanzzaaa anakumixia majibu ya shorttopic ad unalia nyuma ya computer yako ya kichina,na ukiidondoshea chozi tuu ..kushney babuG..

Ila dear, jinsi unalovochukulia life dadaangu..hmm ova sir God anko wako jamaan!! Kiruu..
Na hao unaowashauri uwiii..sijui wanauraia wa Misrii??ha ha ha haaa
😉
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha umenichekesha sana mwanamama!!!
Are you from kamachum???
I do hope she is from kashoziii,the behaviour and the likes....hahahahaha...upo mdada Natalie kama mumuwe anavyoliita
 
Huyu atakuwa alitafuna kondo la nyuma wakati anazaliwa aisee. She is in a league of her own! Hivi unaweza kujisifia babangu fisadi:shut-mouth:
alipata kideri cha ubongo.

Afu ujue kadiri miaka inavyoenda yeye anapungua umri

2012 alikuwa 37, leo 2013 yuko 35.
 
Hahaha, pasingetosha! Brain isingemtosha hata kupumua unaided!:majani7:
:confused2:Na hapo kakulia daslam. Angekulia kule wanging'ombe kwa bibi yake mzaa mama, agagangaaaa!
"My parents are wealth"...

Duh!

Na hapo ndo wazazi wote wamezaa wakiwa na masters degree, wangezaa na cheti cha darasa la saba?
 
mwaJ vipindi vya mwl Natalia vinahitaji uwe na roho ngumu!

Cha leo ndio hakipandi kabisa maana hizo theories hazikaribii hali halisi. Sometimes huwa tunalaumu walimu hawaeleweki kumbe maskini tunapigwa lecture na lecturer ambaye zilishamruka wakati anafanya PhD. Badala ya kufundisha anageuka confuser!
 
Hahahahahahahahahahahahaha

Yani huyu lecturer ukiingia kila kipindi chake lazima uchanganyikiwe maana madesa anayo towa yanakatisha tamaa kabisa!

Cha leo ndio hakipandi kabisa maana hizo theories hazikaribii hali halisi. Sometimes huwa tunalaumu walimu hawaeleweki kumbe maskini tunapigwa lecture na lecturer ambaye zilishamruka wakati anafanya PhD. Badala ya kufundisha anageuka confuser!
 
kiko kama vitambaa vya zamani vilikuwa tunaviita 'japan'

usipopiga pasi gauni unajikuta limekuwa ka-blauzi kadogo, vilikuwa vinaruka na kumkataa mvaaji kabisa

ukistaajabu ya 'my married',utashangaa ya 'my parents are wealth'!kweli kidhungu ni wito hata uwe wapi kikikukataa kimekataa
 
sio baba tu

na mama yangu fisadi, tena wanamwandika kila siku magazetini.

Na mme wangu anapika na kuniosha!!!!

Huyu atakuwa alitafuna kondo la nyuma wakati anazaliwa aisee. She is in a league of her own! Hivi unaweza kujisifia babangu fisadi:shut-mouth:
 
Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?

Mi ndo maana mataka kuoa mpori mpori nyie wa mjini hamfai
 
Ndukidii Snowhite kaisha sema kuwa Natalia atatupasua vichwa.

She doesn't sound like a 35 married. She sounds like a 13 years old s**m girl being adapted by a muzungu

S
huyu muacheni tu!yani ni kawaida yake kuongea kama kanywa maji ya betri hiv hiv !
 
"My parents are wealth"...

Duh!

Na hapo ndo wazazi wote wamezaa wakiwa na masters degree, wangezaa na cheti cha darasa la saba?

rafiki yangu we acha tu!mi huwa nacheka na chiingereza cha huyu aliyezaliwa kwenye swimming pool mpka napaliwa!
 
Back
Top Bottom