Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma

unaufaham hadi mshahara wa mme wake?....kuna walakini hapa, yawezekana ww ndo mhusika... Unaweza kumshauri huyo mmeo amwambie mama mkwe wako warud kwao then misaada itawafuata hukohuko...kuhamia sio ufumbuzi. Pole.
 
Acheni masiara kama ni mimi. Hataki kumwona mamangu bora aondoke. Bila mama hamna mume. Jamani watu hutokea mbali mama ameangaika sana wamwache ni wakati wa HAVESTING
 
Ningekuwa mode ningekupiga ban. Naona unatudhalilisha waafrika utadhani wewe ni mzungu. Umekuwa na kiburi utadhani hao wazungu ndo Mungu, na mtu anaweza kufikiri kuwa ndoa za wazungu zote zimetulia na za waafrika zote ni mateso. Kwa taarifa yako watu tupo kwenye ndoa na tunaishi kwa amani na upendo na tunayafurahia maisha. Ndoa sio lazima iwe na material things kama unavyodhani wewe! Si ndoa zote za kiafrika ni mateso, zingine ni furaha na amani tupu japo wanashindia matembele na mihogo. Unaonekana either huna wazazi au ulisha laaniwa kwa maandishi yako haya. Sijaupenda hata kidogo ushauri wako. Kwa huyo mzungu wako umekalia material things ndio maana unamtetemekea na ninaamini unaweza ukawa unatumia umbile lako la kiafrika kummotivate huyo mzungu. Ikitokea umeachika sijui inaweza kuwaje!
 
Mabinti wa siku hizi uchuro kwani pesa ya kuwalisha unatafuta wewe au mtoto wake.
 
What a stupid piece of advise is this??
Shame on you Natalia....kweli hawakukosea walosema Maskini akipata makalio hulia mbwata.......

Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
 
Hii inaitwa Nataliaphobia.....
Preta..umeiona?!
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio uwongo wako unajidhihirisha! Hii story ni fabricated, embu nijibu maswali yangu hapa chini:
1) Nafahamu kuingia USA kuna taratibu zake, hivi inakuwaje huyu mama mkwe aende tu na wajukuu bila taarifa kwa mke na mume? Ina maana mke hakufahamishwa ujio wa mama mkwe na wajukuu?
2) Kama walifahamishwa, kwa nini huyo rafiki yako anaanza kulalamika sasa? Hakujua tangu mwanzo kwamba familia inayokuja ni kubwa ?
3) Umesema jamaa analipwa milioni mbili, hizi ni TZS au ni US$? Kama ni TZS niki convert kwa dollar inakuwa ni approx US$ 1,250
. Kwa mshahara huu ndani ya USA mtu anaweza kualika na familia kubwa kama unavyotaka kutuaminisha hapa?

4) Kama vitu vyote hapo juu ni fiction, tukuamini vp kwa mengine unavyo jinasibu nayo?

Mmmmh story yako naona ina element nyingi za uwongo.

NB: wana JF wenzangu tuwe makini sana na watu aina ya Natalia, tusipoteze muda mwingi kuchangia story ambazo ni za kupika.
Kimtazamo nafikiri huyu ni binti aliye na stress kimaisha, na kuna aina ya maisha ana desire kuyaishi kutokana na kuwa brain washed kwamba the Muzungu is every thing in life. Yuko tayari hata kuondoa proud yake ya Uafrika ili mradi kumridhisha Mzungu atakayempata.


Uwe na familia ya watu7 ukae marekani .it cost a lot ingekuwa bongo sawa.umeme bill Yao unaambiwa 1000 kwa mwezi ,hapo bill Za vitu vingine kichwa kinamuuma na umeme wanekatiwa ni ngumu kwa kweli
 
Natalia we n noma na post zako zinaboa hakuna mfano...,kwa huo ushaur wako nahis hauna roho ya nyama ngoja nawe hao watoto zako waje wakuone mzgo hapo bdae af uone hw t fils maana nahc una kalaana na c unajua laana hutafuna kizaz eh
 
Mh, dada angu Natalia unaroho MBAYAAA ndo maana ukang'ang'ania kuolewa na mzungu ungeolewa na mtanzania usingekaa kwenye ndoa hata mwezi kwa tabia yako..!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma


Barbaric advise having traces of high level of insanity with high degree of brutality........shame upon you. you will be long gone before you do that to my mom.
 
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
teh teh jamani jamani m 2 zote? mbona bilionea huyo jamaa? m 2 ashindwe kumtunza mama yake?
 
Laiti angejua kuwa mama ana umuhimu gani, basi anagetamani awe anam'beba mgongoni masaa 24.
Tupunguze uzungu jamani kumbukeni maisha mliyolelewa tangu mkiwa wadogo.

Hata kama ni mama yake busara ni muhimu mno ili kuwapa privacy hii familia mpya kufanya mambo yao. Ninachokiona hapa ni strategy ya huyu mama intruder kuingia mapema ili awe part ya ile familia na hatimaye kuwa sehemu ya mipango ya familia kitu ambacho kitaharibu sana ndoa. Mtoto wa kiume atashindwa kumsaliti mama ili akae na mke wake na hivyo atatumia muda mwingi akiongoe na mama yake kuliko wife.

Cha kufanya ni kumtafutia mama yake au kumjengea nyumba ampelekee msaada humo humo kwani si lazima kama anaihitaji support ya mtoto kuishi naye bali anaweza ishi popote akapelekewa msaada.
 
Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?

Natalia, mbona hiyo chamtoto? Sisi ndugu yetu akioa, tunahamia kwake, kuanzia wazee hadi wajukuu, tunahakikisha tunatawala nyumba, ni kuongea kilugha tu. Tunapishana bila heshima wala adabu kama majinamizi bin midubwashika. Zoezi hilo linachukua mwaka mzima, HATUCHANGII KITU KWENYE BUDGET
 
Last edited by a moderator:
Bora umesema bibie. Huyu ni kiumbe hatari si wa kumsikiliza hata! Huyu anakunyonga akiwa anacheka eti. Anajiita mama halafu anatoa maneno hatari kwa wamama. Anyway, naambiwa huko kwa wazungu mtu aweza sema ana watoto watatu kumbe ni mbwa au paka anaowafuga, so huenda hayo mazingira huchangia kutoelewa binadamu na utu
 
Ndio maana bado naamini mambo yangu ya ndani na mume wangu sipaswi kuwaambia watu wengine. Ona sasa eti huyu ameona ana rafiki wa kumsimulia mambo yake lol, ampe ushauri! Ndoa yenyewe ya sijui miezi mingapi! Wadada ndio mjifunze, ndoa ina maana pana sana zaidi ya hizi mbwembwe za kizungu koko!
 
Kabla hawajaoana angemmwambia .sasa inabidi amuache huyo mume maana umaskini ndio
Unapoanza
Nafikiri ni uoga wa Maisha, si dhani kwa mwanaume aliyefikia umri wa kuoa mwenye mtazamo wa maisha akaogopa kukaa na mama yake na wadogo zake. kikubwa ni kuwa na mipango tu maisha yanaenda.
 
Natalia ungekuwa ndio kwanza umeolewa ningesema unakosa privacy na mumeo katika mambo fulani lakini kama ulivyosema ushapanda vyeo unatafuta nini? beba majukumu ndio kilichobaki, ebo!
Sio Mie mshikaji wangu mtu wa Zanzibar
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom