Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Sio in my married ni in your marriage, we si bure umeolewa na muhindi, kingereza gani hicho hihii
 
huyu ndo mama kijacho Nataliaaaaa nikopeshe milioni kadhaa basi...
 
Last edited by a moderator:
Kawaida sana tu ukiwa na ndugu ni baraka mirija ya pesa itaelekezwa kwako
Kaka sikiliza wewe Umeoa mwezi ushamleta mama ako na 3 wajikuu.kabla ya watu hao kuhamia nyumba tabu kulipa kodi .huwezi lipa kodi bila kuwaza mafuta ya gari tabu .haya mizigo hiyo
 
wazazi wanathaman sn kuliko ki2 chochote. Aish nae kwa amani na upendo na roho safi wala hataona mzigo. Angekua ndo mama ake angechukia?

Umenena vema Dada Anita mungu akujalie roho ya imani na upendo hivyohivyo siku zote za maisha yako. Wanadamu wa siku hizi tunajali sana vitu kuliko utu, Natalia mshauri vizuri rafiki yako pasipo huyo mama huyo mme alienae angemwona wapi? Huyo rafiki yako anapenda tunda la nazi tu lkn mnazi wenye kutoa hilo tunda hautaki?
 
Then unawezaje kutoa ushauri wa namna hiyo?
Nimesema tangu mwanzo tuweke uzungu pembeni, tuishi kiafrika zaidi.
Familia zetu ni extended si jambo la kushangaza.
Alafu muwe na imani japo kidogo jamani, unapomsaidia mtu hata Mungu naye hukuangalia na hukuongezea riziki.

Ndibalema tuache kusingizia uzungu, natalia ana uzungu gani. Hii ni kuwa na choyo. Malezi mabovu. unamshaurije mwanamke mwenzio amtupie nje virago mama mkwe wake. Hivi Natalia umeongea ukimaanisha au?
 
Umenena vema Dada Anita mungu akujalie roho ya imani na upendo hivyohivyo siku zote za maisha yako. Wanadamu wa siku hizi tunajali sana vitu kuliko utu, Natalia mshauri vizuri rafiki yako pasipo huyo mama huyo mme alienae angemwona wapi? Huyo rafiki yako anapenda tunda la nazi tu lkn mnazi wenye kutoa hilo tunda hautaki?
Utalipaje Ada ya shule ya ndugu zako na wakwako Hana ADA
 
Ndibalema tuache kusingiuzia uzungu, natalia ana uzungu gani. Hii ni kuwa na choyo. Malezi mabovu. unamshaurije mwanamke mwenzio amtupie nje virago mama mkwe wake. Hivi Natalia umeongea ukimaanisha au?
Hakikai hapo kwenye red hiyo ndo imefit kwa huyo mwanzisha mada. hakuna neno mbadala wa hilo.
 
Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?

Nilikuwa nadhani una busara kumbe sifuri tu.........
 
Sio in my married ni in your marriage, we si bure umeolewa na muhindi, kingereza gani hicho hihii
Wewe unaweza lipia Ada watoto wa ndugu zako na wakati wanao hawana Ada .nimeolewa na mzungu na ninandoa nzuri tu ila sipendi ujinga
 
Nilikuwa nadhani una busara kumbe sifuri tu.........

Kaka uniite any names ila kwelikweli unaweza hudumia watoto wa kaka ako na wakwako wamerudishwa shule hawana Ada .kaka ake mume wake anakazi,.wanaishi kwa Mshahara wa million 3 tu .nyumba million mbili,shule secondary watoto wawili bei .Wazazi wake rafiki yangu ndio wanawapa pesa ya kula .na mama mkwe wake ana watoto 6 lakini anataka first born.wazazi wake rafiki yangu wameshamwambia Umeoa au umeolewa.hiyo nyumba wanayokaa wazazi wa mwanamke wanailipia.
 
Mi sidhani kama Natalia yuko kwenye ndoa, au unasemaje Ndibalema?
Exactly, kulingana na coments zake anadhihirisha kabisa kuwa hayupo kwenye ndoa.
Maybe bado yupo kwenye u'boyfriend na u'girlfriend tena sio serious relationship.
 
Exactly, kulingana na coments zake anadhihirisha kabisa kuwa hayupo kwenye ndoa.
Maybe bado yupo kwenye u'boyfriend na u'girlfriend tena sio serious relationship.
Mmezoea ndoa Za mateso .Africa ndoa ni mateso na uvumilivu.Najiona nina bahati sana nina mume ananipenda na ananiweka no moja .Ndio maana nimeolewa na mzungu mateso na mapenzi siwezi .sio Siri uvumilivu wa ndoa Za kiafrika siwezi kabisa ningekufa na stroke au depression.kila mtu ana choice yake ila siwezi ubumilivu kabisaaaaaa.wanangu wanajua ata kelele sipendi .I like clea n neat organized house .sipendi vurugu wala wageni wasio na Faida.Ndio maana sijaolewa na mwafrika maana ningeshaachika kitambo.I like happiness and peace all the time na mume wangu anajua hayo .Ugomvi sipendi kabisa nipo tayari nivunge ndoa.my health is very important kwa wanangu stress Za ndugu wa mume hazinihusu .Kila mtu Ana choice yake na akili yake .Nikiamka asubuhi nawaza wanangu sina Muda na watoto wa watu .100 percent wanangu wanapata wanachotaka hapa duniani .
 
duuh dada angu,maneno yako yanasema kuwa we ni rimbukeni na huna maadili
na bila shaka hujaolewa
 
Mi sidhani kama Natalia yuko kwenye ndoa, au unasemaje Ndibalema?

Jana usiku nilikuwa nimelala .nikaamka nilimwona mume wangu ananiangalia kwa furaha na tabasamu nikamwuliza baby what's wrong akaniambia natalia " I love you ". My husband wants me to be happy all the time .Mama ake Mzazi alimwuliza 2013 any thing new akamwambia mama ake " 2013 is the year for natalie I want to make sure she is happy and loved by me only me " . That is love.Wanangu wanajua jinsi baba Yao anavyonipenda .I feel happy secured na nina nyodo kwa sababu napendwa .Inanisikitisha sana ukuona watu
Wanakaa Kwenye ndoa Za kelele na shida.Love does not hurt .God bless Dr Rutherford uwii yaani ninalia saa hizi jinsi ninavyojiona sipo na mwafrika .
 
Back
Top Bottom