Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

NATALIA UNA ROHO MBAYA..
KAMA HAKUNA MTU AMBAYE AMESHAWAHI KUKUAMBIA,MIMI LEO NAKUAMBIA...WEWE UNA ROHO MBAYA..

Acha kujifanya wakishua..Mi nakuona Mshamba tu Kuwatukuza Wazungu na kuwadharau waafrika ambao na wewe ni mmoja wao..
Uwe na familia ya watu7 ukae marekani .it cost a lot ingekuwa bongo sawa.umeme bill Yao unaambiwa 1000 kwa mwezi ,hapo bill Za vitu vingine kichwa kinamuuma na umeme wanekatiwa ni ngumu kwa kweli
 
Atupe vi2 vyao Nje!!!!!!!! We Natalia mama yako akitupiwa Vitu nje utajisikiaje!!!!

Acheni Roho Mbaya bwana..Kwani Mil 2 ndo nini,,chache au nyingi!!!! Mama Anauchungu na mwanawe kuliko hata nyie mliomjua huyo bro ukubwani

Hiyo ni dollar 1500 USA familia watu 7?.wakipata green card
 
Natalia ungekuwa ndio kwanza umeolewa ningesema unakosa privacy na mumeo katika mambo fulani lakini kama ulivyosema ushapanda vyeo unatafuta nini? beba majukumu ndio kilichobaki, ebo!
 
Last edited by a moderator:
Uwe na familia ya watu7 ukae marekani .it cost a lot ingekuwa bongo sawa.umeme bill Yao unaambiwa 1000 kwa mwezi ,hapo bill Za vitu vingine kichwa kinamuuma na umeme wanekatiwa ni ngumu kwa kweli

Nimekuelewa Sana Natalia...Nakubaliana na Wewe kuwa Maisha Huko ni Magumu sana...
Ila Ambacho Sikubaliani na wewe na Ambacho kinanifanya niamini kuwa wewe una roho ngumu tena mbaya ni KITENDO CHA KUSHAURI MAMA ATUPIWE VITU VYAKE NJE

Natalia,Did U think First before saying this????
Mama atupiwe Vitu Nje,na Mtoto Aliyemzaa na Kumnyonyesha! Mtoto Aliyenyea Mikono ya mama yake na Mama akafua nepi zenye Mikojo na Mavi???!!!!!

Hivi Siku Moja mama yako akitupiwa vitu Nje utajisikiaje?
Siku wewe Ukiwa Mzee au Mgonjwa,Ukaenda kwa Mwanao kwa Mfano...Mkweo Akakutupa Nje ya Nyumba..Utajisikiaje?

Maisha haya tunapita..Tuwaheshimu Wazazi..TUPO HAPA LEO KWA SABABU YA MALEZI MAGUMU WALIYOPITIA KATIKA KUTULEA..

Thanks,Nadhani Umenielewa
 
Mama mkwe wake alihama apartment yake akahamia hapo na hamlipi bill wala nini.huyo mdada ukimwona utalia anavyoteseka sana .huyo mama mkwe sio wakumtetea anaweka taarab siku nzima.
 
Nilikuwa nakuona mjanja kube bure kabisa source Mwai Kibaki.

inaonyesha uliwahi kwenda kwa wazungu na huna alternative ya kurudi huko roho inakuhangaisha sana pole yako kubali yaishe wewe ni mbongo maana nikiconect the dot ya thread yako moja humu ulimwambia mtu si uende marekani badala ya uje thats means haupo huko njoo hapa Accra upumzike acha kuhangaika
 
Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?
Heading is too general. Kwenye kabila yetu last born ndiye anayeishi na wazazi, na sisi tuliomtangulia tunampelekea fungu fulani ambalo ni reasonable.
 
Mmezoea ndoa Za mateso .Africa ndoa ni mateso na uvumilivu.Najiona nina bahati sana nina mume ananipenda na ananiweka no moja .Ndio maana nimeolewa na mzungu mateso na mapenzi siwezi .sio Siri uvumilivu wa ndoa Za kiafrika siwezi kabisa ningekufa na stroke au depression.kila mtu ana choice yake ila siwezi ubumilivu kabisaaaaaa.wanangu wanajua ata kelele sipendi .I like clea n neat organized house .sipendi vurugu wala wageni wasio na Faida.Ndio maana sijaolewa na mwafrika maana ningeshaachika kitambo.I like happiness and peace all the time na mume wangu anajua hayo .Ugomvi sipendi kabisa nipo tayari nivunge ndoa.my health is very important kwa wanangu stress Za ndugu wa mume hazinihusu .Kila mtu Ana choice yake na akili yake .Nikiamka asubuhi nawaza wanangu sina Muda na watoto wa watu .100 percent wanangu wanapata wanachotaka hapa duniani .
Wewe kwa akili hii uliyo nayo, naweza sema umetoka maisha ya shida sana, sasa kuolewa na mzungu kama kwa hawa dada poa hapa unaona umemaliza dunia, na inaonekana hata kwenu hutaki kurudi kwa kuogopa watakuaibisha, nia aibu dada kwa unachoongea hapa.Hivi unaamini kuwa hata hao wazungu ni binadamu, maana nahisi unaona umeolewa na Mungu. In short unaonekana limbukeni au very immature.
 
Generation yetu wazazi wetu wanepesa.kama umezaliwa 70's Wazazi lazima wanauwezo bwanaaa

Nimezaliwa 80's na ni first born lakini stil wazazi wangu hawana uwezo. Labda wewe umezaliwa Masaki na umeolewa Ulaya. Wewe ndo mwanamke gani huna busara hata kidogo? Hujui watanzania wanaishije? Hujui kuwa hata pato la mtanzania kwa siku halizidi dola moja (yaani chini ya 1600?). Yaani mshahara wa mil2 unaubeza na unaona kama mdogo? Na huyo lazima atakuwa na malupulu mengine. Hebu tujaribu kuangalia maisha tuliyoishi toka tukiwa watoto na tuwe na huruma kwa familia zetu. Yaani kama enzi unasoma wazazi walikuwa wanashindwa hata kuunga mafuta kwenye mboga, wengine walishindwa hata kuvaa vizuri, wengine walifanya vibarua, wengine walipika hata pombe, wengine waliuza magenge ili tuu usome, then unapata kazi na mshahara mzuri ushindwe kuwasaidia? Kisa mwanamke?? Yaani unataka waendelee kutaabika kama zamani? Waishi kama hawakuzaa na kukulea kwa juhudi zao zote. Ni afadhali niishi na wazazi wangu bila mke kuliko kuishi na mke ambaye atawanyanyasa wazazi wangu.

Note: Nimeoa na nina mtoto, wote tumelelewa kwenye extended family na kwa sasa kipato chetu si haba, lakini namshukuru Mungu tunaishi vizuri na mke wangu, na tunajua tunavyo wa handle wazazi mpaka na wao wanafurahi.
 
Any thread to bring up the fact that you're ( allegedly) married to a white man and to insult Africans. As always The Great Thinkers disagree with your shallow self. Typical Natalia thread. Enjoy those chicken wings. Angalia usinenepeane hovyo mzungu akakukimbia.
 
Mmezoea ndoa Za mateso .Africa ndoa ni mateso na uvumilivu.Najiona nina bahati sana nina mume ananipenda na ananiweka no moja .Ndio maana nimeolewa na mzungu mateso na mapenzi siwezi .sio Siri uvumilivu wa ndoa Za kiafrika siwezi kabisa ningekufa na stroke au depression.kila mtu ana choice yake ila siwezi ubumilivu kabisaaaaaa.wanangu wanajua ata kelele sipendi .I like clea n neat organized house .sipendi vurugu wala wageni wasio na Faida.Ndio maana sijaolewa na mwafrika maana ningeshaachika kitambo.I like happiness and peace all the time na mume wangu anajua hayo .Ugomvi sipendi kabisa nipo tayari nivunge ndoa.my health is very important kwa wanangu stress Za ndugu wa mume hazinihusu .Kila mtu Ana choice yake na akili yake .Nikiamka asubuhi nawaza wanangu sina Muda na watoto wa watu .100 percent wanangu wanapata wanachotaka hapa duniani .

hapa ndipo ninapokubali kutofautiana na wewe.mimi nikipenda maisha ya ndugu wengi kuwepo ndani kwangu, tena wajinafasi hata kwa mandondo na samvu, wewe unapenda upweke wa kuwa na wanao mle bata na mabawa ya kuku.

Jana usiku nilikuwa nimelala .nikaamka nilimwona mume wangu ananiangalia kwa furaha na tabasamu nikamwuliza baby what's wrong akaniambia natalia " I love you ". My husband wants me to be happy all the time .Mama ake Mzazi alimwuliza 2013 any thing new akamwambia mama ake " 2013 is the year for natalie I want to make sure she is happy and loved by me only me " . That is love.Wanangu wanajua jinsi baba Yao anavyonipenda .I feel happy secured na nina nyodo kwa sababu napendwa .Inanisikitisha sana ukuona watu
Wanakaa Kwenye ndoa Za kelele na shida.Love does not hurt .God bless Dr Rutherford uwii yaani ninalia saa hizi jinsi ninavyojiona sipo na mwafrika .

kwani wafikiri hawa waume zetu wa kiafrika huwa hawatuambii haya?? ingawa wao hizo 3 mil hawana ila kidogo wakipatacho hutupatia raha nacho. tunapendwa na kaudekezwa tunabambelezwa na kukumbatiwa 24/7.

waume zetu wanatamanai hata watumilikishe meli za kigiriki na majaumba ya kifaransa ila tu uwezo wao ni mdogo na tumeridhika nao manake upendo kwetu ni subject ya humanity and not property.

Any thread to bring up the fact that you're ( allegedly) married to a white man and to insult Africans. As always The Great Thinkers disagree with your shallow self. Typical Natalia thread. Enjoy those chicken wings. Angalia usinenepeane hovyo mzungu akakukimbia.

hahahaha! si unajua hata mama yake ana mbwe mbwe hizi?? mpaka alipopigwa chini wiuzarani chezeya mutoto ya fisadi???
 
suala la extended family ni la kawaida kwa jamii za kiafrika ila wadada wa dot com siku hizi wana roho ya uchoyo na ubinafsi sana ndo maana wanaona tabu kukaa na ndugu hawaoni tabu hata kumuuliza mgeni UNAONDOKA LINI . kazi kweli
 
Kaka uniite any names ila kwelikweli unaweza hudumia watoto wa kaka ako na wakwako wamerudishwa shule hawana Ada .kaka ake mume wake anakazi,.wanaishi kwa Mshahara wa million 3 tu .nyumba million mbili,shule secondary watoto wawili bei .Wazazi wake rafiki yangu ndio wanawapa pesa ya kula .na mama mkwe wake ana watoto 6 lakini anataka first born.wazazi wake rafiki yangu wameshamwambia Umeoa au umeolewa.hiyo nyumba wanayokaa wazazi wa mwanamke wanailipia.

leo acha nikuunge mkono......

Kama wazazi wa hao wajukuu wanapata mshahara sh mil 3 kama unavyosema..........
Kama mama mkwe ana kipato........

Sina shida na mama mkwe aje kukaa hapo mradi wasigombee nafasi tu...mama mkwe akataka kuleta sheria zake....meadi aishi kwa sheria kanuni na taratibu alizozikuta its ok...

Na watoto awapeleke kwa baba yao....kuwa 1st born haina maana ubebe majukumu ya watu wazima wenye uwezo na wanajitegemea...wao wakito*beshe wewe ulee watoto wao la hasha...unless hawana uwezo kabisa na utachukua wale au yule utakayeweza kumlea......

Ila hata mama mkwe nae hana busara....kama anaona hata kodi ya nyumba wazazi wa mwanamke wanalipa.....angekuwa na staha asingeenda hapo....... Kama mzazi nawe unapaswa kufikiria situation ya mwanae...ila haina maana mtoto asipeleke matunzo kwa mama mtu after all mshahara akiupangilia vyema unatosha kabisa kumtunza mama mkwe...

Anyway mshahara wa mke unatumika kufanyia nini? Shopping????
 
Naomba nisichangie hii hoja maana kwangu mimi mdingi ashavuta, amebaki mama, Sasa huyu kwangu is a NO GO AREA
 
Kaka uniite any names ila kwelikweli unaweza hudumia watoto wa kaka ako na wakwako wamerudishwa shule hawana Ada .kaka ake mume wake anakazi,.wanaishi kwa Mshahara wa million 3 tu .nyumba million mbili,shule secondary watoto wawili bei .Wazazi wake rafiki yangu ndio wanawapa pesa ya kula .na mama mkwe wake ana watoto 6 lakini anataka first born.wazazi wake rafiki yangu wameshamwambia Umeoa au umeolewa.hiyo nyumba wanayokaa wazazi wa mwanamke wanailipia.

Mshahara mil3 then wanakaa nyumba ya mil2? Hiyo ni kwa mwaka au kwa mwezi? Mbona haiendani na maisha ya kitanzania? Kama ni kwa mwezi, nyumba ya laki tatu au nne inatosha sana. Lakini naona kwenye habari yako kuna fix nyingi na unaongelea mambo ambayo si ya mtanzania halisi. Watoto wa kaka yake wanatoka wapi wakati yeye ndo first born?? Ila we dada una roho mbaya hata shetani anaweza kushangaa.
 
Back
Top Bottom