- Thread starter
- #41
duuh dada angu,maneno yako yanasema kuwa we ni rimbukeni na huna maadili
na bila shaka hujaolewa
Love does not hurt .
duuh dada angu,maneno yako yanasema kuwa we ni rimbukeni na huna maadili
na bila shaka hujaolewa
Mume wake ndio alimjibu kuwa yeye ni first bornKwa hiyo unajaribu kusema first borns hawatakiwi kupata wenza??maana wasipopata wenza nao wataenda kuishi kwa wadogo zao waliooa na kuongeza idadi ya wategemezi..uache kukimbia matatizo,tafuta namna ya kupambana nayo..halafu mfano wako mmoja hauwezi ku-generalize whole situation.
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
Kaka sikiliza wewe Umeoa mwezi ushamleta mama ako na 3 wajikuu.kabla ya watu hao kuhamia nyumba tabu kulipa kodi .huwezi lipa kodi bila kuwaza mafuta ya gari tabu .haya mizigo hiyo
Nilikuwa nadhani una busara kumbe sifuri tu.........
Kaka uniite any names ila kwelikweli unaweza hudumia watoto wa kaka ako na wakwako wamerudishwa shule hawana Ada .kaka ake mume wake anakazi,.wanaishi kwa Mshahara wa million 3 tu .nyumba million mbili,shule secondary watoto wawili bei .Wazazi wake rafiki yangu ndio wanawapa pesa ya kula .na mama mkwe wake ana watoto 6 lakini anataka first born.wazazi wake rafiki yangu wameshamwambia Umeoa au umeolewa.hiyo nyumba wanayokaa wazazi wa mwanamke wanailipia.
Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
Kabla hawajaoana angemmwambia .sasa inabidi amuache huyo mume maana umaskini ndio
Unapoanza
Mmezoea ndoa Za mateso .Africa ndoa ni mateso na uvumilivu.Najiona nina bahati sana nina mume ananipenda na ananiweka no moja .Ndio maana nimeolewa na mzungu mateso na mapenzi siwezi .sio Siri uvumilivu wa ndoa Za kiafrika siwezi kabisa ningekufa na stroke au depression.kila mtu ana choice yake ila siwezi ubumilivu kabisaaaaaa.wanangu wanajua ata kelele sipendi .I like clea n neat organized house .sipendi vurugu wala wageni wasio na Faida.Ndio maana sijaolewa na mwafrika maana ningeshaachika kitambo.I like happiness and peace all the time na mume wangu anajua hayo .Ugomvi sipendi kabisa nipo tayari nivunge ndoa.my health is very important kwa wanangu stress Za ndugu wa mume hazinihusu .Kila mtu Ana choice yake na akili yake .Nikiamka asubuhi nawaza wanangu sina Muda na watoto wa watu .100 percent wanangu wanapata wanachotaka hapa duniani .
that is totally untrueNina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki
Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye ni first born .Wewe ungefanyaje ?
We ni mgonjwa sana,kuna maisha una yatamani sana,ila unayapata kwa kuyaandika mtandaoni.
Unatamani sana kuikamata milioni,ila una farijika kwa kuiandika mtandaoni maana huwezi ikamata.
Watu kama nyie hamstahili hata kuwa JF
JHuyu ni mpumbavu,ana tafuta wapumbavu wenzake wenye
akili kama zake.
kama huwapendi wazazi wako ni wewe peke yako,wenzako wana
kumbuka amriya Mungu isemayo "Honour thy father and mother
that thy days be long in the land which the Lord gives thee."
Thank you abuserHuyu ni mpumbavu,ana tafuta wapumbavu wenzake wenye
akili kama zake.
kama huwapendi wazazi wako ni wewe peke yako,wenzako wana
kumbuka amriya Mungu isemayo "Honour thy father and mother
that thy days be long in the land which the Lord gives thee."
Thank you abuser
Atupe vi2 vyao Nje!!!!!!!! We Natalia mama yako akitupiwa Vitu nje utajisikiaje!!!!Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma
hahahaaaaaaaaaaaaa, you are kidding, right??Nimemwambia atupe vitu vyao nje .mume mwenyewe mshahara million 2 shillings jamani .extended family Noma