#COVID19 Kudhibiti maambukizi ya COVID-19: Wasafiri kutoka Tanzania wapigwa marufuku kuingia Uingereza

Swali la kujiuliza ni je wenye total lockdown with "barakoa" every second mbona bado hawajamaliza tatizo tunakaribia mwaka sasa? Kuna nchi zimeua watu wao kwa vipigo vikali na kuwafungia ndani na njaa, wamechukua misaada na mikopo ya covid lakini ndiyo kwanza maambukizi yako juu.

Ninadhani kila mmoja apambane kivyake. Matokeo ndiyo yatasema. Alianza kusema TAL akiwa kwa wakubwa wake na akaja na barakoa mia nane. Alipofika hakuvaa hadi kura zilipomkataa akaondoka na barakoa kwenda kuvalia alikonunulia sijui kupewa.
 
Wave ya kwanza ya COVID dunia nzima iliuwa kwenye tafrani, hata Ulaya supermarket zilifunguliwa kwa masaa na foleni ilikua ndefu. Baada ya utafiti na kuona madhara ya uchumi. Wave ya pili imekuwa na ahueni.
Hizo ndio hoja tulizokuwa tunawaleza toka mwanzo, juu ya madhara kiuchumi pamoja na utafiti wa kimantiki kwamba lockdown haina matokea ya kudumu

Suluhisho ni chanjo na hadi sasa hamna chanjo ya uhakika. Usidhani una akili nyingi kuliko wengine. Ningependa nimalizie tu, sikubaliani na Serikali kudai hamna Korona ni bora waseme ipo lakini hamna lock down.
Umeandika vema ila kipengele cha wenye akili sijakuelewa una maana gani, nani kasema ana akili kuliko wengine?
 
Sasa mnamlaumu Jiwe kwa sababu ya South Africa covid variant? Ingekuwa Tanzania covid variant ningeelewa mantiki ya hiyo ban. Vinginevyo ni upuuzi na kuchanganyikiwa kwa hao wazungu wa UK.

Ok tumepigwa ban kuingia UK....kwa nchi na mtu anayejielewa hiyo ban should not be our problem, it is UK problem. UK ni paradiso?
 
'Mitano tena' , kiaina inawekewa vigingi.

Marekani walianza kutuma salamu, hawa waliojitoa Umoja wa Ulaya wamekuja kivingine sasa wale wengi waliobaki EU Umoja wa Ulaya kama nchi wanachama wa Jumuiya hii ya ulaya wao sijui watakuja kwa staili gani kama kundi zima.
 
Swali la kujiuliza ni je wenye total lockdown with "barakoa" every second mbona bado hawajamaliza tatizo tunakaribia mwaka sasa? Kuna nchi zimeua watu wao kwa vipigo vikali na kuwafungia ndani na njaa, wamechukua misaada na mikopo ya covid lakini ndiyo kwanza maambukizi yako juu.

Ninadhani kila mmoja apambane kivyake. Matokeo ndiyo yatasema. Alianza kusema TAL akiwa kwa wakubwa wake na akaja na barakoa mia nane. Alipofika hakuvaa hadi kura zilipomkataa akaondoka na barakoa kwenda kuvalia alikonunulia sijui kupewa.

Ni mawazo duni sana kuchanganya ugonjwa huu hatari na siasa.

Pili kwa kutokuwa na takwimu zozote rasmi kuhusiana na ugonjwa huu, ujasiri wa kujilinganisha na yeyote kiasi cha kuhitimisha kuwa na kila mtu ajipambanie kivyake tu, unatoka wapi?

Ni wazi kuwa tumekosa viongozi wa maana wa kutuongoza kupita salama kwenye gonjwa hili. Kwa bahati mbaya hali itaendelea kuwa hivi hadi pale gonjwa hili litakapopiga sawa sawa na hasa kama likipiga pale pale penyewe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hapo ufipani mnahangaika, hamulali vijana wawatuu. Muko na nyimbo zenu za mwamba tuvushee. Kumbukeni huko ugaibuni sio peponi.
 
Corona Ni ugonjwa wa propaganda. Acheni watu waishi.
Ni mawazo duni sana kuchanganya ugonjwa huu hatari na siasa.

Pili kwa kutokuwa na takwimu zozote rasmi kuhusiana na ugonjwa huu, ujasiri wa kujilinganisha na yeyote kiasi cha kuhitimisha kuwa na kila mtu ajipambanie kivyake tu, unatoka wapi?

Ni wazi kuwa tumekosa viongozi wa maana wa kutuongoza kupita salama kwenye gonjwa hili. Kwa bahati mbaya hali itaendelea kuwa hivi hadi pale gonjwa hili litakapopiga sawa sawa na hasa kama likipiga pale pale penyewe.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
This is stupid sana.
Hii ndo sababu, hata siku moja, shangaa mapungufu ya nchi yangu, siwezi ku-support mataifa mageni kuingilia maswala ya ndani ya nchi za Africa.

Mbona kwao wanakufa wakiangahika na UK variant. Wamefanya lockdown na kila aina intervention na wameshindwa.

Ja AFRICA tumewatenga? NO!
AFRICA tumezuia watu wao? NO!
Tumewauliza maswali kuhusu sera zao za afya? NO!

Ila ndungu zetu hawaishiwi kutuwekea vizuizi
Mara wanataka lockdown
Mara wanataka Data

Kwani mkimpima mtu kuna Tatizo gani?!
Kwani hao residents wana resistance ya virus?!!

Hizi ndo siasa za mabeberu, uonevu na dhalau
 
Tatizo la warundi huwa mnajifanya wajanja sana. Nimekupa mfano halisi ya kwangu lakini unabisha, sasa usaidiweje?

Hivi hata Kiswahili unakijua kweli wewe?

"Eti mfano wako halisi." Huo kaa nao!

Eti "unasaidia" - ufinyu mkubwa wa akili. Muendelezo ule ule wa kujifanya donor kantre huku maskini hohe hahe.

Elimu yako tafadhali.
 
Corona Ni ugonjwa wa propaganda.acheni watu waishi.
Kwani takwimu akipata raia wa kawaida ananifaika na nini?

2. Hao wenzetu wanarusha takwimu kila siku madhala yake yanaonekana:
Kumekuwa na panick buying, watu wakidundikana madukani kununua vitu kwa uoga.

Pia watu wameanza kukimbilia vijijini kwa kuogopa uginjwa mjini: hili ni tatizo kwani vijiji ndo walipo wazee ambao ni wepesi kuuliwa na hili gonjwa.

Lockdown haitibu gonjwa bali inapunguza speed ya kusambaa: Ila hasa hasa kwa Afrika ambapo watu hawawezi kujimudu lockdown (angalia Kenya)
 
Back
Top Bottom