#COVID19 Kudhibiti maambukizi ya COVID-19: Wasafiri kutoka Tanzania wapigwa marufuku kuingia Uingereza

Acha kutetea upumbavu

Panic,umeijulia wapi wakati hujaweka data hadharani?...
Kajifungie ww na familia yako ulale kitandani na mkeo huku umevaa barakoa usipate covid. We unadhani tunapenda raia wenzetu wafe?au tunapenda hii hali inayoendelea kwenye nchi yetu
 
Wewe na mimi tunajua uhalisia wa corona kuliko mjinga asiyependa kuambiwa ukweli.
Ukifuatilia comments za humu kila mmoja anaongea lake mwengine atakwambia corona ipo Tz ila sio kali sana na mwengine anakwambia ipo na inauwa sana,sasa hata haieleweki ni nani yupo sahihi,sasa hapo uhalisia tutaujulia vp?
 
Raisi ametoa Challenge kwa wataalam kwa kitanzania tutengeneze dawa zetu za kupambana na magonjwa kama huo.

Hiyo ndo tabia ya kutaka kufanikiwa yaani kutafuta suluhisho la matatizo kwenye mazingira uliyopo.
U.K. officials have suggested paying people to stay home if they test positive for coronavirus, amid concerns too many are failing to get tested or comply with the lockdown rules.
 
U.K. officials have suggested paying people to stay home if they test positive for coronavirus, amid concerns too many are failing to get tested or comply with the lockdown rules.
I know about UK, I lived there sometime ago.

UK government had introduced furlough scheme from the first lockdown in which citizens are paid 80% of their wages and 20% is subsidized by the government.

This scheme is ending in April.

Then those who have low income receive benefit now called universal credit also receiving extra money especially if they are out of work.

The suggestions that people are paid in order to get vaccinated is so vague.
 
Naona sisi serikali ya Wabongo hatujakimbilia kupiga marufuku Waingereza kama wao walivyotupiga marufuku..

Baada ya kukosolewa kwamba lengo lake la asili halikuwa na nguvu ya kutosha , Rais wa Marekani Joe Biden amesema anatarajia Marekanu hivi karibuni itaweza kuchanja watu milioni 1.5 kwa siku.

Alikuwa ametangaza wiki iliyopita kwamba chanjo milioni 1 zitatolewa kila siku katika siku 100 za kwanza za urais wake.

Lakini vyombo vingine vya habari vilibainisha kuwa Marekani tayari ilikuwa karibu kufikia lengo hilo chini ya utawala wa Trump.

Bwana Biden ameweka upya marufuku ya enzi ya Trump kuhusu marufuku ya kusafiri kutokana na janga la corona siku ya Jumatatu, akiiongeza Afrika Kusini.

Utawala wa Biden Jumatatu uliweka upya marufuku ya kusafiri ya enzi ya Trump kwa wageni ambao sio Wamarekani kutoka Brazil na na nchi nyingi za Ulaya , pamoja na Uingereza na Ireland.

White House pia imeweka marufuku mpya kwa Afrika Kusini kutokana na uwepo wa virusi aina mpya nchini humo Rais wa zamani Donald Trump aliamuru marufuku kuisha tarehe 26 mwezi Januari.

Masharti mapya ya kusafiri yamekuja wakati Minnesota ikirekodi maambukizi ya mtu mmoja ya kirusi kipya cha Brazil ambaye hivi karibuni alisafiri kwenda nchi hiyo.
 
Serikali ya Uingereza imepiga marufuku abiria kutoka Tanzania na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kuzuia maambukizi ya aina mpya ya virusi vya corona.

"Ili kusaidia kuzuia kuenea kwa aina ya COVID-19 iliyogundulika Afrika Kusini, tunapiga marufuku abiria wote wanaoingia kutoka Tanzania na DRC kuanzia saa 10 alfajiri kesho (Ijumaa)," ameandika Bw Grant Shapps, waziri wa uchukuzi nchini Uingereza kupitia mtandao wake wa Twitter Alhamisi usiku.
Ruka Twitter ujumbe, 1
To help to stop the spread of the COVID-19 variant identified in South Africa, we are banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from 4am tomorrow.
 
Sky Eclat ni kweli tahadhari ni bora kuliko tiba.

Ila mimi nikiwaza hawa watoto wetu wadogo mashuleni huko, naendelea kumtanguliza Mungu kwakweli

Sisi wenyewe hatuwezi
Hasa walivyo na upendo wa kupeana ice cream kwa na ww nyonya kidogo, na mimi naomba...
 
Itaisha tu madam machina wamegundua kuwa kirusi kinapitia tundu ya haja kubwa...
 
Kuna taarifa nilizisikia kwa mtu lakini kwa bahati mbaya sikuzielewa zinamanisha nini hasa.!

Eti kwamba raia wa Tanzania tumepigwa marufuku kuingia uingereza kabisa au ukiingia uingereza lazima uende quarantine kwanza...naombeni kunifahamisha kwa yeyote alie na uhakika na habari hiyo
 
Back
Top Bottom