Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,742
- 12,842
Hizi akili ndio zinatawala nchi hii kwa sasaSisi ni Taifa huru..wasitupangie
Hizi akili ndio zinatawala nchi hii kwa sasaSisi ni Taifa huru..wasitupangie
Hizo ndio hoja tulizokuwa tunawaleza toka mwanzo, juu ya madhara kiuchumi pamoja na utafiti wa kimantiki kwamba lockdown haina matokea ya kudumuWave ya kwanza ya COVID dunia nzima iliuwa kwenye tafrani, hata Ulaya supermarket zilifunguliwa kwa masaa na foleni ilikua ndefu. Baada ya utafiti na kuona madhara ya uchumi. Wave ya pili imekuwa na ahueni.
Umeandika vema ila kipengele cha wenye akili sijakuelewa una maana gani, nani kasema ana akili kuliko wengine?Suluhisho ni chanjo na hadi sasa hamna chanjo ya uhakika. Usidhani una akili nyingi kuliko wengine. Ningependa nimalizie tu, sikubaliani na Serikali kudai hamna Korona ni bora waseme ipo lakini hamna lock down.
Naona uanze wewe kabwera, unayeishi kwa kusaidiwa kuwaza.Imebaki tu kwa jiwe kuugua na kufa ndio utakuwa mwisho wa kudharau ugonjwa huu.
This is childishWe need a unified world to tackle Corona. If necessary the world "superpowers" should get rid of stupid ones making a barrier to these efforts!
Swali la kujiuliza ni je wenye total lockdown with "barakoa" every second mbona bado hawajamaliza tatizo tunakaribia mwaka sasa? Kuna nchi zimeua watu wao kwa vipigo vikali na kuwafungia ndani na njaa, wamechukua misaada na mikopo ya covid lakini ndiyo kwanza maambukizi yako juu.
Ninadhani kila mmoja apambane kivyake. Matokeo ndiyo yatasema. Alianza kusema TAL akiwa kwa wakubwa wake na akaja na barakoa mia nane. Alipofika hakuvaa hadi kura zilipomkataa akaondoka na barakoa kwenda kuvalia alikonunulia sijui kupewa.
Ni mawazo duni sana kuchanganya ugonjwa huu hatari na siasa.
Pili kwa kutokuwa na takwimu zozote rasmi kuhusiana na ugonjwa huu, ujasiri wa kujilinganisha na yeyote kiasi cha kuhitimisha kuwa na kila mtu ajipambanie kivyake tu, unatoka wapi?
Ni wazi kuwa tumekosa viongozi wa maana wa kutuongoza kupita salama kwenye gonjwa hili. Kwa bahati mbaya hali itaendelea kuwa hivi hadi pale gonjwa hili litakapopiga sawa sawa na hasa kama likipiga pale pale penyewe.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Yaani hichi kiimgereza cha kukariri ni shida. Umeona wapi wameandika kuwa ni Watanzania ndio hawataruhusiwa?Naona UK imeona WaTz wamejaa Corona. Hii ni kuanzia Ijumaa ya kesho ya tarehe 22 January 2021. Kama mtu ulikuwa una viza na tiketi mkononi, imekula kwako.
Nguvu inayotumika kujengea watu hofu kuhusu corona ni kubwa mno kuhusu ukweli wa corona yenyeweCorona Ni ugonjwa wa propaganda.acheni watu waishi.
Tatizo la warundi huwa mnajifanya wajanja sana. Nimekupa mfano halisi ya kwangu lakini unabisha, sasa usaidiweje?
Hizo Ni choko choko.
HAKUNA mtu anayependa kutuona watanzania tunavyoishi kipindi hichi kigumu Cha Corona wakati wao wanapigika kila siku.
Kwani takwimu akipata raia wa kawaida ananifaika na nini?Corona Ni ugonjwa wa propaganda.acheni watu waishi.