#COVID19 Kudhibiti maambukizi ya COVID-19: Wasafiri kutoka Tanzania wapigwa marufuku kuingia Uingereza

We need a unified world to tackle Corona. If necessary the world "superpowers" should get rid of stupid ones making a barrier to these efforts!
Suluhisho ni chanjo na hadi sasa hamna chanjo ya uhakika. Usidhani una akili nyingi kuliko wengine. Ningependa nimalizie tu, sikubaliani na Serikali kudai hamna Korona ni bora waseme ipo lakini hamna lock down.
 
Kama kawaida yako upuuzi umekujaa. Rudi kwenu Burundi utuachie Tanzania yetu. Nyie mirundi mnatuletea migongano mingi mfano Zitto, Sheikh Ponda etc
 
Kama kawaida yako upuuzi umekujaa. Rudi kwenu Burundi utuachie Tanzania yetu. Nyie mirundi mnatuletea migongano mingi mfano Zitto, sheikh ponda etc

Kuna hata haja kukujibu? Wenye macho huambiwa tazama?

Eti Aga Khan wana tiba, hadithi za vijiweni kaa nazo tu jombi.

Hatuzihitaji!
 
Sky Eclat ni kweli tahadhari ni bora kuliko tiba.

Ila mimi nikiwaza hawa watoto wetu wadogo mashuleni huko, naendelea kumtanguliza Mungu kwakweli

Sisi wenyewe hatuwezi
Mungu ni wa ajabu, immune ya watoto wa shule Ina uwezo mkubwa wa kupambana na COVID. Wasiwasi mkubwa ni kwa wenye kisukari, wanene na wazee wa 70+
 
Si lazima kuwa na total lockdown lakini ni muhimu kuzuia mikusanyimo ya watu, kama inabidi wakusanyike wawe na barakoa pia kunawa mikono kila mara.


Wewe hapo ulipo unayo barakoa, unanawa majitiririka na sabuni??-- tuanzie hapo kwanza, sababu hakuna mtu aliyekatazwa kujikinga yeye mwenyewe.
 
Na sisi kama tuna ubavu tupige marufuku raia wa Uingereza kuingia humu nchini wakati tunategemea watalii kupata fedha za kigeni.

Kuna nchi zingine zitaiga hatua hii ya UK na mwisho wa siku tutajikuta tumetengwa.

Jiwe kavurunda sana kwenye issue ya Covid.
Sio Tanzania pekee ndio imewekwa kwenye kizuizi hichi, nchi zote za Kusini mwa Africa kwa sasa hawawezi kwenda UK kama hawana kibali maalum.



Hata Southern America yote nao hawawezi kwenda UK kutokana na mdudu wa Brazil.
 
Naona mnaaza kulegeza msimamo, si mlikuwa malilia lockdown nyie..
Wave ya kwanza ya COVID dunia nzima iliuwa kwenye tafrani, hata Ulaya supermarket zilifunguliwa kwa masaa na foleni ilikua ndefu. Baada ya utafiti na kuona madhara ya uchumi. Wave ya pili imekuwa na ahueni.
 
Yule balozi wao aliyeambiwa na jiwe awaonye wale wengine badala yake naye kawa mshirika wa kutufungia mlango?

Kama shere dunia kweli imetupata.

Twachezwa shere kila upande.
Mbona na yeye havai barakoa. Tupigeni nyungu
 
Back
Top Bottom