Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Mnaanzishaga mada za kutuponda tunatulia tu kusikilizia maumivu maana mengine ni ya ukweli yanachoma kama pasi. Leo hili ni lenu. Na mjifunze kupitia huu uzi.
Mimi nilijifunza toka Jogoo halijachwa..

Kuna mambo hayahitaji ujuaji na ubishi ubishi usio wa lazima.

Kiburi na kupuuzana puuzana hakuna sababu, hakuna aliye malaika tukikosena tusameheane kwa yenye kustahili msamaha.

Tukizidisha makwazo "watagongwa tu" kwani kwa vigezo hivyo hivyo vilivyonivutia Mimi na mwingine vitamvutia ataombwa na kwa sababu ya stress wala hatagoma. Hakuna mshindi katika haya mambo anaweza kuliwa na wala usigundue kabisa.

Mimi kwa Kujiamini Kabisa Nimejifunza na kila uchwao najifunza na kubadilika ili kuboresha mahusiano na mke wangu. Once nikikengeuka sitajisahau, hakuna La maana sana huko michepukoni zaidi ni kujiongezea cost za maisha tu.
 
ya wifi yako nimeichungulia, alikuwa anaandika comment ghafla wamemuita mihogo imeletwa sokoni Mwambene, kwa kupenda mihogo kakimbia bila kulog out.
Haha kumbe ni mnyaki mwenzangu? Basi ana mawazo amazing kama yetu teh
 
unataka kuanza kutafuta huruma. Muwe mnajitahidi kuboresha mamboz kitandani hatutachepuka. Wanawake mnatufanya nyumba tunaiona jehanamu kama sio watoto mngejikuta mmeshapewa cheo cha usingle mama................
Kuna wanaozungusha viuno utafikiri feni mbovu na bado waume zao wanachepuka. Ulichosema hapo juu sio formula.....
 
Naona bado mnaendelea kudanganyana. Chepuka uchomwe moto teh teh teh
 
Mimi nilijifunza toka Jogoo halijachwa..

Kuna mambo hayahitaji ujuaji na ubishi ubishi usio wa lazima.

Kiburi na kupuuzana puuzana hakuna sababu, hakuna aliye malaika tukikosena tusameheane kwa yenye kustahili msamaha.

Tukizidisha makwazo "watagongwa tu" kwani kwa vigezo hivyo hivyo vilivyonivutia Mimi na mwingine vitamvutia ataombwa na kwa sababu ya stress wala hatagoma. Hakuna mshindi katika haya mambo anaweza kuliwa na wala usigundue kabisa.

Mimi kwa Kujiamini Kabisa Nimejifunza na kila uchwao najifunza na kubadilika ili kuboresha mahusiano na mke wangu. Once nikikengeuka sitajisahau, hakuna La maana sana huko michepukoni zaidi ni kujiongezea cost za maisha tu.
Vizuri mkuu. Na ninakuhakikishia una mke mzuri na hachepuki kwasababu upo tayari kujifunza na kukiri makosa. Big up! Uwe mfano kwa wengine!
 
Ahsante kwa mleta mada hii(kisia) maana nimejifunza mengi sana juu ya mke. Mwanzo wa mada kisia amesemwa sana kama ametenda kosa kubwa sana (ni kweli) lakini ujio wa hawa wadada Ms. Lincoln, demi, Heaven Sent, miss chagga, Nalendwa, Evelyn Salt, ringson, espy, LadyRed, Msweet, Go mi num, firstLady 1,nao,...hakika,wanaume tuna la kujifunza na lazima tukubali kuwa sisi ni wajinga kiasi fulani. Hakuna haja ya kuombewa maana hicho ndio kilio cha wanawake wengi walio kwenye ndoa, tubadilike kwa hiari. Naona aibu hata kumuangalia wife tangu jana (kaa nami Bwana Yesu peke yangu siwezi). Mkuu Ngoda 95 na wengine tubadilike, tuwajali hawa viumbe. AMEN
AMEN KUBWA UBARIKIWE
 
Naona ushetani hapa. Sorry namaanisha ushetani. This is purely msg from devel. Kuna watu watanielewa wangine watakwama.
 
Jana nilikuwa kwenye msiba na alokufa ni mwanaume!!
Kifo hakina mwenyewe ndugu.
Hatushindani bali tunapata raha tu.
Ndio muache tabia hatarishi za kusababisha mauti
 
nimehisi kama utakuwa umeuliza kwa jazba sana mkuu. Hii mada ni ya wenzetu wa upande wa pili, acha wajimwayemwaye. Kiumbe cha kiume hatuna ujanja na mada hii
Hata hivyo he was her first, si kasema jamani.
 
Uje uongee hivyohivyo mbele ya watu wanaojielewa,utaona reaction yake,na utaongeza hadi idadi ya wanaume watakaokufuata waje wale mzigo kisirisiri kwasababu ni aibu kua na mwanamke mzinzi badala yakua msaada kwa mumewe.
Kwahiyo mkuu wewe kumbe hujitambui!! Maana si ndio nishaongea mbele yako!! Au hizi msg we unazisoma kimgongo mgongo?
 
kama ulikuwa unajua hupati kitu mbona kipindi cha uchumba ulitumia nguvu kubwa sana kusaka ndoa mpaka leo sugu za magoti hazijaisha. ulikuwa unasali mdogo wangu ata Musa wa biblia ulimpita kwa kusugua goti.

kama hupati kitu dai talaka uone nywele zitakavyo nyonyoka.
Kumbe ndio maana!! Si mnaona akili zenu sasa!! Kwani ulimkuta kanyonyoka nywele hadi sasa hivi zinyonyoke?
 
Back
Top Bottom