Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Kwahiyo watu wanaoa ili tu wapate wakuwafunika shuka waumwapo?

Kwani nduguyo wa damu hawezi kufanya hivyo?

Wewe ulioa au kuolewa kwaajili hiyo?
Kuoa au kuto oa ni maamuzi kuwa gume gume ni wewe lakini wenzio wanafurahia maisha ya ndoa kama kawa wewe subilia Mungu akushushie malaika utaoa baba
 
Hujajibu swali nililokuuliza...badala yake umetoa maelezo yasiyohitajika.
 
Kuoa au kuto oa ni maamuzi kuwa gume gume ni wewe lakini wenzio wanafurahia maisha ya ndoa kama kawa wewe subilia Mungu akushushie malaika utaoa baba
Majibu uliyotoa ni ya mtu aliyekata tamaa na yawezekana kama we ni me unatunza watoto ambao sio wako na majirani wanakushangaa ila wewe unachukulia easy tu na unaamini hakuna mwanamke mwaminifu kwahiyo bora kua na huyo tu licha ya mapungufu yake,pole sana.
 
Acha hizo mie natunza mme na watoto na mmoja wa mke bora babaaaa
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Kazi ipo!!
 
Jamani huu uzi umefufuliwa tena? Daa😂😂😂 watu walikulaga ban zakutosha Enzi yake, 😃😃😃 ulikuwa Uzi wa.moto balaa?

Vipi dada mchepukaji unaendeleaje na huyo baniani wako wakukubania inabaki na upwiru mwishowe ukachepuka !
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Funguo inayofungua kila kufuli yapaswa kutunzwa.

Lakini kufuli langu likifunguliwa na funguo ya jirani hakuna ulinzi tena lafaa kutupwa
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Nasikiaga mke wa mtu mtamu sana inbox me please
 
Back
Top Bottom