Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,571
Huna hoja unaingiza visubtopic visivyoeleweka.kwa huo muonekana utatoka na wazee anakula kimoja BP inapanda kazee kakifia kifuani unakuja kutuletea matatizo.
option ya pili ni serengeti boy. viserengeti boy sikuizi havina maadili vitaishia kukufumua marinda buree.
option ya tatu kaa nyumbani utulie, uzae na kulea watoto
Ujumbe ni huu: Ukigongwa lazima ugongewe!
.
.
Nimemalizana na wewe!