Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,349
- 176,148
Not all men where born to be respected either.Not all women were born to be respected mothers,some were born to serve sexual addicted men wherever they are.
Not all men where born to be respected either.Not all women were born to be respected mothers,some were born to serve sexual addicted men wherever they are.
Siku hiz wanaowana watoe nuksii hujui eeeehHata mimi nashangaa kwanini watu wanaoana!
Labda kama ni wewe na ibilisi mliwaumba lakini Mungu hajaumba mtu kwa kusudi la kuburudisha mtu kwa uzinifu.Not all women were born to be respected mothers,some were born to serve sexual addicted men wherever they are.
Haha James deliciousWatachepuka na kina KAOGE MVUTO
sasa tunachobishana hapa haswa ni kipi?Inawezekana ndio au sio. Chagua jibu sahihi.
Sasa jf inawatu wangapi utegemee wote wawe watakatifu? Humu kuna kila aina ya watu, malaya wa kike na wa kiume, mashoga wa kike na wa kiume, wachawi, wachungaji na mashehe, watoto vijana na wazee. Hakuna sampuli isiyokosekana!
Mimi ni bonge yangu utoto wangu sijawahi kukonda! Naupenda ubonge wangu kupita maelezo. Huo unga robo kilo niliokuwa napata kwa wazazi wangu ndio huo huo umenipa afya! Hata sasa nikirudi naridhika na maisha yanaenda.
.
.
Yaani wewe kama mkeo kafata chakula kwako ujue wote wawili mna matatizo.
.
.
Kodi tu mama analipa hiyo nyama unainunua na nini labda ukate nyama yakobaada ya ndoto yako kuolewa kutimia na nyumbani mlikuwa mnakula kwa kale kamsemo cheza mbali ungarobo
umekuja kwa mume nyama kwa week mara tatu umekula bila mpangilio umekuwa bonge kiuno ata hakikatiki tena.
ata kama ni wewe ungekuwa mwanaume ungechepuka tuu.
all men are respected, even the poorest man on earth is respected.. ukizaliwa mwanaume haijalishi una hela au huna wewe ni mfalmeNot all men where born to be respected either.

Naona kama wanazidisha nuksiSiku hiz wanaowana watoe nuksii hujui eeeeh
Uzinzi sio mzuri!Inauma kwa kweli lkn sisapot uzinzi kwa pande zote 2
Hatubishani mkuu. Umeuliza kama mimi ni malaya na nimejuaje kama wapo humu. Ndo hivyo nimekujibusasa tunachobishana hapa haswa ni kipi?
Kodi tu mama analipa hiyo nyama unainunua na nini labda ukate nyama yako
Chepukeni tu ndugu tumeshazoa na kukubali. Mauno hayaji hivi hivi acheni kula chips na mpunguze vitambi. Mnachosha hata hamu ya kuzungusha kiuno sina bora niwe gogo nisiumize kiuno changu bure!unataka kuanza kutafuta huruma.
muwe mnajitahidi kuboresha mamboz kitandani hatutachepuka.
wanawake mnatufanya nyumba tunaiona jehanamu kama sio watoto mngejikuta mmeshapewa cheo cha usingle mama................
Chepukeni tu ndugu tumeshazoe na kukubali. Mauno hayaji hivi hivi acheni kula chips na mpunguze vitambi. Mnachosha hata hamu ya kuzungusha kiuno sina bora niwe gogo nisiumize kiuno changu bure!
.
.
Nitakizungusha kwa atayenipa nyege.
Hongera baba mwenye nyumbaacha fujo wewe unafikiri kila mtu anakaa kwenye nyumba za kupanga?????????
Mkuu naona leo ni siku yenu ya kutoa la rohoni. Kiumbe cha kiume hatuna ujanja na mada hiiHa ha ha ha ha nimecheka jamani eti bwana yesu akae nawe peke ako huwezi 😀😀
Kila la kheri, sijui nani atakuwa wa kwanza kumuambukiza mwenzake...Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Kweli ukiona mtu anakaa kimya unamkera ana kuangalia tu usidhani ni mjingaMkuu naona leo ni siku yenu ya kutoa la rohoni. Kiumbe cha kiume hatuna ujanja na mada hii