Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Kwani anachomwa mwanamke peke yake? Na mwanaume atachomwa, hivyo kama ndivyo wote tuache kuchepuka ili tuwe salama.
Maumivu anayo pata mwanaume akigundua mke wake anachepuka hayamithiliki, chakula hakiliki, kazi hazifanyiki, kitanda hakilaliki, kila kitu ni shaghalabagala. Kwenye mada hii wanaume tulio oa hatubishani maana inagusa moja kwa moja
 
wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...

Kwenye Bibilia tunasoma kuwa mwanamke alikua akifumaniwa kwenye uzinzi basi anapigwa mawe hadi kufa, hakuna mstar hata mmoja uliozungumza kuhusu mwanaume aliyefumaniwa that means mwanaume hafumaniwi bali ni miongoni mwa majukumu yake, sasa nyie endeleeni kubishana na nature!!!
 
Maumivu anayo pata mwanaume akigundua mke wake anachepuka hayamithiliki, chakula hakiliki, kazi hazifanyiki, kitanda hakilaliki, kila kitu ni shaghalabagala. Kwenye mada hii wanaume tulio oa hatubishani maana inagusa moja kwa moja
IMG-20170516-WA0039.jpg
 
Mimi nilijifunza toka Jogoo halijachwa..

Kuna mambo hayahitaji ujuaji na ubishi ubishi usio wa lazima.

Kiburi na kupuuzana puuzana hakuna sababu, hakuna aliye malaika tukikosena tusameheane kwa yenye kustahili msamaha.

Tukizidisha makwazo "watagongwa tu" kwani kwa vigezo hivyo hivyo vilivyonivutia Mimi na mwingine vitamvutia ataombwa na kwa sababu ya stress wala hatagoma. Hakuna mshindi katika haya mambo anaweza kuliwa na wala usigundue kabisa.

Mimi kwa Kujiamini Kabisa Nimejifunza na kila uchwao najifunza na kubadilika ili kuboresha mahusiano na mke wangu. Once nikikengeuka sitajisahau, hakuna La maana sana huko michepukoni zaidi ni kujiongezea cost za maisha tu.
Hongera kwa kulitambua hilo wenzio wakikosa wanageuzia wake zao kibao na kuangushia wakezao jumba bovu
 
Hilo neno '' yes'' likimtoka maelezo mengine atayaendeleza tukiwa kaburini. Kwanini asinidanganye kuwa pamoja na kuvua nguo lakini dudu haikuingia? Aone kama sitamsamehe? Kukubali ni dharau kubwa sana
Kwanini adanganye? Ningekua mie ningemalizia yes but... Viwili tu
 
ON A VERY SERIOUS NOTE!
LAITI WEWE NI MWANAUME!
UNA FANYA MAMBO HAYA MIONGONI MWA YALIYOANDIKWA HAPA!
MKEO AWE ANAJUA AU HAJUI(MAANA WE ARE GOOD AT MAKING YU FOOLS PIA)
NAWEZA KABISA KUJIFANYA SIJUI LOLOTE NA NISIKUULIZE LOLOTE!

so KUTOKUULIZWA KUSIWAPE IMANI KUWA WAKE ZENU HAWAJUI MNAYOYAFANYA!

niwasaidie tu kaka znagu!
WAKE ZENU WANAPIGWA MITI HUKO NJE BALAA!
NA I AM TELLING YU ,THE RATE WALA SIO HIYO MNAYOFIKIRIA!
ITS WORSE!
KIUKWELI WANAWAKE WANACHEPUKA KULIKO WANAUME!
MNAAMINIGA IT IS THE OPP!SIO KWELI!
MMEWAFIKISHA WANAWAKE MAHALI HAWANA TENA NGUZO YA KUSEMA NALINDA NDOA,NAJIKINGA NA MARADHI,NATAKA HESHIMA YANGU!

KWA AINA YA MAISHA MNAYOISHI!
HAYA YA KUTOKUWAJIBIKA NA FAMILIA,UMALAYA,MAKWAZO,ULEVI,UZINZI WA KUTISHA KABISA,YA KAGOLI KAMOJA KWA WIKI,MENGINE UNAWAWEKEA WENGINE , I AM TELLING U

HAKUNA MWANAMKE ATAKUWA NA MWANAUME WA AINA HIYO AKAWA TU ANAKUANGALIA ETI MKE MWEMA!
kuna vitu vinawaondolea AUDACITY KABISA YA KUDEMAND HESHIMA YA KUWA WAUME !

MJIREKEBISHE!
MBADILIKE!
NDOA HAIKUFUNGWA NA MTU MMOJA!
MSIWAACHIE WAK ZENU JUKUMU LA KUDUMISHA NDOA!
MNABUGI MBYAAAA!
 
Kwenye Bibilia tunasoma kuwa mwanamke alikua akifumaniwa kwenye uzinzi basi anapigwa mawe hadi kufa, hakuna mstar hata mmoja uliozungumza kuhusu mwanaume aliyefumaniwa that means mwanaume hafumaniwi bali ni miongoni mwa majukumu yake, sasa nyie endeleeni kubishana na nature!!!
Yesu alipolekewa mwanamke alifumaniwa aliwambia yuko wapi mwenzie kwani alikuwa anazini pekeyake? Asiye kuwa na dhambi awe wakwanza kimrushia jiwe nani alianza kurusha kama hawakumuacha yeye na Yesu pekeyake? Paul mwenyewe aliwambia mkiweza muwe kama mimi la huwezi unawaka tamaa oa mke sio oa wake
 
Kwenye Bibilia tunasoma kuwa mwanamke alikua akifumaniwa kwenye uzinzi basi anapigwa mawe hadi kufa, hakuna mstar hata mmoja uliozungumza kuhusu mwanaume aliyefumaniwa that means mwanaume hafumaniwi bali ni miongoni mwa majukumu yake, sasa nyie endeleeni kubishana na nature!!!
Wewe fanya ruksa hakuna anayekukatalia ila jua mwenzi wako nae anafanya full stop.ukisubiri atapigwa mawe unajichosha aisee.
 
Maumivu anayo pata mwanaume akigundua mke wake anachepuka hayamithiliki, chakula hakiliki, kazi hazifanyiki, kitanda hakilaliki, kila kitu ni shaghalabagala. Kwenye mada hii wanaume tulio oa hatubishani maana inagusa moja kwa moja
Wanaobisha wengi hata hawajaoa! Ukute ni form six anajidai mjuaji.
 
ON A VERY SERIOUS NOTE!
LAITI WEWE NI MWANAUME!
UNA FANYA MAMBO HAYA MIONGONI MWA YALIYOANDIKWA HAPA!
MKEO AWE ANAJUA AU HAJUI(MAANA WE ARE GOOD AT MAKING YU FOOLS PIA)
NAWEZA KABISA KUJIFANYA SIJUI LOLOTE NA NISIKUULIZE LOLOTE!

so KUTOKUULIZWA KUSIWAPE IMANI KUWA WAKE ZENU HAWAJUI MNAYOYAFANYA!

niwasaidie tu kaka znagu!
WAKE ZENU WANAPIGWA MITI HUKO NJE BALAA!
NA I AM TELLING YU ,THE RATE WALA SIO HIYO MNAYOFIKIRIA!
ITS WORSE!
KIUKWELI WANAWAKE WANACHEPUKA KULIKO WANAUME!
MNAAMINIGA IT IS THE OPP!SIO KWELI!
MMEWAFIKISHA WANAWAKE MAHALI HAWANA TENA NGUZO YA KUSEMA NALINDA NDOA,NAJIKINGA NA MARADHI,NATAKA HESHIMA YANGU!

KWA AINA YA MAISHA MNAYOISHI!
HAYA YA KUTOKUWAJIBIKA NA FAMILIA,UMALAYA,MAKWAZO,ULEVI,UZINZI WA KUTISHA KABISA,YA KAGOLI KAMOJA KWA WIKI,MENGINE UNAWAWEKEA WENGINE , I AM TELLING U

HAKUNA MWANAMKE ATAKUWA NA MWANAUME WA AINA HIYO AKAWA TU ANAKUANGALIA ETI MKE MWEMA!
kuna vitu vinawaondolea AUDACITY KABISA YA KUDEMAND HESHIMA YA KUWA WAUME !

MJIREKEBISHE!
MBADILIKE!
NDOA HAIKUFUNGWA NA MTU MMOJA!
MSIWAACHIE WAK ZENU JUKUMU LA KUDUMISHA NDOA!
MNABUGI MBYAAAA!
Na wote tuseme AMEN
 
andjul Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%, Mimi muda mrefu nilishakiri Uponyaji Kupitia "ubatizo wa Moto" kuwekwa kati na Hawa Wabeijing sio jambo jepesi ukaendelea kushupaza shingo I have my testimony kwenye haya Mambo. Mimi kupitia hawa Wabeijing Humu nimejifunza an huwa najifunza sana sana tabia zao an sio siri nakuwa reshaped katika life aspects nyingi tu.

Tuache Ubishi usio na ulazima sio siri tunachangia kwa asilimia nyingi tu kutengeneza tabia mbaya kwa wenzi wetu.

Asee!, kama vile siamini amini kuwa hii imetoka kwenu!, tunaomba muendelee kujitambua kwa kweli.
Hata kama wengine hawahusiki sana katika haya mambo (asilimia ndogo sana 😀)
You guys should take this as a wake up call. Ni kweli kwamba katika jamii yetu alivyofanya huyu dada ni kitu cha ajabu sana, lakini pia ni kama vile amefungulia mlango baadhi ya wakina dada ambao hufanya haya mambo private wanapozidiwa na ukame wakati mnaenda kutafuta mboga nje. Inasikitisha sana pale ambapo haki yako ya ndoa kihalali apewa mwingine halafu Ke ubaki unahangaika.

Nyie mnaweza kujitapa kuwa na michepuko na cha kusikitisha ni kwamba, jamii yetu imelipitisha hili swala kama vile mswaada bungeni. As we all know, it's not strange anymore kwa kidume kuwa na nyumba ndogo na hata baadhi ya wakina dada wenye waume zao wamekubaliana na mswaada huo kuwa, "it's okay for mume to have mchepuko as long as hawaujui"
Ni hali tu ya kukata tamaa, cos hata kama hatupendi ndio ambavyo mmeamua iwe. Because it's your "Fake Nature" but it's so not fair kwetu. Na matokeo yake ndo haya sasa, na sisi tunarudisha majibu lakini undercover na kutoa ushuhuda JF. Sasa kama mpo humu mnatusoma na kutafakari kama ndo sisi wake zenu tunaowapokea kwa upole mkurudi pasipo kujua kwa nini tuko Ok na tabasamu hata kama mmerudi manane ya usiku... now you can go figure!..
 
Wewe unaona raha kuchepuka mwenzio huko Arusha yamemkuta amebanikwa kwenye moto na mchepuko wake tafakari na uchukue hatua yasije kukuta
 
Kwenye Bibilia tunasoma kuwa mwanamke alikua akifumaniwa kwenye uzinzi basi anapigwa mawe hadi kufa, hakuna mstar hata mmoja uliozungumza kuhusu mwanaume aliyefumaniwa that means mwanaume hafumaniwi bali ni miongoni mwa majukumu yake, sasa nyie endeleeni kubishana na nature!!!
Biblia imetungwa na wanaume. Sheria zimetungwa na nyie nyie ili kukandamiza jinsia ya kike.
.
.
Haya hao makahaba waliokuwa wanafumaniwa mnawapiga mawe Yesu alikuja kutengua upuuzi wenu. Aliwaambia anayejiona msafi awe wa kwanza kumpiga huyu mama mawe mbona mliacha?
Hatuishi tena zama za kale. Dunia inaendelea mbele!
.
.
Asilimia 90 ya wachangiaji hapa ni wazinzi wa hali ya juu. na kazi yao ni kurushia mawe wazinzi wenzao wa kike!
 
Back
Top Bottom