Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,144
Hata mbinguni kuna moto ujue!!Moto jamani, moto. Nawapenda sana, angalieni huo moto jamani.
Huo moto ni ajali tu, na bahati nzuri wamechomwa wote.
Hata mbinguni kuna moto ujue!!Moto jamani, moto. Nawapenda sana, angalieni huo moto jamani.
Labda tahadhali ya magonjwa na watoto wa nje. Ila je wana tahadhali dhidi ya michepuko walozi?Ila kuna wanaume wanaishi kwa tahadhali sana hata kama anachepuka
Mmh kwa kweli kuna watu conscious zao zimekufa.Huwa najiuliza kwa nini mtu apiganie wa mwenzake mpaka kufikia kuua au kuvunja ndoa ya mtu!, halafu wakisha pata wanaishi kwa amani kabisa!
Ama kweli dunia imevaa bukta.
Hakuna anaye amua kubadirika rafiki yangu, wanaume huwa tuna tamaa sikatai lakini ni wepesi wa kubadirika, wewe unatakiwa ujue kilichombadirisha mpaka akawa siyo mwaminifu kwenye ndoa, either ni tamaa zake au ni wewe mwenyewe hapo utajua umbadirishe vipi, lakini akija ananuna na wewe unampotezea mnachofanya mnaharibu mustakabari wa familia yenu.Aah wapi mie nakwambia labda kama kaamua kubadilika mwenyewe
Wanaume naona povu linawatoka! Ama kweli mkuki kwa nguruwe
Haha nipeleke unyagoni ma
Eti heshima, heshima my foot!! Kwa heshima gani hapo sasa!! Mume anakitembeza huko hadi na migonjwa kuleteana bado wanadai kuna heshima hapo! Maana yao ya heshima itakuwa ni ya mars.Ha ha ha heshima gani ndugu? Wanandoa wasipoheshimiana hakuna heshima yoyote mtakuwa mnajidanganya mbele za watu lakini mbele za mungu na ndani ya mioyo yenu mnajua kabisa hapa hakuna ndoa.
Haha watu wanapenda hii title "mke".Siku hizi wanajiita "wake wasaidizi"
Mimi,na kizur zaidi nikamkuta yuko vizr kimapenz japo nilikuwa sijui nikajikuta kana kwamba ni mkongwe afu akanizoesha vibaya atanikuna saa mzima akiwa kachoka sana dk 45 huku nje nawasikia wadada wanalalamika waume zao akiingia tu kapiz bas nikajikuta kiukwel ni wa kwanza lkn sikutaman mwqnaume yeyote hata ya kuwajua sababu niliiuwa full na muhogo WA haja basi laaa ,so niseme wapo weng tuwalioolewa na WA kwanza wao.Aah wapi, uniambie huyo ndio first wake? Hivi nani ameolewa na first wake...huyo ndio aweza kutojua sizes tofauti, otherwise mmmh!!
Ili ugundue mbadala wa oxygenNdio maana nasema wadada jamani tusikimbilie kuolewa kabla hatujajipanga jamani kwa karne ya sasa kutegemea mwanaume kwa kila kitu ilikua zamani tusiwe tegemezi .... Ukiwa na cha kujishikisha anakuzingua unajiondokea unapanga unaanza maisha yako vizuri tuuu bila kusumbuliwa na mtu anayeitwa mwanaume
Unaolewa una miaka 20 ili iweje?

Halafu yakiwakuta mbona waombe uzima!, cos yanaweza tokea mabaya zaidi. kuna binadamu wengine hawajali uhai, si wao si wa wengine.Ameeeen!! Unachomw duniani na mbinguni.
Ndivyo mnavyojisifiaga kumbe bure kabisa.Tena uliyempata bado ajui kitu ungenipata mimi ungeomba talaka kabisa maana ungeona jamaa kama anajubana tu! Na Mimi ninavyopenda dezo!
Kwa kweli si bure.Mmh kwa kweli kuna watu conscious zao zimekufa.
Leo ndio mmegundua kuwa inawezekana eeeh!! Mnavyochambuaga wenzenu huwa hamjui wanaweza kurekebishika? Nae mumewe atamrekebisha.Mtu yeyote anaweza kurekebika akipata mtu wa kumrekebisha
Kakuzalisha watoto wangapi? Kama mnao watoto hicho sio kibamia, ni dume la mbegu.Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.