The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,853
Mungu anakuona
Vijana hao nao unawaitaje?Duuuh! atakayefuata ushauri wako,hakika atakua hajui nini maana ya nature na tutachelewa sana kuoa kama ndo hivi kwasababu baadhi ya wanaume watakua wanakula wake za watu na mademu ambao hawajaolewa,na kikawaida mke wa mtu hana gharama,sipati picha vijana wenzangu wanavyofakamia madada au akina mama wenye mtazamo kama wako.
Kwanza mama halali na watu hovyo hovyo, pia hawaagi watoto kuwa anakwenda kupata tulizo.Kama ndivyo,kikubwa nikumrekebisha siyo kumlipizia kwakulala na wanaume hovyo,kwakweli watoto wanakua wanajisikia vibaya sana,hasa mama akiwa analala na watu hovyo,inakua inaumiza sana,sijui lakini kwa jamii nyingine.
Kumbe tunahangaika na nyie bure mweeeeh!! Kumbe akili zenyewe ndizo za kukukama umekubali kubanana ukikanyagwa kaa utulie.
apo nyumbani umefuga kuku umeleta mitetea saba jogoo mmoja..
umeshindwa kuchukua hako kamfano?

Usichelewe mkuu, we usioe kabisa. Ukiwa mzinzi utampata tu mzinzi mwenzio ili maisha yawe rahisi.Ntachelewa kuoa kama ndiyo hivi,siwezi nikawa na mwanamke mzinzi,anashusha sana personality na anaaibisha sana ndugu zake hasa wanapoambiwa 'dada yenu yuko gesti au kwenye chumba cha msela anapiga kelele kinoumah'
Chi ndio hapo chacha, yaani hapo mambo yanakuwa saaafi kabisa.Sasa talaka ya nini? Wewe mbona ulivyoanza kuchepuka hukutoa talaka? Maswala ya talaka yafie uko mbali tuvumiliane tu.
Wewe nenda pata kitu roho napenda wala sitakugasi heshima na adabu tele.nami nikitaka utamu nakimbia masaa yangu mawili matatu napata roho napenda then narudi tuendelee kuijenga familia tatizo liko wapi hapo.
We nfio boiflendi nini?huyu hajaolewa.. kametemwa na kaboifrend kake coz kana U.T.I sugu ndo mana kanatema povu humu![]()
![]()
![]()
Wanaweke na nyie mmekuwa wengi sana ndo maana haya vijana hatuoi,huduma tunajipatia kirahis tuu.Na pia hakuna ubora kwa mwanaume zinaa ni zinaa tu
Hatushindani bali tunafuata mafundisho mlotufundisha,hebu hata utupongezepo jamàni.mdudu gani kawaingia nyie wanawake? mnashindana na madume.
watajisemesha hapaaaa ILA WANAJUA DEEP DOWN NA WAKE ZAO NDO WANAFANYA HIVI HIVI!AHAHAHAHAHHAHAHHAA HAISRA NI PALE WANAPOIMAGINE KUWA WAT IF ANAYEANDIKA HII SREDI NI MKE WANGU?
BASI POVU LINAWATOKAJEEEEEEEEEEEEE?
mwaya wanaume poleni!
TUNAELEWA MNAVOUMIA!
MSIJALI LAKINI HAYO MAUMIVU HUWA HAYAISHI WALA HAYAUI!
MBONA SIE HATUFI KLA SIKU!
NDOA NI UVUMILIVU JAMANI!
ndoa ni KATIKA SHIDA NA RAHA!
NDOA NI KUJISHUSHA
NDOA NI KUSUGUA GOTI
ahahahhahahahha
sawasawaKubanwa banwa kwenyewe maswali si akirudi anakuta upo mng'avu anaanza kujishutukia fuatilia wanaume wasio ridhisha wake zao wanawivu sanaaaaaMWENZANGU WE KAMA UMEKUBALI KUBANWA ,BANWA TU!
Umeonesha busara hadi nimetamani kuwa mchepuko wako, naomba nafasi tafadhali.Mimi nilijifunza toka Jogoo halijachwa..
Kuna mambo hayahitaji ujuaji na ubishi ubishi usio wa lazima.
Kiburi na kupuuzana puuzana hakuna sababu, hakuna aliye malaika tukikosena tusameheane kwa yenye kustahili msamaha.
Tukizidisha makwazo "watagongwa tu" kwani kwa vigezo hivyo hivyo vilivyonivutia Mimi na mwingine vitamvutia ataombwa na kwa sababu ya stress wala hatagoma. Hakuna mshindi katika haya mambo anaweza kuliwa na wala usigundue kabisa.
Mimi kwa Kujiamini Kabisa Nimejifunza na kila uchwao najifunza na kubadilika ili kuboresha mahusiano na mke wangu. Once nikikengeuka sitajisahau, hakuna La maana sana huko michepukoni zaidi ni kujiongezea cost za maisha tu.
Wanaume wamekuwa na tabia za kike..kununanuna hovyo hovyo! Kidume kizima unanuna? Wake zao wamechukua tabia zao za kuchepuka! Patamu hapo..








wanaboa mpaka aibuNa Ndo maan mkaambiwa muchukue hata 4 yote hayo ni kuepuka hii hii zinaaWanaweke na nyie mmekuwa wengi sana ndo maana haya vijana hatuoi,huduma tunajipatia kirahis tuu.