Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Ukweli ni kwamba mtakufa kwa ukimwi
Hapa nakwambia ukweli kabisa kwani wote wanne hamtumii kondom
Anzeni kupanga jinsi gani watoto wenu watabaki yatima
Kwa maisha ya sasa kubaki yatima ni mateso makubwa sana.
Naomba leo joon wakusanye wanao alafu uwatizame sana
Piga picha siku utakapo kuwa kwwnye jeneza kwa kifo cha kujitakia
Ooooo my God
Hakika ngono inawatafuna wanandoa weeeengi na wameacha watoto yatima weeeengiii wakihangaika bila kosa

HANA AKILI MTU AZINIYE NA MWANAMKE

Ni aibu sana kwa dunia ya sasa ambapo kila mzazi anahangaika kwa ajili yabfamilia yake alafu nyie Mr na Mrs
Mnashindana kwa uzinzi
Hakika Mungu awape roho ya kujitambua mkatubu na kusameheana muanze mwanzo mpya for the sake of your future familly
Nawapenda sana.........na nimesikitika kwani nami ni mzazi ninaependa sana wanangu
 
Kuna mdau kaomba namba ...Mpe! ..maana hata huo mchepuko wako wa Sasa ni kibamia na haujui kitu.

Umalaya wenu msije tupa tabu ya kuwalelea watoto wenu ...nyambafu ..unajisifia kugegedwa nje ya ndoa?!
 
Ukweli ni kwamba mtakufa kwa ukimwi
Hapa nakwambia ukweli kabisa kwani wote wanne hamtumii kondom
Anzeni kupanga jinsi gani watoto wenu watabaki yatima
Kwa maisha ya sasa kubaki yatima ni mateso makubwa sana.
Naomba leo joon wakusanye wanao alafu uwatizame sana
Piga picha siku utakapo kuwa kwwnye jeneza kwa kifo cha kujitakia
Ooooo my God
Hakika ngono inawatafuna wanandoa weeeengi na wameacha watoto yatima weeeengiii wakihangaika bila kosa

HANA AKILI MTU AZINIYE NA MWANAMKE

Ni aibu sana kwa dunia ya sasa ambapo kila mzazi anahangaika kwa ajili yabfamilia yake alafu nyie Mr na Mrs
Mnashindana kwa uzinzi
Hakika Mungu awape roho ya kujitambua mkatubu na kusameheana muanze mwanzo mpya for the sake of your future familly
Nawapenda sana.........na nimesikitika kwani nami ni mzazi ninaependa sana wanangu
Bora wewe unayejitambua! Wengine ni majipu
 
Ahsante kwa mleta mada hii(kisia) maana nimejifunza mengi sana juu ya mke. Mwanzo wa mada kisia amesemwa sana kama ametenda kosa kubwa sana (ni kweli) lakini ujio wa hawa wadada Ms. Lincoln, demi, Heaven Sent, miss chagga, Nalendwa, Evelyn Salt, ringson, espy, LadyRed, Msweet, Go mi num, firstLady 1,nao,...hakika,wanaume tuna la kujifunza na lazima tukubali kuwa sisi ni wajinga kiasi fulani. Hakuna haja ya kuombewa maana hicho ndio kilio cha wanawake wengi walio kwenye ndoa, tubadilike kwa hiari. Naona aibu hata kumuangalia wife tangu jana (kaa nami Bwana Yesu peke yangu siwezi). Mkuu Ngoda 95 na wengine tubadilike, tuwajali hawa viumbe. AMEN

Wow, hongera sana kwa kujitambua na Mungu Akusaidie ki ukweli!
 
sawa mama Jovan. ila huoni mda wako umepita waachia watoto wachuo bado wamoto.

njoo nikunong'oneze kingne walichonacho wewe huna@@@@@@@@@zao zinabana.
Muda upi umepita ndugu? Wa chuo ni wa chuo na mimi ni mimi. Kuna ambao wananiona mbichi nafaidi kwa watu wazima wenzangu. Level zako ni watoto wa chuo! Nishapita kitambo na maisha hayarudi nyuma. Utu uzima dawa....
.
.
Muda wa kuzeeka ukifika nitazeeka tu. Bado sanaaaaaa! Tena umri nilionao sasa hivi ndo nafaidi vizuri hiyo kitu!
Hao wanachuo wana nini ambacho mimi sina? My friend..watoto wa chuo siku hizi hawana tofauti na wa pale corner bar! Chaguo ni lako!
 
Muda upi umepita ndugu? Wa chuo ni wa chuo na mimi ni mimi. Kuna ambao wananiona mbichi nafaidi kwa watu wazima wenzangu. Level zako ni watoto wa chuo! Nishapita kitambo na maisha hayarudi nyuma. Utu uzima dawa....
.
.
Muda wa kuzeeka ukifika nitazeeka tu. Bado sanaaaaaa! Tena umri nilionao sasa hivi ndo nafaidi vizuri hiyo kitu!

kwa huo muonekana utatoka na wazee anakula kimoja BP inapanda kazee kakifia kifuani unakuja kutuletea matatizo.

option ya pili ni serengeti boy. viserengeti boy sikuizi havina maadili vitaishia kukufumua marinda buree.

option ya tatu kaa nyumbani utulie, uzae na kulea watoto
 
Back
Top Bottom