Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Mnalishwa mkiwa wapi? Wanawafuata makwenu?
Si mnaendaga kwanza kujiwekea mvuto, mnakua kama sumaku mwanaume yoyote akikuona anakua chizi, inabaki kujichagulia tu. Kama hauna roho wa Mungu au kama sio mshirikina hutoki.
 
we vipi..tulikubaliana haya mambo ni siri yetu kumbe tayari ushanisaliti?..haya umeyataka wewe,mie najitoa sasa..fahamu kwanzia muda huu mimi na wewe basi...
 
Unakiri kua ndoa ikivunjika mwanamke ndiye anayeangaliwa,umewahijiuliza mke na mume wakichepuka yupi huleta aibu sana kwenye familia na jamii kwa ujumla.. acheni kuchepuka sio vuzuri,ukiona vipi achana na mwanaume uende ukaishi peke yako ufanye unavyotaka,kama mume anachepuka jaribu kumrekebisha vile unavyoweza nasio wewe kuanza kuchepuka kwasababu unakua unajishalilisha nakuleta fedheha kwa watoto na ndugu zako pamoja na jamaa unaoheshimiana nao,usijione wewe tu angalia na jamii itakuonaje,fanya kitu ambacho unaweza kuongea mbele ya watu ukaeleweka.
Hiyo mentality ya nani anajidhalilisha zaidi inatoka wapi kwamfano!! Kama ndio hivyo mbona huwa hamchepuki na wanaume wenzenu? Au nyie mnajisikia raha kuchepuka na anayedhalilika?

Mtulie tu kama mnavyotuliaga wanaume wenzenu wakichepuka na kuwapa namna nzuri, mpeni mtoa mada pia maujanja ili asidhalilike na isijulikane.
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Hongera kwa kuvuliwa na kugegedwa nje endelea hivyo hivyo .
 
Katika vita ya namna hii uwe na uhakika kabisa mmoja kati ya hawa wawili ataumia tu, maana itakuwa ni kama vichaa wawili wamekutana na kila mmoja anamcheka mwenzie
Hayo ni matokeo tu, na ikitokea basi ndio wataombeana.
 
Mtakufa kila siku , kiumbe cha kiume achaneni nacho kabisa, hamuwezi kuahindana nacho…
Jana nilikuwa kwenye msiba na alokufa ni mwanaume!!
Kifo hakina mwenyewe ndugu.
Hatushindani bali tunapata raha tu.
 
Kumbe suluhisho mnayo!!! Basi endeleeni kujitoa ufahamu.
Swadakta kabisa ndio maana nakusisitizia mshauri mwenzako vyema. Ukishawekwa kati na mshirikina hujitambui, suluhisho sio kumpa kichwa aendelee kulipiza anatakiwa yeye ndo awe msaada kwake kumtoa humo, akishindwa talaka zipo akaishi kwa amani na anaemridhisha.
 
Hatariiiii sasa mpaka maliyake inaliwa!!!!!. Ama kweliiiiii "UKISUSA WENZAKO WANAKUL" tena kwa matonge
 
Unakiri kua ndoa ikivunjika mwanamke ndiye anayeangaliwa,umewahijiuliza mke na mume wakichepuka yupi huleta aibu sana kwenye familia na jamii kwa ujumla.. acheni kuchepuka sio vuzuri,ukiona vipi achana na mwanaume uende ukaishi peke yako ufanye unavyotaka,kama mume anachepuka jaribu kumrekebisha vile unavyoweza nasio wewe kuanza kuchepuka kwasababu unakua unajishalilisha nakuleta fedheha kwa watoto na ndugu zako pamoja na jamaa unaoheshimiana nao,usijione wewe tu angalia na jamii itakuonaje,fanya kitu ambacho unaweza kuongea mbele ya watu ukaeleweka.
Asante kwa ushauri wako,lakini wewe unafikiri kumrekebisha mtu mzima ni kazi rahisi? Kutokana na ushuhuda uliotoa babako alikua mchepukaji unafikiri mama alishindwa nini kumrekebisha baba ili asichepuke?au unafikiri kwa nini mama hakuchukua uamuzi wakuondoka?

Kiufupi ni kwamba ili tufurahie mahusiano lazima wote tukatae hii dhambi yaani mwanamke na mwaume sio eti mwaume akichepuka yeye haleti madhara ila mama akichepuka anaiabisha familia hapana.

Sasa unakuta umevumilia weeeee, umegombana na michepuko ya mmeo hadi tosha mwaume bado anakudharau na kukununia juu ufanye sasa ili hali na mimi natongozwa huko mtaani.

Ili kuepusha stress unaamua uchepuke na wewe, uzuri uchepukaji wa mwanamke sio kama wa mwanaume ukiwa na hamu unaenda masaa yako kadhaa unarudi kuhudumia familia.

Aliyekwambia namwambia mtoto kua nachepuka nani?maana hiyo ni siri hata mme hatafahamu sasa itamwathiri vipi?
 
Unakiri kua ndoa ikivunjika mwanamke ndiye anayeangaliwa,umewahijiuliza mke na mume wakichepuka yupi huleta aibu sana kwenye familia na jamii kwa ujumla.. acheni kuchepuka sio vuzuri,ukiona vipi achana na mwanaume uende ukaishi peke yako ufanye unavyotaka,kama mume anachepuka jaribu kumrekebisha vile unavyoweza nasio wewe kuanza kuchepuka kwasababu unakua unajishalilisha nakuleta fedheha kwa watoto na ndugu zako pamoja na jamaa unaoheshimiana nao,usijione wewe tu angalia na jamii itakuonaje,fanya kitu ambacho unaweza kuongea mbele ya watu ukaeleweka.
Tatizo lenu ni moja. Wanawake wawe na maadili nyie mfanye upuuzi isionekane hamna maadili. Mnawafundisha nini watoto wenu wa kike na wa kiume?
.
.
Kwanini tusiungane pamoja kurekebisha maadili ya jamii yote kwa ujumla? Jiangalia jinsi ulivyo...je ungependa mtoto wako wa kike aje kupata mume mwenye tabia kama zako? Uko proud na tabia zako na huna shaka mwanao akipata wa kufanana na wewe?
Tusiongee tu ili mradi tunaongea..tusikariri misemo ambayo kiuhalisia haitekelezeki.
.
aliyekuambia mwanamke akichepuka ni aibu kwa jamii. Jamii ipi? Hiyo aibu nani anaona? Mchepukaji au jamii?
.
.
Na je wewe mwanaume unayechepuka jamii inakuonaje? Rijali ama? Tuache kukandamiza upande mmoja..tuhubiri maadili both sides na hapo ndio tutafanikiwa. Jamii itaelimika vipi km maadili atekeleze mwanamke peke yake? Elimu itusaidie jamani.
.
.
Mnasomesha watoto wenu wa kike mnategemea mawazo yake yaendane na ya mwaka 47? Dunia haipo hivyo..kila kitu kinabadilika.
.
.
Mume na mke wapendane, waheshimiane na michepuko iwe mwiko! Ukichepuka nami unanipa mzuka wa kufanya umayofanya..tena natamani haswa yaaani. Unanipa vishawishi mwenyewe bila kujijua.
Na muache kutuambia habari ya nature yenu wanaume maana imeprove wrong! Kwa maisha ya sasa nawasihi muache kuchepuka maana mnawafundisha wake zenu tabia mbaya!
.
.
Hiyo aibu kwa jamii ifafanue vizuri. Kama muhusika haoni aibu inamuathiri nini? Watu hawana aibu wanafanya kwa kukusudia. Aibu ni pale unapofumaniwa...i
otherwise ni raha tu.
.
.
BILA KICHWA CHA NYUMBA KUBADILIKA MENGINE HAYATAENDA SAWA. Badilikeni nyie mnaojiita vichwa! sisi tunafuata muongozo wenu. Nyie ni madereva wa malori sisi ni makondakta. Msije mkawa kama yule anayejitapa dereva wa lori kumbe lori lenyewe limekongoroka na service hafanyi!
 
Yaani mtusaidie na kupita kule bar,vijiweni na maofisini msambaze hii injili, mbona dunia itakuwa mahali salama sana.
Aaaah leo wamegeuka kua waijilisti na wachungaji hatari sana na wafanye maombi kabisa yakuombea wake zao.maana wake tumeomba weeee na kufunga hadi tosha sasa zamu yao.
 
Back
Top Bottom