Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Looi pole huna haya wala huogopi mungu kwa kujitangazia una chepuka sasa ukua urgent wa shetani gonjwa likingia ndani utakumbuka kipamia maaana hiyo ndizi itakua njiti subilini ukimwi
Kumbe inauma eeh!!
 
Ndo mjue tabia zenu. Mjue pia ni jinsi gani wake zenu wanafikiria na nini wanafanya bila nyie kujua. Msijiaminishe kuwa hamgongewi! Wasiogongewa ni wachache mnooo!

Tena siku hizi ndio wanawake hawataki stress kabisaaaa, kazi zinipe stress, mtoto anipe stress, eti nalo jitu zimaa linarudi limejinunisha eti nalo likupe stress!! Unamuangalia tu unaendelea na ratiba zako.
 
unadhani umetatua tatizo kumbe umeongeza tatizoo. yakikukuta usije kulialia huku tena...
 
Ndo mjue tabia zenu. Mjue pia ni jinsi gani wake zenu wanafikiria na nini wanafanya bila nyie kujua. Msijiaminishe kuwa hamgongewi! Wasiogongewa ni wachache mnooo!
Ahsante kwa mleta mada hii(kisia) maana nimejifunza mengi sana juu ya mke. Mwanzo wa mada kisia amesemwa sana kama ametenda kosa kubwa sana (ni kweli) lakini ujio wa hawa wadada Ms. Lincoln, demi, Heaven Sent, miss chagga, Nalendwa, Evelyn Salt, ringson, espy, LadyRed, Msweet, Go mi num, firstLady 1,nao,...hakika,wanaume tuna la kujifunza na lazima tukubali kuwa sisi ni wajinga kiasi fulani. Hakuna haja ya kuombewa maana hicho ndio kilio cha wanawake wengi walio kwenye ndoa, tubadilike kwa hiari. Naona aibu hata kumuangalia wife tangu jana (kaa nami Bwana Yesu peke yangu siwezi). Mkuu Ngoda 95 na wengine tubadilike, tuwajali hawa viumbe. AMEN
 
Hapo ukute mke wako ni Evelyn salt. Sema hujui tu!
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Ungejuaje kama ana kibamia usingeitoa k yako out ikutane na zingine,moyo wangu sukuma damu si vingine
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Huu ni ujinga tena ni dhambi ni dhambi ikikomaa uzaa mauti, geuka ndungu gairi maovu tenda wema.
 
Wanaume naona povu linawatoka! Ama kweli mkuki kwa nguruwe
Hatupendi hii tabia,mwanaume ndio anaruhusiwa kua na wanawake zaidi ya mmoja
Nadhani umefurahia tendo la ndoa si kwamba huyo mwanaume mpya anajua kufanya mapenzi no but ni vile upo na simanzi ukipata jawabu sahihi utarudi kwa mumeo, hujiulizi kwanini kabla ya malumbano na mumeo ulikuwa unafurahia mapenzi na mumeo? Nway kila lakher katika mahusiano ya memory card

Kila LA heri,ila usituletee ukimwi nyumbani,..

Ndio, enheeee
 
Back
Top Bottom