Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Yaani ndugu ulicho ongea ni sawa kabisa wanaume wanyanyasaji sana mtu anasafiri unampokea kwa bashasha lakini yy anakuona kipolo cha juzi dawa yao ndiyo hongera bi dada kwakuimarisha ndoa au unampigia simu vip huko nimechoka nimelala kumbe michepuko inamchosha huko sasa hivi ni JINO KWA JINO MASIKINI HALI MAVI YAKEKweli kabisa ,ukiona mwanamke amechepuka ujue yamemfika,Mimi nilikuwa mwaminifu sana na ninampenda mno Mme Wang ila kila akitoka masomo yuko mkoa mwingne anaweza kaa miezi 3 hata 4 namvulia cku akirudi hana mda anakwambia nmechoka ilifikia hatua akirud nalilia mapenz kutokana na ile hamu ya kumvumilia lkn hakujali hisia zangu ,yan Mimi ndo nashida ya mapenz yeye wala nilivulia sana sababu nilikuwa na hofu na mungu na upendo nilionao kwa Mume ilifikia mda nikachoka,nikaamua kuwa na mchepuko kiukwel hata simu zake niliona kero akipiga,akisema kakata ticket anarud nikamjibu hata usiporud in shot nilikuwa najikuta namjibu ovyo siku alipoingia ndan ndo kwanza sins hata habar nae na mgongo nikampa kitu ambacho alikiona kigen kazoea akirud nalilia dudu ndo nipewe kwa kutoa machoz nilimjibu nko vizr hivyo apumzike, kiukwel nilinogewa nje na aliniambia nmebadilika nikamjibu kwa jeuri umenibadilisha wewe,alikir makosa sababu alijua mkewe hayuko ivo na toka hapo hakuweza nisumbua aliongeza mapenz na upendo na ndo alizid nipagawisha zaid, kwa kuwa ckupenda kuchepuka na amejutia kosa nikaongea na mchepuko narud kwa ndoa yng na mpaka Leo nko vzr na ndoa yang,niseme tu wanaume sio wote mnajisahau sasa ukiona make nae haelewek ndo unastuka jaribun kurud kwa mstar ,hii inafanya weng wenu kulea watoto wasio WA kwenu kwa mambo km hayo
Ila bible imesema mwanaume anayezini hana akiliHuo moto hata ukisema uongo utakuhusu tu..
KORBOTO Nakubaliana na wewe kwa sehemu kubwa lakini lazima tuukiri Ukweli kuwa Wake zetu sio malaika ni wanadamu. Tunapowakosea na kuwapuuza puuza kuwa hakuna wanachoweza Fanya ina madhara sana.
Wake zetu wanahitaji zaidi ya financial support ili kuwanya wafurahie mahusiano. Naamini asilimia kubwa ya Wanawake wanacheat huwa sisi Wanaume ndio tumechangia kwa sehemu kubwa wao kufanya hivyo.
Hizi story za "vibamia" sijui vidudu ni mbwembwe na hasira zao kwetu tu hawa wanakojozwa hata na kidole cha mwishwo kile kidogo. Ila tubadilike jamani... Ooooh otherwise tutagongewa sana tu. Mimi humu kunanisaidia sana kuwaelewa wanawake yaani kila siku nakuwa bora zaidi ya Jana kwa my wife wangu.
Aah wapi, uniambie huyo ndio first wake? Hivi nani ameolewa na first wake...huyo ndio aweza kutojua sizes tofauti, otherwise mmmh!!Kabla ya kuchepuka hakujua kuna mandingo huko nje........
mnashindana na nature cc tumeumbwa hiv tulivyoHatukomoi, ni kupata tu starehe kama ambavyo huwa mnaipata.
Wapo. Kama mtoa mada!Giv me a break, kizazi hiki nani anaweza kuoa/kuolewa kabla ya kuchungulia utupu???
Ukinitreat ipasavyo tukapendana kisawasawa hicho kibamia chako nitakiona kama muhogo..
.
.
Nitalalamika unaniumiza!
hehehehehe Asante Asante..Hizi story za mimi kuchepuka nashindwa kuzielewa!!! Vita dhidi ya madawa ya kulevya ni ngumu sana
.
.
Siwezi kujibu hayo maswali mkuu Subiri siku nilete mada inayohusu uchepukaji wangu!
#MchepukoSioDealBakiNjiaKuu#
...ndio hivyo, kudharauliwa. Hasa when my manhood is contempted....aaah!!![]()
![]()
![]()
![]()
Kwani unaogopa nini eli?
Kamkomoa wapi wakati na yeye kaenda kupata utamu????kumkomoa mtu kwa kutoa mwili wako utumike huo ni ujinga ambao nyie wanawake mnadhidi kuprove uwezo wenu c mzuri ............
ni mawazo tu lkn
Ulijua nitakosa maneno ya kusema sio??Safi sana, nilijua tu.
Kama nawaona wenye ndoa zao leo wanarudi na minuno nyumbani.. Wanahisi kabisa wameandikiwa wao heheheWasilikimbie mchezo
Na mwanamke anayezini je?Ila bible imesema mwanaume anayezini hana akili
Vumilia tu .... dunia ishavaa pensi hiiDah, inauma sana!!
Yaani leo kschepuka mwanamke ni mwendo wa mawaidha tu.....Hata mwanaume anayeelewa nafasi yake katika familia, anaipenda kuijali na kuiheshimu familia yake, anayemuheshimu Mungu na kiapo chake cha ndoa; hutomuona akijiendekeza kuchepuka wala kumkandamiza mwanamke kwa sababu anajua mwisho wa siku, duniani tunapita tu makao yetu ni mbinguni. Yupo busy kutengeneza maisha yake na Mungu kwa sababu ndo kusudi lake duniani na Kumcha Mungu hakuna jinsia. Na wanaume wa hivi are at the verge of extinction kabisa. Amri kumi zimeandikwa kwetu sote, sijaona dhambi iliyoandikwa "hii wanaume hata mkifanya si vibaya sana kama kwa mwanamke".
Ha ha ha ha naomba jini mkata kamba anikamatilie hapa nisiongee mieNdiyo mnavibamia tunawafichia siri hata kutiana hamjui mnatutia aibu huko nje muache
Heheeeee leo....mheshimiwa, hawa wanawake wanaotetea hawana lolote isipokuwa wanataka tu kujustify ufuska.
naomba mnielewe pia kuwa sitetei mwanaume kuchepuka na kumtesa mkewe kwa namna yoyote ile.
tuache ideal situations tuje kwenye uhalisia sasa.
mwanamke huyu huyu akiwa na mwanaume fukara, atasema mwanaume suruali huyu, atachepuka kwa kigezo hicho hicho. Akiwa hana shida za kifinancial atachepuka kwa maneno anayoyasikia saloon, ati kuna mihogo sijui kuna kunyonywa sijui hivi na vile ili mradi tu, atajidai hajatoka kwao kushiba tu.
Haya kuchepuka kwa sababu za kulipiza is worst revenge ever, zipo namna za kumpin mtu aliyechepuka.., achana naye basi tuone umekasirika sana. unaiabisha familia yako kwa mambo ya kijinga namna hiyo.
ni ukweli usiopingika hata kwenye Biblia na Quran kuwa wanaume tuna aina flani ya mapungufu, kama hamtaki kukubali hili mwulizeni Mungu mwenyewe arudie kazi hii.
Haya mmesema mwanaume anahusika mke kuchepuka, je mke hawezi kuwa ndo sababu ya kuchepuka huko?
mbn msimsaidie mleta mada kwa kuweka mambo yao sawa, badala yake mnampongeza?
Sijui hata naandika nn, nahisi nimepanic....
Sijahangisheni kutafuta faraja ya kudumu siyo faraja feki...,
Ni aibu sana mwanamke kuliko mwanamume kuchepuka, kwa sababu yoyote ile, MWANAMKE AKICHEPUKA NITAITA KUTELEZA ILA MWANAMKE AKIFANYA HIVYO ITAKUWA NI ANGUKO