FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,337
- 13,656
Naona unatambaa tu na huu uzi kudadekii.. heheheheFisadi nakusalimia
Salaam kwako...
Naona unatambaa tu na huu uzi kudadekii.. heheheheFisadi nakusalimia
Hatupotoshi mtu. Hujatuelewa au hutaki kutuelewa!unatuharibia watu huu uzi.., kupata haki sawa bado miaka 100000000
unaua familia za watu huu uzi. nyoooote mnaocoment humu ni mashahidi ni kwa namna gani mama alivyo nguzo kwenye familia, sijui kama mnazingatia nafasi ya mama katika familia na hata ilivyoelezwa katika vitabu vitakatifu vyenu mnavyotumia au mnashadadia tu?
hata kama siyo nyie mnaenda kufanya hivi, hakikisheni maandishi yenu hayapotezi mama za wengine.
Mnashindana na nature?
Darasa huru.. Sawaaa na nyie mnawajibu wenu. Punguzeni ubishi.
Teh nikikuona tu nakumbuka Comments za barNaona unatambaa tu na huu uzi kudadekii.. hehehehe
Salaam kwako...
Kwa nini tena wakati ndio tuna test Mic..moods funga huu uzi![]()
Hatupotoshi mtu. Hujatuelewa au hutaki kutuelewa..unatuharibia watu huu uzi.., kupata haki sawa bado miaka 100000000
unaua familia za watu huu uzi. nyoooote mnaocoment humu ni mashahidi ni kwa namna gani mama alivyo nguzo kwenye familia, sijui kama mnazingatia nafasi ya mama katika familia na hata ilivyoelezwa katika vitabu vitakatifu vyenu mnavyotumia au mnashadadia tu?
hata kama siyo nyie mnaenda kufanya hivi, hakikisheni maandishi yenu hayapotezi mama za wengine.
Mnashindana na nature?
Mwanamke kama wewe ni kukuwekea mtego tu siku nakukamata utafungasha virago siku hiyohiyo urudi kwenu. Pumbavu sana.
One Two one two, tunajaribuKwa nini tena wakati ndio tuna test Mic..
N.B NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE, DHAMBI HUZAA DHAMBI MWISHO HULETA MAUTI
nyoooote mnaocoment humu ni mashahidi ni kwa namna gani mama alivyo nguzo kwenye familia, sijui kama mnazingatia nafasi ya mama katika familia na hata ilivyoelezwa katika vitabu vitakatifu vyenu mnavyotumia au mnashadadia tu?
hata kama siyo nyie mnaenda kufanya hivi, hakikisheni maandishi yenu hayapotezi mama za wengine.
Mnashindana na nature?
Daaah una heri. ....KORBOTO Nakubaliana na wewe kwa sehemu kubwa lakini lazima tuukiri Ukweli kuwa Wake zetu sio malaika ni wanadamu. Tunapowakosea na kuwapuuza puuza kuwa hakuna wanachoweza Fanya ina madhara sana.
Wake zetu wanahitaji zaidi ya financial support ili kuwanya wafurahie mahusiano. Naamini asilimia kubwa ya Wanawake wanacheat huwa sisi Wanaume ndio tumechangia kwa sehemu kubwa wao kufanya hivyo.
Hizi story za "vibamia" sijui vidudu ni mbwembwe na hasira zao kwetu tu hawa wanakojozwa hata na kidole cha mwishwo kile kidogo. Ila tubadilike jamani... Ooooh otherwise tutagongewa sana tu. Mimi humu kunanisaidia sana kuwaelewa wanawake yaani kila siku nakuwa bora zaidi ya Jana kwa my wife wangu.
hehehehe huyo anayelalamika hapa ukute mumewe katekwa na muhudumu wa bar..Teh nikikuona tu nakumbuka Comments za bar
Sawa tuambieni tu ili tupone... Ila na nyie acheni kufikiri kuchepushwa ni suluhu ya matatizo yenu, haya umeona kidudu changu umeenda huko umevulishwa nguo kwa mbwembwe unakutana na jamaa anakiduchu zaidi ya kidudu. Sasa si utakuwa umezidi kujidhalilisha tuu?Hatuleti ubishi nyie watu mmezidisha bana..
Ngoja Leo tuwaambie.
Utakua ujaelewa Mkuu, binafsi sishadadii kilichofanywa na huyo dada na wala sipongezi ila nashangazwa na wanaume wanaomtolea huyo dada mapovu ikiwa akichepuka mwanaume mnafurahia.Mnatakiwa mkemee kwa jinsia zote kuwa uchepukaji si kitu kizuri.unatuharibia watu huu uzi.., kupata haki sawa bado miaka 100000000
unaua familia za watu huu uzi. nyoooote mnaocoment humu ni mashahidi ni kwa namna gani mama alivyo nguzo kwenye familia, sijui kama mnazingatia nafasi ya mama katika familia na hata ilivyoelezwa katika vitabu vitakatifu vyenu mnavyotumia au mnashadadia tu?
hata kama siyo nyie mnaenda kufanya hivi, hakikisheni maandishi yenu hayapotezi mama za wengine.
Mnashindana na nature?
Ukinitreat ipasavyo tukapendana kisawasawa hicho kibamia chako nitakiona kama muhogo..Sawa tuambieni tu ili tupone... Ila na nyie acheni kufikiri kuchepushwa ni suluhu ya matatizo yenu, haya umeona kidudu changu umeenda huko umevulishwa nguo kwa mbwembwe unakutana na jamaa anakiduchu zaidi ya kidudu. Sasa si utakuwa umezidi kujidhalilisha tuu?
Ni wachache sana wanapata comfort kwa 100% huko michepukoni zaidi ni kujiongezea matatizo tu na kurefusha orodha.
Eeh mume alikuwa anafuata ma- deal bar. Aisee wale sio watuhehehehe huyo anayelalamika hapa ukute mumewe katekwa na muhudumu wa bar..
Mkiwa vizuri kumbe kidudu kinakuumiza kabisa hahhaUkinitreat ipasavyo tukapendana kisawasawa hicho kibamia chako nitakiona kama muhogo..
.
.
Nitalalamika unaniumiza!
Na nyie mnafataga nini kwenye saloon na spa?? Na wale wasugua kuchaEeh mume alikuwa anafuata ma- deal bar. Aisee wale sio watu
Atajua mwenyewe aende kwa kimada aende kwao hainihusu. Kwangu itakuwa ni marufuku.mkuu nadhan hujawajua vizur wanawake wa siku hizi, hawarudi kwao wanapanga nyumba mtaa wa pili tu na kesho yake unamuona yupo macho makavu anaendelea na maisha kama kawaida,hiyo ya kumrudisha kwao hai apply sana siku hiz
N.B NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE, DHAMBI HUZAA DHAMBI MWISHO HULETA MAUTI