Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Nimeshitushwa na Maneno yako! Wenzako wanachepuka wakiwa kwenye mahusiano na sio ndoa. Wacha nikukumbushe jambo, Ndoa ni kiapo kwa Mungu na uliapa mbele ya ndugu jamaa na wazazi wenu ukifanyacho leo kitaondoa baraka zote ndan ya nyumba yenu. Nendeni mkatubu!
Hicho kiapo niliapa mimi tu. Mkuu au sisi wote nimejaribu mno kuitetea ndoa yangu nimegomban na michepuko mnoo nimelia nimepata presh haijabadilisha chochote wala hajali nimekua mpole ukimhoji kwani wapi nilipokosea anakujibu majibu ya karahaa .!
 
Hahaha

Leo wataanza na kuchunguza simu za wake zao kwa siri...ole wao wawe wameweka password au pattern yoyote....
hehehehehe... Sasa huko sio kabisa, wasije wakapata pressure wasizozitarajia..

Katika vitu ambavyo sipendi tupekuane ni hivyo.. Unless uombe ruhusa, ila kamwe sitashika yako na wewe wala usishike yangu.. Sio kwa ubaya lakini hahahaa
 
Wewe umeoa?
 
Hicho kiapo niliapa mimi tu. Mkuu au sisi wote nimejaribu mno kuitetea ndoa yangu nimegomban na michepuko mnoo nimelia nimepata presh haijabadilisha chochote wala hajali nimekua mpole ukimhoji kwani wapi nilipokosea anakujibu majibu ya karahaa .!
Wanataka uje ufe kwa presha Mkuu, ingawa umechukua uamuzi mbaya wala hata sikulaumu fanya kitu kinachokupa furaha!!

We only live once!!
 
Back
Top Bottom